The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Mods naomba mnivumilie uruhusu watu watoe michango yao kuhusu hili swala. Nimefanya utafiti kwenye web leo naona napata majibu ambayo ni completely opposite! Hicho ndicho kinachonisukumu niombe msaada kwa wana JF wengine wao wanaelewa vipi kuhusu developments in LIBYA.

Kama ni mfuatiliaji wa media za kimataifa kubwa, CNN, BBC, SKY, ALJAZEERA na nyingine, utajua kuwa wanaripoti kuwa vita ya Libya inakaribia ukingoni na mji wa TRIPOLI umezingirwa na waasi.

Kama kuna mtu ana-access na credible indepent source, atupe hali halisi ya huko, maana nimeanza kutowaamini Al Jazeera. Hasa hasa kwenye ile Battle ya Zliten na Waasi wa Misrata.

Ndugu yangu katika vita yeyote ile majeruhi wa Kwanza ni ukweli na vita hii haina tofauti. Labda useme upande wa NATO wa vyombo vingi vya propaganda ikiwamo Al Jazeera kitu kinacho nishangaza. Tulipoanza walisema Ghadafi anapingwa na kila mtu lakini baadaye tuliona ukweli watu wengi wakiandamana kumuunga mkono. Katika yote hayo ukweli ushinda na katika hili ukweli utashinda pia. Jamaa hapo juu kaeleza sababu tosha wala sirudii labda niongeze kuwa kama kweli sababu ni hiyo waisemayo basi Wangeenda Syria, Yemen n.k

Manake hili suala mimi mwenyewe nina interest nalo sana niko upande wa GHADAFF nasema hivo kwasababu wazungu ni wanafiki sana...wakati flani nilikua Ulaya mwezi wa 6 nikaonana na waziri mmoja kule Norway nikamuuliza u people why are u attacking Libya/ Afrika?!! nikashangaa ile njemba ikasema wao wanalinda maslahi ya UK na France manake ulaya iko hoi kiuchumi sasa hizo nchi mbili zinatafta pa kuponea...

Sasa lakini ukisoma humu LJBC.NET kuna habari chache sana kuhusu hii vita sasa haieleweki which is which ila la msingi ni kwamba kwa upande wao Nato wako hoi kifedha na nchi nyingi zimejitoa wako pale kwa unafiki na aibu ya kushindwa kile mnachokiona ni uzushi na hiyo ni kawaida ya wazungu ni wanafiki wakubwa...kwangu mimi natamani hata kwenda Libya kupigana hii vita...manake hii ni aibu ya Afrika

Wewe mpuuzi sana inaelekea unafikiria kwa kutumia masaburi.Sijui huko ulaya ulienda kufanya nini kama wewe ni kilaza kiasi hicho.kama nyerere angetugawa kwa misingi ya ukabila tanzania leo ingekuwa ya aina gani ?Ifike mahali waafrika tuwakatae viongovi wapumbavu kama Gadaf huyu jamaa ni mwendawazimu na mnafki wakupindukia hana tofauti na wakina mugabe.

waarabu tuna usemi usemao '' fas.bir swaburan jamiila" yaani tuwe na subira njema kwa kila jambo.

hakika kuna propaganda nyingi sana za kutoka kwa nchi mshirika wa NATO . lakini ukisoma habari mbalimbali za nchi za kiarabu unaona fika wapinzani wamezidiwa sana hususan silaha zimepungua sana karibu kuwaishia. na wananchi waliorubuniwa na nch za magh'rib wamuondoe Ghaddaf wamechoka kuona mapambano yakiendelea siku hadi siku na kuona miji inabomolewa na shughuli za maendeleo zinasimama na hivyo kusababisha wananchi kuwa wakimbizi.

hakika wengi Libya wamechoka sana na vita hivi na kutamani kurudi utawala wa Ghadafi.

namaliza kwa kusema. Ukweli utadhihiri tuwe na subra

Mbona unadandia treni kwa mbele mkuu..
-Kama kweli unauchungu na watu wa libya kwanini usianze kwa kuwalaumu NATO kwa kubatilisha UN resolution of NO FLY ZONE?
-Kwanini usimlaumu UN kwa kunyamazia mauwaji ya kinyama yanayofanywa na NATO huko Tripoli, kuna ushahidi kuwa NATO inalenga zaidi makazi ya raia zaidi ya vituo vya kijeshi vya Libya.
-Kwanini pia usilaumu UN/NATO kwa kukataa pendekezo la AU (resolution) la peace talks.
-Kama kweli NATO ni peace keepers kwanini walikataa ofa ya Gaddafi ya kuitisha uchaguzi ili aachie ngazi?

Tusiwakumbatie wakoloni na kutetemekea misaada yao ambayo in return wanapora rasilimali nyingi kuziba pengo la matatizo yao ya kiuchumi.

