Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
<br />hayo ni maneno yako na hayanitatanishi hata kidogo. inaonyesha bado una akili ya kitoto kwa hiyo sidhani kama nitapoteza muda wangu kujibishana na wewe. swala ni Askari Kanzu au machafuko ya Libya. tatizo lako ni nini haswa?
<br />
ndugu hapa tunabadilishana mawazo,mitazamo na kujenga hoja ambazo mwisho wa siku tunapata maarifa,mtazamo na fikra mpya
so hakuna majibizano,kilichobaki ni kutafakari kiundani kwa yale uliyokuwa unayashabikia. Usijihisi uko guilty kiasi hicho. Kujifunza hakuna mwisho. Usije ukaruhusu hisia zikatawala matendo yako. Fanya utafiti, njoo na findings then unaweza ukasimama kifua mbele na kunena kile unachoamini,
Ni mtazamo tu mwana JF,
Ramadhan kareem.
