The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

kwa jins member wanavyochangia hii hoja na kutoa point zao nimeju kuna great thinkers hapa jf
 
Mpaka hao waasi wakifanikiwa kuchukuwa nchi, watakuta magofu tu, maana hata hao NATO naona mabomu yao wanaporomoshea kwenye vitega uchumi.
 
Natoa tahadhari ifuatayo wana jf:

Kwa mujibu wa alternative news nilizokuwa nazo ni hivi
1) nato wamefeli ndani ya libya na hivyo wamechanganyikiwa kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote bila kujali kwamba wanalipua nini, iwe ni military asset au civilian assets, so long as those assets zinaifanya serikali ya ghadafi ifunction wao wako tayari kulipua tu.

2) support katika western part of libya ni ya hali ya juu kiasi kwamba ni vigumu rebels kukamata miji, kisha wakaweka askari wa kutosha wa kukamata hiyo miji isirudi tena mikononi mwa majeshi ya serikali na volunteers. Kiufupi rebels hawana infrastructure za kulinda gains zozote wanazozipata kwa muda mrefu.

3)kuna systematic misinformation ya hali ya juu ili kuuandaa ulimwengu uamini kwamba ghadafi ataanguka karibuni, na muda fulani muafaka ukifika watakaouchagua wao watatangaza kwamba Kaanguka, wakati infact bado hajaanguka na anacontrol eneo kubwa la nchi kuliko lile la waasi, hii inafanyika kwa coordination ya vyombo vya habari kama vile cnn ya america, bbc ya uingereza, aljazeera ya qatar,deutchwelle ya ujerumani, gazeti la newyork times la marekani, nchi za hivi vyombo vyote ziko vitani dhidi ya libya kwa hiyo usitegemee kupata habari za ukweli kuhusu mafanikio ya jeshi la libya na volunteers. Kutokana na nato na waasi kushindwa kumuondoa ghadafi, kitakachofanyika ni international isolation technique, watautangazia ulimwengu kwa kurudia tena na tena, mara nyingi nyingi kwamba tripoli imeanguka, huku viongozi wa nchi hasimu za libya wakienda kwenye tv kutoa pongezi kwa waasi, na kuitaka dunia iwatambue n.k-- wakati huo huo behind the scenes wakiwapiga pressure viongozi wa nchi masikini wawatambue waasi ili nchi zao ziendelee kupata misaada, au kwa kuahidiwa misaada. Na kwa kuwa watu wengi watakuwa wameshaamini kwamba kweli tripoli imeanguka, basi viongozi wa nchi hizi masikini watakubali matakwa ya western countires kiulaini.

4) jiulize kila siku ukisoma habari utasikia, "revolutionaries capture zlitan", baada ya siku kadhaa kupita ukicheki nyuzi tena utaona habari kama hiyo hiyo tena "revolutionaries capture zlitan". Sasa jiulize hiyo zlitan au zawahiya e.t.c itakuwa captured mara ngapi?. Lengo la habari kama hizi ni kuonyesha kwamba kuna progress fulani in favour of rebels, wanafanya hivi ili kutuliza mzuka wa wananchi wa nchi zao ambao wameanza kuquestion hii vita kwa kuwaaminisha kwamba soon mambo yatakuwa bomba na ghadafi ataangushwa, lakini wao ukweli wanaujua vizuri kwamba waasi hawana progress za aina hiyo.

5) katika miji ambayo waasi huingia na kutangaza kwamba wameikamata, hali huwa ni kwamba jeshi la libya huwa linafanya tactical retreat kuwepa bombardments za nato ambazo huwa zinaprovide air cover ya waasi, then nato wakiondoka jeshi hurudi na kuwakimbiza waasi kutoka katika hiyo miji, lakini habari ya jeshi la libya kuwaondoa waasi huipati katika western media ambazo jana yake zishatangaza kwamba mji huo umekuwa captured na waasi.

6) ukitaka kujua uwongo wa waasi, majuzi walitangaza khamis ghadafi mtoto wa ghadafi kauawa, lakini siku kadhaa akaonekana kwenye tv ya libya, vyombo vya magharibi vilitangaza kwamba ghadafi kakimbilia venezuela ule ukawa ni uwongo, then majuzi wakasema ghadafi anaumwa hoi, mara eti kuna ndege mbili tripoli moja ikiwa empty kumsubiri ghadafi pindi akiamua kukimbia nchi, wakatangaza eti waziri wa mambo ya ndani amekimbilia misri yeye na familia yake, ukweli ni kwamba yule bwana alikwenda kimatibabu na kesharejea libya.

