The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

Ukiona hivyo kuna ukweli anaujua na ndio maana anaogopa kujitokeza humu jamvini maana anajua fika kuwa kuna watu wengi wanamfahamu kiundani zaidi kuliko baadhi yetu tunavyomjua.Amini nawaambia Dr Slaa ni miongoni mwa Wanasiasa safi kabisa ndani ya CHADEMA na ndio maana haogopi kuja humu kujibu tuhuma mara Chadema inaposhambuliwa na kuchafuliwa na Wapinzani.Hawezi kuja kujibu tuhuma zinazomhusu na hatathubutu kamwe.I really love CHADEMA but some people within the Party are a major disappointment to us.

Nahisi hilo sio hitajio lako kutakua na jingine nyuma ya pazia,kwani naamini ukweli uliopo kwenye tume ya maadili ndio uharisia haya mengine mnayozusha hayana maana kabisa,na sio kwamba mnayasema haya kwa kuitakia chadema mema ispookuwa tu mnataka mpate kingine cha kusema.
Na kama mungekuwa wazarendo tungewaona tangu mwanzo harakati zenu juu ya watuhumiwa na mafsadi wa nchi hii walivyo na matirion ya sh.nje ya nchi,hamjawahi kuuliza ama kukazia mabilioni ya Chenge,Abdulhaman shimbo,kinana,Lowasa na wengine wengi waliowahi kuwa viongozi waandamiz wa nchi hii,nahisi akili zenu zinasukumwa na ushabiki wa kijinga mkiwa na malengo ya kuwahadaa watz na wasiwatambue wezi wa mali za umma,kama una akili timamu unaweza vipi kusumbuka kuhoji mali binafsi za mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi mwandamiz wa dora?ukawaacha majizi na maranguzi ya taifa hili yakipeta?sioni haja ya mh.Mbowe kuja humu kujibu vitu ambavyo havina maana kabisa na havina masilahi kwa waliotimamu.
 
Mkuu kumbuka kinachoiua CCM ni kushindwa kujibu tuhuma nyingi na hivyo tuhuma hizo kuchukuliwa na umma kuwa ni za kweli. Kwasababu hiyo, CHADEMA tukishindwa kujibu tuhuma hizi mwananchi wa kawaida ni rahisi kurubuniwa na kupotoshwa.Ufahamu na uelewa wako kuhusu CHADEMA na viongozi wake sio kila mtu anao.Hii ndio sababu Dr.Slaa anajitahidi kujibu kila tuhuma(uzushi) unaostahili kujibiwa.

Halikadhalika,mh.Mbowe anapaswa kujibu(kufafanua) baadhi ya mambo kama vile tuhuma za kung'ang'ania uenyekiti n.k.Mimi binafsi siamini hilo lakini anapaswa kulifafanua kwa faida ya chama.

Tuhuma zisipojibiwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa kweli.

Acha kumpotoshan Mbowe!

Dr.Slaa sio mjinga kutetea chama humu jamvini.
 
Rai yangu ni vizuri viongozi wote wa vyama wangejiunga humu ili waweze kujibu baadhi ya mambo wanapotuhumiwa, nadhani ni muhimu kina lipumba, mbowe, mbatia,kikwete na wengineo wakajiunga hapa jf!
 
Hujui kuwa Mbowe ni member wa JF.

Alikuwa ctive sana wakati yuko shule UK. Tangu aliporudi Bongo baada ya kupata taarifa kuwa Chacha Wangwe, RIP, anamake inroads kwenye ngome yake, amekuwa passive hapa JF.

Hata hivyo Mbowe ni msomaji mzuri w mijadala ya JF.

Hii ID leo sijui imehackiwa?
 
Hujui kuwa Mbowe ni member wa JF.

Alikuwa ctive sana wakati yuko shule UK. Tangu aliporudi Bongo baada ya kupata taarifa kuwa Chacha Wangwe, RIP, anamake inroads kwenye ngome yake, amekuwa passive hapa JF.

Hata hivyo Mbowe ni msomaji mzuri w mijadala ya JF.

Mkuu...hebu fafanua..UK Mbowe alikua anasomea nn bse hapa Jf kuna kelele nyingi kuwa Kamanda Mbowe shule hamna....can you put this clear beyond a reasonable doubt???
 
Hakumaliza chuo. Alirudi Bongo baada ya kupata taarifa za Chacha Wangwe kunyemelea kitu cha uenyekiti.
 
Atakuwa amesikia na atalifanyia kazi! !!!!!

Ni changamoto lakini kwa kuwa ni wito na yeye ni kiongozi inabidi aitike!!!!!!!!!
 
Wasomi pekee ndio wanaojua umuhimu wa hii mitandao ya kijamii..
 
Mkuu kumbuka kinachoiua CCM ni kushindwa kujibu tuhuma nyingi na hivyo tuhuma hizo kuchukuliwa na umma kuwa ni za kweli. Kwasababu hiyo, CHADEMA tukishindwa kujibu tuhuma hizi mwananchi wa kawaida ni rahisi kurubuniwa na kupotoshwa.Ufahamu na uelewa wako kuhusu CHADEMA na viongozi wake sio kila mtu anao.Hii ndio sababu Dr.Slaa anajitahidi kujibu kila tuhuma(uzushi) unaostahili kujibiwa.

Halikadhalika,mh.Mbowe anapaswa kujibu(kufafanua) baadhi ya mambo kama vile tuhuma za kung'ang'ania uenyekiti n.k.Mimi binafsi siamini hilo lakini anapaswa kulifafanua kwa faida ya chama.

Tuhuma zisipojibiwa au kutolewa ufafanuzi hugeuka kuwa kweli.

Acha kumpotoshan Mbowe!

Dr.Slaa sio mjinga kutetea chama humu jamvini.

kwa hoja kama izi anayepaswa kuzijibu katibu wa chama ambaye ndio wajibu wake(Dr.W.Slaa) na wala si mh. Freeman mbowe. Ila kama kuna hoja ambazo atashindwa kuzitolea majibu(dr.w.slaa) ndipo msaada wa mwenyeketi wake anapaswa kuyatolea ufafanuzi. Kwangu napenda kumshukuru na kumpongeza dr.w.slaa kwa kutenga muda wake na kuweza kuja humu kuzitolea ufafanuzi kero na tuhuma zinazotolewa kukihusisha CHADEMA. Pia napenda kuwapongeza ndugu zangu na waeshmiwa na makada ndani ya cdm pamoja na baadhi ya wanachama wengine humu wenye mapenzi mema dhidi ya chama chetu cha chadema,katika kuzijibu hoja zote na kuweza kupunguza ngebe za kina ritz,ze macpolo,chama,faiza foxy,chris lukosi,nape,mwigulu mchemba,juliana shonza,mwampamba,pasco mnafki wa jf,n.k.
Kwaiyo pasipo kusita kutoa pongezi zangu, naomba niwaambie na waeshmu sana. Ndugu zangu wakina ben saanane,mungi,yeriko nyerere,arusha one,crashwise,mwita mayara,noel france,john mnyika,kamanda mawazo, na makamanda wengine wote tunao ipasupport ya kutosha chadema katika kutekeleza majukumu yake ya kuwatumikia wananchi
 
Member List
View Profile: Freeman A. Mbowe
User Name: Freeman A.Mbowe
User Title: Junior Member
Last Activity: 3rd December
2006 23:53
 
Back
Top Bottom