Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Hii hapa nyingine.wewe mbuzi denial haitakuweka sehemu salama shangazi.
maumivu yako hayafanyi hiyo miladi kusimama au kusua sua.nimekuuliza toka 2018 mpaka leo ni miaka kumi na ngapi??[emoji2][emoji2]hujibu unarukia mengine.
mimi naweza kukupa picha za site hapa sasa hivi miladi yote mitatu uliyotaja.lakini naogopa usije jiua kwa maumivu.pole budaa.
Thika road ambayo ni kubwa kushinda hiyo unashabikia hapa na ndefu zaidi (45 km) ili chukua chini ya miaka 3 kujengwa.
Kwa sahi tumeanza Nairobi expressway 27 km na inaonekana itamalizwa kabla hii kibaha iishe.Na itakuwa na 8 lanes, alafu 4 lanes ikiingia kati kati ya jiji la Nairobi. Ukumbuke itakuwa ikipaa juu ya Mombasa road na uhuru highway.
Yani nyinyi huni shangaza!!! Barabara moja inawasumbua hivi, mgekuwa kama Kenya vile tunajenga western bypass (17 km dual carriageway), Waiyaki way highway (6 lanes, 25 km), Nairobi elevated expressway ( 8,6 na 4 lanes, 27 km), Nairobi Metropolitan Commuter rail (200 km) mungeruka vichwa na kutembea uchi.