7) ukweli ni kwamba kuna waafrika kimyakimya wapo libya wanampiga tafu gadafi. Kwa hiyo wapenda haki na wenye uchungu na yanayotokea libya, msiwe na wasiwasi, msiziamini moja kwa moja breaking news za vyombo vya habari vya maadui wa libya, kila mkisikia kwamba mji fulani umeanguka kwa waasi, ziaminini asilimia 20 na 80 msiziamini kwanza, hebu jiulize brega ambayo ipo karibu na benghazi haijaangukia kwa waasi, tena brega ndo muhimu kweli kweli stratergically kuliko zlitan, iweje zlitan iliyo karibu na tripoli ianguke halafu brega isianguke?, tena ifahamike mapambano makali kweli kweli yametokea brega, lakini operesheni inashindwa?.

8)THE BOTTOM LINE NI KWAMBA KUNA INFORMATION WARFARE KUBWA VIBAYA SANA DHIDI YA LIBYA, LENGO NI KUKUANDAA WEWE NA MIMI TUAMINI KATIKA LINE YA STORI WANAYOITAKA WAO, SI AJABU THE FALL OF TRIPOLI IPO INAANDALIWA NDANI YA HOLLYWOOD, NA MAADAM THE WHOLE WESTERN MEDIA MACHINE IKO AGAINST LIBYA BASI INABIDI UFANYE KAZI YA ZIADA KUPATA THE ALTERNATIVE NEWS.

9)TRIPOLI IS STILL STRONG, THE PEOPLE ARE WITH THE LEADER, REBELS WAPO KILA MJI LAKINI NI SKIRMISHES WANAZOLETA ZA HAPA NA PALE NA JESHI LA LIBYA LIPO UNDER CONTROL, KUNA WAAFRIKA WAPO NDANI YA LIBYA WANAMPIGA TAFU MZALENDO GHADAFI. SO STAY TUNED!!!!!!!!
 
Vyombo vya habari vikiwemo Skynewas wanaripoti kuwa waasi wamebakiza kilomita 30 tu kuingia Tripoli.
 
vyombo vya habari vikiwemo skynewas wanaripoti kuwa waasi wamebakiza kilomita 30 tu kuingia tripoli.

no not at all, kama nilivyokwisha sema hapo awali, hii ni psychologoical warfare kuuandaa ulimwengu uamini kwamba ghadafi fall is inevitable, ili muda muafaka ukifika wautangazie ulimwengu kwamba tripoli imeanguka na hivyo kuuacha ulimwengu with no choice, except kuwatambua waasi kama serikali mpya ya libya, kwa kuwa wameshindwa kumuondoa ghadafi, wameamua kutumia isolation technique, kumuisolate ghadafi na serikali yake!. Pindi wakishautangazia ulimwengu kwamba tayari rebels wameiangusha serikali then watamportray ghadafi na jeshi lake kama troblemakers waliobaki wa hapa na pale, ambao watasafishwa tu na serikali mpya ya waasi!!!. Lakini kumbe on the ground ghadafi ndo mwenye upperhand na ndo anatawala eneo kubwa la libya.

Ukiwa mdadisi wa hapa na pale, utagundua kuna events kubwa tatu zinakuja mwezi september (1) UN GENERAL ASSEMBLY , nato wanajaribu wafanye fastafasta ili Ghadafi aondoke kabla ya kikao hiki, kwa maana West inaogopa watu kama Chavez kupiga kelele sana na kuwapaka matope mbele ya kamera za ulimwengu, na pia Viongozi wengi pindi wakiaddress kikao hiki watataka issue ya libya imalizwe kwa mazungumzo.

(2) KUEXPIRE MANDATE YA NATO, baadhi ya nchi za Nato zimeanza kullose interest na hii mission na zimeanza kuondoa resources zao, na hivyo wanaogopa division yoyote miongoni mwa members juu ya kuextend hii mission beyond september.

(3) PALESTINA KUPELEKA MAOMBI YA KUKUBALIWA KUWA NI NCHI KWENYE KIKAO CHA GENERAL ASSEMBLY YA UN. issue ya libya inaweza kuwa obstacle kwao katika diplomacy offensive ya kuzitaka nchi masikini zisiunge mkono Palestina kutambuliwa kwamba ni nchi na UN general assembly.

KWA HIYO HIZO PROPAGANDA ZA SKY TV, CNN, ALJAZEERA, VOICE OF AMERICA, DEUTCHWELLE, HATA IRAN PRESS TV, ZISIKUUMIZE KICHWA, VITA ILE NI NGUMU UPANDE WA WAASI NA NATO.
 
Waafrika ndivyo tulivyo,hatufikiri nje ya mtandao wa kikoloni.
Eti Kikwete akisema hatoki baada ya 2015!.Kwani tatizo liko wapi hata akitawala mpaka afe.Kwani lazima tuwe na maraisi wangapi siku dunia itakapofikia kiama.Muhimu ni uadilifu wa kiongozi na si lazima atawale kwa formula ya kizungu,miaka mitano mitano.
Wazungu ni washenzi hata kuliko mababu zetu kabla hawajafika wao.Tangu waanze vurugu zao miaka ya karibuni huko Afghanistan na Iraq sina hamu nao kabisa na sioni cha maana kuwaiga.