Penda usipende hii vita haishi bila ghadaff kuondoka, ataondoka tu awachie na wengine nao watawale bwana. Viongozi waafrika sijui kwa nini huwa hawataki kuachia madaraka. hebu niambieni uchaguzi wa mwisho libya ulifanyika lini? na kama hamna hata uchaguzi kizazi cha sasa hakiwezi ongozwa na mtindo wa kifalme. Ataishia kuaibika kama Gbagbo

Sina hakika kama sauti yako mkuu mpya wa SADC "Jose Eduardo dos Santos" itasikika katika 'purukushani' hizi.

Thursday,August 18, 2011 Laaska News

Laaska News August 18,2011
LUANDA, Aug. 18 (Xinhua) - Angolan President Jose Eduardo dos Santos, who just took over the presidency of the Southern Africa Development Community (SADC), on Thursday called on the North Atlantic Treaty Organization (NATO) to cease the military intervention in Libya.
President dos Santos urged the concerned parties to negotiate a political solution without preconditions. He also expressed hope that the parties concerned would adopt the road map proposed by the African Union (AU) to solve the crisis in Libya.
The Angolan leader made the appealed at the closing ceremony of the 31st SADC summit in the capital Luanda, where he took over the 12-month presidency of the community from Namibia.
The president appealed to countries in the region to pay attention and express solidarity with the people of Somalia being affected for 10 years by armed conflicts and now coupled with hunger.
He urged the world community to step up efforts to send more humanitarian assistance to alleviate the sufferings of the people in Somalia, particularly children.
The two-day SADC summit in Luanda was concluded on Thursday under the motto "Consolidating the bases for regional integration, developing the infrastructures to facilitate commercial exchange and economic liberalization".
ANGOLA:Angolan president calls on NATO to end raids on Libya « Laaska News http://laaska.wordpress.com (laaskanews.com)

I don't care kitakachotokea Libya sababu sio nchi yangu wala siishi huko.
Labda swali la msingi la kujiuliza ni kwa nini Gadhaffi bado anang'ang'ania kutawala hata baada ya kukaa madarakani for 42 years?
Alichokisema Prodigal son hapo juu ni ukweli, ya kwamba watu wakitawaliwa na mtu mmoja miaka nenda miaka rudi eventually watachoka hata atende mema vipi.
Tujiulize leo hii Kikwete aseme hatoki hata baada ya 2015 na ataendelea kukaa madarakani hadi achoke, na akichoka mnaona dhahiri Ridhwani nae anaandaliwa kuwa raisi wetu, je wabongo watakaa kimya?

wanasema if you tell a lie, you steal someone's right to truth. Mkuu ni haki yako kuufahamu ukweli. jaribu press tv ya iran nadhan wao huwa wapo independent. Jaribu presstv.ir

Mimi niko upande wa gadaf, wazungu wanafiki wazandiki na wezi tu. AU hawana lolote wanashndwa take action so siko nao

Mimi niko upande wa gadaf, wazungu wanafiki wazandiki na wezi tu. AU hawana lolote wanashndwa take action so siko nao

Leo hii Kikwete nae akisema hatoki baada ya 2015, then baadae akamwandaa Riz1 amrithi madaraka, je watanzania watakaa kimya?

Leo hii Kikwete nae akisema hatoki baada ya 2015, then baadae akamwandaa Riz1 amrithi madaraka, je watanzania watakaa kimya?
Waafrika ndivyo tulivyo,hatufikiri nje ya mtandao wa kikoloni.
Eti Kikwete akisema hatoki baada ya 2015!.Kwani tatizo liko wapi hata akitawala mpaka afe.Kwani lazima tuwe na maraisi wangapi siku dunia itakapofikia kiama.Muhimu ni uadilifu wa kiongozi na si lazima atawale kwa formula ya kizungu,miaka mitano mitano.
Wazungu ni washenzi hata kuliko mababu zetu kabla hawajafika wao.Tangu waanze vurugu zao miaka ya karibuni huko Afghanistan na Iraq sina hamu nao kabisa na sioni cha maana kuwaiga.

Pande zote kule Libya ni washenzi. Gadhafi ni mshenzi na NATO vilevile ila hapo kwenye red mkuu ndio tunapingana

Wewe mpuuzi sana inaelekea unafikiria kwa kutumia masaburi.Sijui huko ulaya ulienda kufanya nini kama wewe ni kilaza kiasi hicho.kama nyerere angetugawa kwa misingi ya ukabila tanzania leo ingekuwa ya aina gani ?Ifike mahali waafrika tuwakatae viongovi wapumbavu kama Gadaf huyu jamaa ni mwendawazimu na mnafki wakupindukia hana tofauti na wakina mugabe.

