Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Alafu hii barabara ni ndogo sana, yani hata Outer ring road Nairobi inaishinda kwa ukubwa na urefu.Hahahaaa we demu leo ntakugonga bao hata kumi kudadadeki, the one and only cable stayed bridge in E&CA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579200
Weka picha wacha maneno, afu mbn unatafuta usaidizi wa UG? Kweli Wakenya tumewashika pabaya yn hamna kitu mnacho cc hatuna ila cc tuna vingi tunavyo ninyi hamna [emoji3][emoji3][emoji3]Kweli watanzani mko na shida, ati only one in eac. Hujui Uganda walijenga hiyo kabla hata mjue kupika chips mayai.
Tuta tuta BRT yenyewe imekwama phase1 ya 21 km, mutawezana na commuter rail?Sisi tupo zama za MRT unaongea nn ww, apo nimekuwekea na picha jinc itakaa[emoji116][emoji116]View attachment 1579204View attachment 1579206
Hatutaki pang'ang'a tunataka ushahidi wa kipicha hapa.Nairobi ile ni World Class East African City
Kama huijui Nairobi wewe sio Mzalendo, Mwalimu Nyerere alituambia kabla ya kwenda ulaya tukajifunze Nairobi kwanza.Hatutaki pang'ang'a tunataka ushahidi wa kipicha hapa.
Unasemaje ww? Hv unadhani wanacholalamika Wakenya kwmb tumesha wa overtake unadhani wanatania? Barabara Tz co shida tena yn tuna barabara nyingi na quality mpk mitaani na zingine hatuzijui zikiwekwa hapa huwa tunashangaa.Alafu hii barabara ni ndogo sana, yani hata Outer ring road Nairobi inaishinda kwa ukubwa na urefu.
Ok kumbe unaongelea 1960s, pole sana mm naongelea 21st century bro cz huo mwaka Nyerere anasema hvyo super power duniani ilikuwa UK cjui unalifaham hilo?Kama huijui Nairobi wewe sio Mzalendo, Mwalimu Nyerere alituambia kabla ya kwenda ulaya tukajifunze Nairobi kwanza
You are celebrating your first three level interchange in 2020 when Kenya did theirs more than 10 years ago. To put matters straight, Nairobi expressway will have 4 3-level interchanges and Mombasa is also doing theirs, that will be Kenya 6 to Tanzania 1. Do you have anything to add?Nakuonesha hapa modern infrastructure zipo Tz na ww jibu sawa? Mm naanza na hii, the modern and the only 3level interchange in E&CA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579194
Heheheheheeee tupo phase 3 now goma linatoka city centre linapita Mfugale flyover pale Tazara linapita mpk Airport linaenda Gongo la Mboto najua unanielewa nnapotaja hyo miji cz Wakenya mnaijua Dar kuliko cc tunavyoijua Nairobi.Tuta tuta BRT yenyewe imekwama phase1 ya 21 km, mutawezana na commuter rail?
Hata sahi Nairobi imejulikana kuwa ni global city in africa. Dar hakuna mtu hata huzungumza kuihusu. Global cities katika afrika niOk kumbe unaongelea 1960s, pole sana mm naongelea 21st century bro cz huo mwaka Nyerere anasema hvyo super power duniani ilikuwa UK cjui unalifaham hilo?
Wakati ww unaongelea future tense mm naongelea present tense and that is the difference.You are celebrating your first three level interchange in 2020 when Kenya did theirs more than 10 years ago. To put matters straight, Nairobi expressway will have 4 3-level interchanges and Mombasa is also doing theirs, that will be Kenya 6 to Tanzania 1. Do you have anything to add?
View attachment 1579214View attachment 1579215
Mkifika hapa unitag please.Wooiiii kaogopa hahahaaa 3level huna so nshakuchapa bao moja mrembo ngj ntafute la pili, The modern public transport call it BRT which is the only in E&CA[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1579198
Heheheheheeee tupo phase 3 now goma linatoka city centre linapita Mfugale flyover pale Tazara linapita mpk Airport linaenda Gongo la Mboto najua unanielewa nnapotaja hyo miji cz Wakenya mnaijua Dar kuliko cc tunavyoijua Nairobi.
Naona ushaanza kuchange gear, hizo picha nimekuonyesha ni part ya 3-level interchange in Pangani. Hata kama ni kuchanganyikiwa usichanyikiwe sana.Wakati ww unaongelea future tense mm naongelea present tense and that is the difference bibie.
Global city kwa mlengo upi hebu weka link km hujaumbuka hapa, mm naongelea developed city we unaongea upupu hapa.Hata sahi Nairobi imejulikana kuwa ni global city in africa. Dar hakuna mtu hata huzungumza kuihusu. Global cities katika afrika ni
i) Cairo na casablanca (north africa)
ii) Lagos west Africa
iii) Nairobi (east africa)
iv) Joburg (south africa)
Dar siyo global city kwa sababu haina miundo mbinu ya kutosha, biashara ni kidogo mno na watu hawana elimu inayotajika duniani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji121][emoji121][emoji121][emoji121] the mtumbas.
Haya ukishamaliza kuota sasa rudishia wadubai picha yao.Sisi tupo zama za MRT unaongea nn ww, apo nimekuwekea na picha jinc itakaa[emoji116][emoji116]View attachment 1579204View attachment 1579206
Iko wapi hyo 3level hebu weka hapa tuione unaficha ficha nn mbn mm nimeweka hadharani [emoji3][emoji3]Naona ushaanza kuchange gear, hizo picha nimekuonyesha ni part ya 3-level interchange in Pangani. Hata kama ni kuchanganyikiwa usichanyikiwe sana.
Naota au co hata electric sgr mlisema hivyo hivyo mwishowe mkaanza kutupangia muda wa kumaliza mradi yn mko desperate sn wallahi [emoji3][emoji3]Haya ukishamaliza kuota sasa rudishia wadubai picha yao.