Tatizo lako huwezi kufikiri nje ya mtandao wa falsafa za kinafiki za waarabu, waarabu walitawala hapa nchini miaka lundo kabla ya kudhibitiwa na wazungu, hebu fikiri waarabu walifanya nini cha maana hapa nchini zaidi ya biashara ya utumwa na kupandikiza uswahili na unafiki, walinganishe na wakoloni wa kizungu waliojenga mashule, Reli na mambo mengi ya kimaendeleo, Kama ingekuwa lazima kuchagua ni BORA MARA MIA KUFIKIRI NDANI YA MTANDAO WA WAZUNGU kuliko kufikiri kwa kuongozwa na falsafa za kinafiki za waarabu, Hata hivyo there is a better way and that's the fact that God graciously created ALL human beings (african's included) equal , and endowed each individual with sufficient mental power to think on his/her own, kwa sababu hiyo hata sasa waweza kuanza kufikiri kwa akili zako na kuchagua lililo jema, na kabla sijaondoka rejea hayo maandishi yako niliyowekea rangi nyekundu, na ujisahihishe maana hata teknolojia ya hii forum unayotumia kutoa maoni yako wameigundua hao wazungu, come on, be realistic and use some common sense, unayo mengi ya kuwaiga wazungu !!!!!!!!!
 
Ghadafi aliijenga Libya na kwa ulevi wake wa madaraka amebomoa alichojenga! Mimi nikiambiwa nichague mtawala mwenye busara kati ya Ghadafi na Mubarak nitamchagua Mubarak. Hata kama aliondoka baada ya shinikizo kubwa la wananchi wake,lkn angalau aliona Misri ni kubwa kuliko urais wake,familia yake,marafiki zake na chama chake. Na kwa hali halisi ilivyo sioni kama utawala wa Ghadafi utadumu miezi 2 kuanzia sasa. Wanachofanya waasi kwa kusaidiwa na NATO ni kulivuta nje ya Tripol jeshi lake kwa kupigana ktk fronts nyingi. Mwisho waizunguka Tripol. Baada ya hapo mambo mawili yanaweza kutokea. Moja ni kwa wananchi waliopo Tripol kuandamana na kuuangusha utawala wa Ghadafi,pili ni vita ya umwagaji damu mkubwa ktk mitaa ya Tripol kati ya waasi na jeshi la Ghadafi.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Former Gaddafi number two 'defects' to rebels

Ex-PM Abdessalam Jalloud, who fell out of favour with Gaddafi in mid-nineties, flies Tripoli to rebel-held territory.

20118201229855621_20.jpg

Abdel Salam Jalloud's (right) defection is seen as another major blow to Gaddafi [Reuters]

20 Aug 2011 01:32

Muammar Gaddafi's former right-hand man, Abdel Salam Jalloud, has defected to rebel-held territory in Libya's Western Mountains, a rebel spokesman said. Jalloud was a member of the junta that staged a 1969 coup bringing Gaddafi to power, and was seen as the North African oil producer state's second in command before falling out of Gaddafi's favour in the 1990s.

"He is definitely here in Zintan. He is under the control of the military council here," Massoud Ali, a local rebel spokesman, told Reuters on Friday.

"Commander Jalloud has managed to flee Tripoli with his family and arrived Friday in the town of Zintan," located in rebel-held territory southwest of the capital, another senior rebel said on condition of anonymity. Jalloud was prime minister from 1972 to 1977.

Following his dispute with Gaddafi, he had retired from politics altogether and lived under virtual house arrest. He reportedly was stripped of his passport and put under virtual house arrest, following a disagreement with Gaddafi.

Another blow to Gaddafi

Jalloud is from the influential Megarha clan and has remained a popular figure in Libya. In October 2010, media controlled by Gaddafi's son Saif al-Islam had mentioned Jalloud's name as a possible prime minister to lead the fight against corruption.

Pictures showing Jalloud in the western town of Zintan appeared on rebel Facebook pages. Jalloud did not issue any statements, but rebel spokesman Mahmoud Shammam said he had confirmed the defection on the telephone.

His defection to the rebellion is another blow to Gaddafi's regime, which has been hit by several high-profile defections since an uprising began in February in the country's east. Rebels also said Jalloud could provide valuable information about Gaddafi's inner circle.

Source
 
Natoa tahadhari ifuatayo wana jf:

Kwa mujibu wa alternative news nilizokuwa nazo ni hivi
1) nato wamefeli ndani ya libya na hivyo wamechanganyikiwa kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote bila kujali kwamba wanalipua nini, iwe ni military asset au civilian assets, so long as those assets zinaifanya serikali ya ghadafi ifunction wao wako tayari kulipua tu.

