Niseme nisiseme (semaaa) ooh niseme ooh....
sema sasa....
Nlikuwa nakuambia wewe useme
mimi sijapata hiyo bahati ya one night stand....
mimi sijapata hiyo bahati ya one night stand....
Hivi ni bahati eeh?
kwangu naona hii bahati au inakuwaje?
Mmmmh sijui mimi
Mmmmh sijui mimi
kweli au wanizuga.....?
Shikamoo my wii!
Marhaba wii hujambo veve?
Mie mzima.sijui wewe my wii
Kumbe ni bahati eeeh!
Mi mzima wa afya
au waonaje.....?
Mie naomba kuepushiwa na hilo kwa kweli
Kweli tena