Masaburi wewe huna NYAIKUNDO...ama unaropoka tu na kubwabwaja kama chizi...wewe kwa akili yako ya kikoloni ukienda Ulaya lazima utetee uovu unaofanywa na whites!!! una laana wewe sio bure nadhani unashikwa NYAITAKO...Mpuuzi ni wewe MRISYA..ukabira hapa unakujaje sasa kilaza hata kusoma hujui unarukia mambo tu kanye ulale sebuleni kwa dada yako yeye yuko chumbani na mumewe...

waarabu tuna usemi usemao '' fas.bir swaburan jamiila" yaani tuwe na subira njema kwa kila jambo.

hakika kuna propaganda nyingi sana za kutoka kwa nchi mshirika wa NATO . lakini ukisoma habari mbalimbali za nchi za kiarabu unaona fika wapinzani wamezidiwa sana hususan silaha zimepungua sana karibu kuwaishia. na wananchi waliorubuniwa na nch za magh'rib wamuondoe Ghaddaf wamechoka kuona mapambano yakiendelea siku hadi siku na kuona miji inabomolewa na shughuli za maendeleo zinasimama na hivyo kusababisha wananchi kuwa wakimbizi.

hakika wengi Libya wamechoka sana na vita hivi na kutamani kurudi utawala wa Ghadafi.

namaliza kwa kusema. Ukweli utadhihiri tuwe na subra

Mkuu
Upo Quatary, na naamini unakitambua kiarabu kwa ufasaha kabisa, Aljazeera wanareport vita ya Libya kwa kiarabu na english,zipo channel nyingi za kiarabu zinareport hii vita, Ungejaribu kulitendea haki hili jukwaa kwa kutuambia ni idhaa zipi zimereport WAASI WA BENGAZI WAMEISHIWA SILAHA.Sote tunaheshimu mchango wa Gaddafi sio kwa waafrica tu( japo nyie waarabu mnatuona kama sie masokwe) hata kwa waarabu pia. Kumbuka king makers wa Middle East ilikuwa ni Saudia, Egypt ya Mubaraka,Tunisia iliyokuwa ya ben Ali na Libya ya gadafi nyingine zote zilikuwa ni vibaraka.

Kumbuka Gaddafi na Mfalme wa Saudia mpaka leo ni paka na panya, Leo hii Quatary inataka kuwa na influence kubwa tu sio kwa dunia aya waarabu bali na dunia nzima, Quatary ni nchi ya kwanza ya kuiarabu aliyoungana na wafaransa na wamarekani kushambulia Libya, achiliambali mabilioni waliyotoa kwa waasi wa Bengazi

Watendee haki hawa waasi leo wameweza kuuchukua mji wa ZILTAN,kwa kusaidia na NATO, hawa jamaa hii vita watashinda ila libya itagawanyika kwa misingi ya KIDINI; na kikabila. na ndio utakuwa mwanya mzuri kwa magaidi kupenyeza ndani ya jamii ya Walibya

Sina hakika kama sauti yako mkuu mpya wa SADC "Jose Eduardo dos Santos" itasikika katika 'purukushani' hizi.

Huyu ameanza kutoka usingizini. Ameelewa kuwa kazi ya "NATO ya ku-protect civilians" ikikamilika Libya basi iko siku itahamia Angola.
Lazima hawa "Wazungu" na US wanayo list yao ya nchi watakazozishughulikia tayari.

Unaikumbuka hii? US General says "They" plan to take over Arab and African countries for oil - YouTube

Kwa shughuli za US hapa Tz si ajabu pia kuwa Tz ni target siku za usoni.

Tatizo unasoma site zenye habari za kipropaganda. Pia tumia kichwa chako.

Tatizo unasoma site zenye habari za kipropaganda. Pia tumia kichwa chako.
Uko sawa
Unaonaoje ukatupa hizo site ambazo hazina propaganda. Ungezania kusoma kutoka mwanzo ungelewa kinachozungumziwa hapa, so unatuambia miji iliyokaribu na Tripoli haijatekwa?,Yaelekea kila habari wewe unasoma vichwa vya habari, Usie kama Mohammed Saeed al-Sahhaf,Sadam former Information Minister. Sidhani ni vema kukurupuka kujibu tena kwa kejeli. Sio busara ku challenge uelewa wako but u can read the link below, ukishamaliza changanya na akili zao ndio ujenge hoja

kila la kheri
Gadhafi looking isolated as Libyan rebels advance on Tripoli | World | Deutsche Welle | 17.08.2011

Libyan capital is fearful as rebels approach Tripoli

U.N. to Launch Tripoli Evacuation - The Daily Beast
Libyan rebels say to head towards Tripoli | Africa | World Bulletin
http://www.nytimes.com/reuters/2011/08/15/world/africa/news-us-libya.html?_r=1&ref=world
Rebels Encircle Tripoli, Threaten To Cut Off Gadhafi Supplies : The Two-Way : NPR

Back
Top Bottom