2) support katika western part of libya ni ya hali ya juu kiasi kwamba ni vigumu rebels kukamata miji, kisha wakaweka askari wa kutosha wa kukamata hiyo miji isirudi tena mikononi mwa majeshi ya serikali na volunteers. Kiufupi rebels hawana infrastructure za kulinda gains zozote wanazozipata kwa muda mrefu.

3)kuna systematic misinformation ya hali ya juu ili kuuandaa ulimwengu uamini kwamba ghadafi ataanguka karibuni, na muda fulani muafaka ukifika watakaouchagua wao watatangaza kwamba Kaanguka, wakati infact bado hajaanguka na anacontrol eneo kubwa la nchi kuliko lile la waasi, hii inafanyika kwa coordination ya vyombo vya habari kama vile cnn ya america, bbc ya uingereza, aljazeera ya qatar,deutchwelle ya ujerumani, gazeti la newyork times la marekani, nchi za hivi vyombo vyote ziko vitani dhidi ya libya kwa hiyo usitegemee kupata habari za ukweli kuhusu mafanikio ya jeshi la libya na volunteers. Kutokana na nato na waasi kushindwa kumuondoa ghadafi, kitakachofanyika ni international isolation technique, watautangazia ulimwengu kwa kurudia tena na tena, mara nyingi nyingi kwamba tripoli imeanguka, huku viongozi wa nchi hasimu za libya wakienda kwenye tv kutoa pongezi kwa waasi, na kuitaka dunia iwatambue n.k-- wakati huo huo behind the scenes wakiwapiga pressure viongozi wa nchi masikini wawatambue waasi ili nchi zao ziendelee kupata misaada, au kwa kuahidiwa misaada. Na kwa kuwa watu wengi watakuwa wameshaamini kwamba kweli tripoli imeanguka, basi viongozi wa nchi hizi masikini watakubali matakwa ya western countires kiulaini.

4) jiulize kila siku ukisoma habari utasikia, "revolutionaries capture zlitan", baada ya siku kadhaa kupita ukicheki nyuzi tena utaona habari kama hiyo hiyo tena "revolutionaries capture zlitan". Sasa jiulize hiyo zlitan au zawahiya e.t.c itakuwa captured mara ngapi?. Lengo la habari kama hizi ni kuonyesha kwamba kuna progress fulani in favour of rebels, wanafanya hivi ili kutuliza mzuka wa wananchi wa nchi zao ambao wameanza kuquestion hii vita kwa kuwaaminisha kwamba soon mambo yatakuwa bomba na ghadafi ataangushwa, lakini wao ukweli wanaujua vizuri kwamba waasi hawana progress za aina hiyo.

5) katika miji ambayo waasi huingia na kutangaza kwamba wameikamata, hali huwa ni kwamba jeshi la libya huwa linafanya tactical retreat kuwepa bombardments za nato ambazo huwa zinaprovide air cover ya waasi, then nato wakiondoka jeshi hurudi na kuwakimbiza waasi kutoka katika hiyo miji, lakini habari ya jeshi la libya kuwaondoa waasi huipati katika western media ambazo jana yake zishatangaza kwamba mji huo umekuwa captured na waasi.

6) ukitaka kujua uwongo wa waasi, majuzi walitangaza khamis ghadafi mtoto wa ghadafi kauawa, lakini siku kadhaa akaonekana kwenye tv ya libya, vyombo vya magharibi vilitangaza kwamba ghadafi kakimbilia venezuela ule ukawa ni uwongo, then majuzi wakasema ghadafi anaumwa hoi, mara eti kuna ndege mbili tripoli moja ikiwa empty kumsubiri ghadafi pindi akiamua kukimbia nchi, wakatangaza eti waziri wa mambo ya ndani amekimbilia misri yeye na familia yake, ukweli ni kwamba yule bwana alikwenda kimatibabu na kesharejea libya.

7) ukweli ni kwamba kuna waafrika kimyakimya wapo libya wanampiga tafu gadafi. Kwa hiyo wapenda haki na wenye uchungu na yanayotokea libya, msiwe na wasiwasi, msiziamini moja kwa moja breaking news za vyombo vya habari vya maadui wa libya, kila mkisikia kwamba mji fulani umeanguka kwa waasi, ziaminini asilimia 20 na 80 msiziamini kwanza, hebu jiulize brega ambayo ipo karibu na benghazi haijaangukia kwa waasi, tena brega ndo muhimu kweli kweli stratergically kuliko zlitan, iweje zlitan iliyo karibu na tripoli ianguke halafu brega isianguke?, tena ifahamike mapambano makali kweli kweli yametokea brega, lakini operesheni inashindwa?.

8)THE BOTTOM LINE NI KWAMBA KUNA INFORMATION WARFARE KUBWA VIBAYA SANA DHIDI YA LIBYA, LENGO NI KUKUANDAA WEWE NA MIMI TUAMINI KATIKA LINE YA STORI WANAYOITAKA WAO, SI AJABU THE FALL OF TRIPOLI IPO INAANDALIWA NDANI YA HOLLYWOOD, NA MAADAM THE WHOLE WESTERN MEDIA MACHINE IKO AGAINST LIBYA BASI INABIDI UFANYE KAZI YA ZIADA KUPATA THE ALTERNATIVE NEWS.

9)TRIPOLI IS STILL STRONG, THE PEOPLE ARE WITH THE LEADER, REBELS WAPO KILA MJI LAKINI NI SKIRMISHES WANAZOLETA ZA HAPA NA PALE NA JESHI LA LIBYA LIPO UNDER CONTROL, KUNA WAAFRIKA WAPO NDANI YA LIBYA WANAMPIGA TAFU MZALENDO GHADAFI. SO STAY TUNED!!!!!!!!

It is always difficult to believe on someone who always supports the status quo. Yaani mtu asiye makini anaweza akawa very impressed na ulichoandika, surely you sound as another propaganda tool. Kwa signature yako, inaonyesha kabisa kuwa whatever you'are going to write will be very biased. You can fool some people sometimes, but you can't fool all the people at all the timeall the time.
 
Waafrika ndivyo tulivyo,hatufikiri nje ya mtandao wa kikoloni.
Eti Kikwete akisema hatoki baada ya 2015!.Kwani tatizo liko wapi hata akitawala mpaka afe.Kwani lazima tuwe na maraisi wangapi siku dunia itakapofikia kiama.Muhimu ni uadilifu wa kiongozi na si lazima atawale kwa formula ya kizungu,miaka mitano mitano.
Wazungu ni washenzi hata kuliko mababu zetu kabla hawajafika wao.Tangu waanze vurugu zao miaka ya karibuni huko Afghanistan na Iraq sina hamu nao kabisa na sioni cha maana kuwaiga.

Nakutunuku wewe kuwa mtoa pumba namba moja na wa pekee duniani
 
Natoa tahadhari ifuatayo wana jf:

Kwa mujibu wa alternative news nilizokuwa nazo ni hivi
1) nato wamefeli ndani ya libya na hivyo wamechanganyikiwa kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote bila kujali kwamba wanalipua nini, iwe ni military asset au civilian assets, so long as those assets zinaifanya serikali ya ghadafi ifunction wao wako tayari kulipua tu.

2) support katika western part of libya ni ya hali ya juu kiasi kwamba ni vigumu rebels kukamata miji, kisha wakaweka askari wa kutosha wa kukamata hiyo miji isirudi tena mikononi mwa majeshi ya serikali na volunteers. Kiufupi rebels hawana infrastructure za kulinda gains zozote wanazozipata kwa muda mrefu.

3)kuna systematic misinformation ya hali ya juu ili kuuandaa ulimwengu uamini kwamba ghadafi ataanguka karibuni, na muda fulani muafaka ukifika watakaouchagua wao watatangaza kwamba Kaanguka, wakati infact bado hajaanguka na anacontrol eneo kubwa la nchi kuliko lile la waasi, hii inafanyika kwa coordination ya vyombo vya habari kama vile cnn ya america, bbc ya uingereza, aljazeera ya qatar,deutchwelle ya ujerumani, gazeti la newyork times la marekani, nchi za hivi vyombo vyote ziko vitani dhidi ya libya kwa hiyo usitegemee kupata habari za ukweli kuhusu mafanikio ya jeshi la libya na volunteers. Kutokana na nato na waasi kushindwa kumuondoa ghadafi, kitakachofanyika ni international isolation technique, watautangazia ulimwengu kwa kurudia tena na tena, mara nyingi nyingi kwamba tripoli imeanguka, huku viongozi wa nchi hasimu za libya wakienda kwenye tv kutoa pongezi kwa waasi, na kuitaka dunia iwatambue n.k-- wakati huo huo behind the scenes wakiwapiga pressure viongozi wa nchi masikini wawatambue waasi ili nchi zao ziendelee kupata misaada, au kwa kuahidiwa misaada. Na kwa kuwa watu wengi watakuwa wameshaamini kwamba kweli tripoli imeanguka, basi viongozi wa nchi hizi masikini watakubali matakwa ya western countires kiulaini.

4) jiulize kila siku ukisoma habari utasikia, "revolutionaries capture zlitan", baada ya siku kadhaa kupita ukicheki nyuzi tena utaona habari kama hiyo hiyo tena "revolutionaries capture zlitan". Sasa jiulize hiyo zlitan au zawahiya e.t.c itakuwa captured mara ngapi?. Lengo la habari kama hizi ni kuonyesha kwamba kuna progress fulani in favour of rebels, wanafanya hivi ili kutuliza mzuka wa wananchi wa nchi zao ambao wameanza kuquestion hii vita kwa kuwaaminisha kwamba soon mambo yatakuwa bomba na ghadafi ataangushwa, lakini wao ukweli wanaujua vizuri kwamba waasi hawana progress za aina hiyo.

5) katika miji ambayo waasi huingia na kutangaza kwamba wameikamata, hali huwa ni kwamba jeshi la libya huwa linafanya tactical retreat kuwepa bombardments za nato ambazo huwa zinaprovide air cover ya waasi, then nato wakiondoka jeshi hurudi na kuwakimbiza waasi kutoka katika hiyo miji, lakini habari ya jeshi la libya kuwaondoa waasi huipati katika western media ambazo jana yake zishatangaza kwamba mji huo umekuwa captured na waasi.

6) ukitaka kujua uwongo wa waasi, majuzi walitangaza khamis ghadafi mtoto wa ghadafi kauawa, lakini siku kadhaa akaonekana kwenye tv ya libya, vyombo vya magharibi vilitangaza kwamba ghadafi kakimbilia venezuela ule ukawa ni uwongo, then majuzi wakasema ghadafi anaumwa hoi, mara eti kuna ndege mbili tripoli moja ikiwa empty kumsubiri ghadafi pindi akiamua kukimbia nchi, wakatangaza eti waziri wa mambo ya ndani amekimbilia misri yeye na familia yake, ukweli ni kwamba yule bwana alikwenda kimatibabu na kesharejea libya.

7) ukweli ni kwamba kuna waafrika kimyakimya wapo libya wanampiga tafu gadafi. Kwa hiyo wapenda haki na wenye uchungu na yanayotokea libya, msiwe na wasiwasi, msiziamini moja kwa moja breaking news za vyombo vya habari vya maadui wa libya, kila mkisikia kwamba mji fulani umeanguka kwa waasi, ziaminini asilimia 20 na 80 msiziamini kwanza, hebu jiulize brega ambayo ipo karibu na benghazi haijaangukia kwa waasi, tena brega ndo muhimu kweli kweli stratergically kuliko zlitan, iweje zlitan iliyo karibu na tripoli ianguke halafu brega isianguke?, tena ifahamike mapambano makali kweli kweli yametokea brega, lakini operesheni inashindwa?.

8)THE BOTTOM LINE NI KWAMBA KUNA INFORMATION WARFARE KUBWA VIBAYA SANA DHIDI YA LIBYA, LENGO NI KUKUANDAA WEWE NA MIMI TUAMINI KATIKA LINE YA STORI WANAYOITAKA WAO, SI AJABU THE FALL OF TRIPOLI IPO INAANDALIWA NDANI YA HOLLYWOOD, NA MAADAM THE WHOLE WESTERN MEDIA MACHINE IKO AGAINST LIBYA BASI INABIDI UFANYE KAZI YA ZIADA KUPATA THE ALTERNATIVE NEWS.

9)TRIPOLI IS STILL STRONG, THE PEOPLE ARE WITH THE LEADER, REBELS WAPO KILA MJI LAKINI NI SKIRMISHES WANAZOLETA ZA HAPA NA PALE NA JESHI LA LIBYA LIPO UNDER CONTROL, KUNA WAAFRIKA WAPO NDANI YA LIBYA WANAMPIGA TAFU MZALENDO GHADAFI. SO STAY TUNED!!!!!!!!

Nashukuru kwa mchango wako huu mzuri. Watu watapinga pamoja na kuujua ukweli kuwa vita ya kumuondoa Gaddafi inaangamiza Libya. NI KWELI TUSUBIRI HATIMA
 
Falsified New York Times Middle East Reports - by Stephen Lendman

They appear daily like weeds on all topics. As a result, Times reports aren't fit to read, let alone print. August 18 was no exception, publishing lies about Libyan insurgent victories.

On August 18, headlining, "Libyan Rebels Gain Control of Oil Refinery as Qaddafi Forces Flee," Kareem Fahim's article was pure Pentagon propaganda, duplicitously lying to readers.

Yet he said "(r)ebel fighters claimed complete control of a sprawling (Zawiyah) oil refinery, seizing one of (Gaddafi's) most important assets after just three days of fighting and delivering the latest in a string of small victories that have suddenly put the rebels at Tripoli's door."

Reporting from Tripoli, independent Middle East/Central Asian analyst, Mahdi Nazemroaya refuted him, telling Progressive Radio News Hour listeners that:

-- Gaddafi forces are winning;

-- rebels are in disarray;

-- the so-called National Transitional Council (NTC) is falling apart;

-- Misrata was liberated from rebels;

-- Tripoli is peaceful and calm, despite daily NATO bombing, willfully targeting civilians and nonmilitary sites;

-- scattered fighting continues along routes to Tunisia and elsewhere;

-- arteries between the two countries remain open;

-- Intense Western propaganda wants to intimidate Gaddafi supporters to give up hope of prevailing;

-- it's had the opposite effect, in fact, galvanizing Libyans overwhelmingly behind Gaddafi, making him by far the most popular African/Middle East leader; and

-- his forces control Gheryan, Sorman, Sabratha, and Zawiyah, its oil refinery and others; reports saying otherwise are lies; rebels are south of the city, not in it.

In an August 18 morning email, he added:

"Nothing has changed thus far. There is fighting in the area, but (rebels) do not have control. Bombings over Tripoli are very bad though."

As part of NATO's intimidation campaign, they continue daily, inflicting pain and suffering on Libyans unrelated to military necessity. As a result, they're war crimes, what Times and other major media sources won't explain.

Moreover, in times of war, the first casualty is duplicitous reporting, journalists lying for a living, prostituting themselves for a buck.

Daily The New York Times lies. So do other Western broadsheets, magazines, US television, the BBC, National Public Radio, Public Broadcasting, and other mainsteam sources, showing their managed news lacks credibility.

For example, Fahim falsely claimed:

-- Gaddafi forces "mounted (no) forceful counterattack;"

-- signs indicate that the conflict "reached a critical moment, if not its final stage;"

-- "the vital highway from Tunisia to Tripoli has remained closed, controlled by rebels;"

-- thousands of refugees flee Tripoli daily to escape "mounting hardships" and "be safer in rebel-held areas;"

-- rebels show increasing confidence;

-- morale among Gaddafi forces is near collapse;

-- daily defectors joins rebels; and

-- rebels now control former Gaddafi held cities.

In fact, his article reads more like bad fiction than news. Independent reports refute him and others, including about other Gaddafi held cities claimed in rebel hands.

On August 17, writers Susan Lindauer and Joanne Moriarty headlined, "Libya: Gadhaffi Retakes Key Towns," saying:

"Is Gadhaffi losing? Au contraire. In total contradiction to the propaganda push on CNN (and other Pentagon mouthpieces, independent) sources inside Libya say" Gaddafi, not rebels, is prevailing.

In fact, pockets of insurgents are in all these areas, but they're "isolated and surrounded by the Libyan army." In addition, most tribes, including major ones "are fighting with Gaddafi" against rebels.

His forces are motivated, not demoralized, as falsified reports claim.

On August 17, Scott Taylor's Chronicle Herald article headlined, "Gadhafi Support Soars Amid NATO Bombing," saying:

Libya's insurgency "has been more of a media war than a full-scale armed clash." In fact, despite an embargo, sea blockade, theft of Gaddafi's assets, and ferocious daily bombing, "the ragtag collection of fractious" rebels haven't managed "to make any serious headway against Gadhafi loyalists," let alone topple him.

His overwhelming popularity is key, polls showing it about 85%. Moreover, over 2,000 of Libya's 2,335 tribes support him, including the largest ones.

At the same time, Libyans revile NATO and cutthroat rebels with good reason. They're destroying, not liberating Libya for well understood imperial reasons. As a result, popular sentiment is determined to resist.

On August 16, the Mossad connected DEBKAfile headlined, "Libyan rebel 'gains' smokescreen for talks in Tunisia to end war," saying:

Claims about rebel advances and Gaddafi forces near collapse are pure propaganda, not facts because government and TNC representatives "have been meeting in semi-secrecy on the Tunisian island of Djerba...."

Fighting on the ground has been "tailing off and morphing into direct talks between the two" sides.

DEBKA sources explained "a step-by-step" process, involving Gaddafi yielding power in stages to a new government to include top positions for his sons, key loyalists, supportive tribes, and TNC turncoats. In addition, Gaddafi will remain in Libya, his personal safety guaranteed.

DEBKA also confirmed independent reports that TNC "leadership is being torn apart by infighting," especially after its field commander, Gen. Abdel Fatah Younis was assassinated.

"By broadcasting false reports of victories, such as the conquest of....Brega (Zawiyah, and other Gaddifi held cities), the rebels hope to cover up their internal disputes and inability to win the war, while at the same time (hoping falsified victories will be) bargaining chips for the negotiations."

The only so-called rebel gains, in fact, were made by "Berger tribes (that) reject any ties whatsoever with" insurgent forces.

Clearly, the scripted media victory claims are pure Pentagon propaganda - ball-faced lies with no credibility whatsoever. Reporters, commentators, and editorial writers regurgitating them function solely as imperial tools, disgracing their profession in the process.

A Final Comment

Misreporting on Syria matches Libya propaganda. On August 18, New York Times writer Steven Lee Myers headlined, "US and Allies Say Syria Leader Must Step Down," saying:

Obama and other Western leaders "called on Syria's Bashar al-Assad to give up power." Obama also froze "all Syrian assets within American jurisdiction, banned imports of Syrian oil and barred American citizens from having any business dealings with the Syrian government...."

In addition, he called on other countries to impose similar sanctions.

An August 18 White House Office of the Press Secretary statement was propaganda rubbish, saying:

"The United States has been inspired by the Syrian peoples' pursuit of a peaceful transition to democracy. They have braved ferocious brutality at the hands of their government. They have spoken with their 'peaceful' marches, their 'silent' shaming of the Syrian regime, and their courageous persistence....For the sake of the Syrian people, the time has come for President Assad to step down."

Aside from the audacity of demanding regime change anywhere, as well as imposing sanctions harming civilians, not government officials, the entire statement falsified what's been ongoing in Syria for months.

A previous article explained, accessed through the following link:

CHEKI HAPA: Falsified New York Times Middle East Reports : Indybay
 
WAKUU!
NAWAOMBA MJITAHIDI NA MUENDELEE KUCHANGIA HOJA HII KWA LUGHA YETU ADHIMU YA KISWAHILI. ILI NASI WENYE UDHAIFU WA LUGHA YA KIINGEREZA TUPATE KUJUA HASA KINACHOENDELEA HUKO NCHINI LIBYA. SI NIA YANGU KUWASHAWISHI MUACHE KUCHANGIA KWA LUGHA MNAYOIMUDU KWA HAKIKA... HASHA! BALI KTK KULETA MIZANIA KATI YETU NANYI WENYE KISOMO CHENU. Natanguliza shukurani.
 
Tatizo lako huwezi kufikiri nje ya mtandao wa falsafa za kinafiki za waarabu, waarabu walitawala hapa nchini miaka lundo kabla ya kudhibitiwa na wazungu, hebu fikiri waarabu walifanya nini cha maana hapa nchini zaidi ya biashara ya utumwa na kupandikiza uswahili na unafiki, walinganishe na wakoloni wa kizungu waliojenga mashule, Reli na mambo mengi ya kimaendeleo, Kama ingekuwa lazima kuchagua ni BORA MARA MIA KUFIKIRI NDANI YA MTANDAO WA WAZUNGU kuliko kufikiri kwa kuongozwa na falsafa za kinafiki za waarabu, Hata hivyo there is a better way and that's the fact that God graciously created ALL human beings (african's included) equal , and endowed each individual with sufficient mental power to think on his/her own, kwa sababu hiyo hata sasa waweza kuanza kufikiri kwa akili zako na kuchagua lililo jema, na kabla sijaondoka rejea hayo maandishi yako niliyowekea rangi nyekundu, na ujisahihishe maana hata teknolojia ya hii forum unayotumia kutoa maoni yako wameigundua hao wazungu, come on, be realistic and use some common sense, unayo mengi ya kuwaiga wazungu !!!!!!!!!
Hii mada ya propaganda haina tofauti na hayo yanayoendelea Libya.Pamoja na hivyo haiondoshi ukweli kuwa biashara ya utumwa ni ya wazungu.Ushahidi kwanza ni kubaki kwa kizazi cha watumwa nchini kwao.Ubaya zaidi ni kuwa biashara hii ilifanywa kwa jina la Ukristo hata meli iliyopeleka watumwa wengi ikaitwa JESUS.Ukitembelea kanisa la Mkunazini kule Zanzibar kuna vigingi vilivyotumika kuwafungia mababu zetu kabla kupelekwa Ulaya.
 
gadaffi atarukaruka mwisho wa siku atatoka au atakufa.hawawezi wakamuacha atambe.kumbukeni sadamu hussen ilikuaje.hii ni sawa na kamati kuu ya chadema na madiwani wa arusha.nyie subilini.ufaransa washasema gadaffi lazima atoke madalani na usa wakashindilia msumali.hata kama gadaffi ana haki ya kutokuvamiwa lakini ndo ishakua na mtunga sheria ndo mvunja sheria.siku nato wakiacha kulinda upande wa baharini ujue usa na ufaransa wanaleta nyambizi zao na ndo nafasi watatumia ya kutest slaha zao.tusubili.mia
 
Natoa tahadhari ifuatayo wana jf:

Kwa mujibu wa alternative news nilizokuwa nazo ni hivi
1) nato wamefeli ndani ya libya na hivyo wamechanganyikiwa kiasi kwamba wako tayari kufanya lolote bila kujali kwamba wanalipua nini, iwe ni military asset au civilian assets, so long as those assets zinaifanya serikali ya ghadafi ifunction wao wako tayari kulipua tu.

2) support katika western part of libya ni ya hali ya juu kiasi kwamba ni vigumu rebels kukamata miji, kisha wakaweka askari wa kutosha wa kukamata hiyo miji isirudi tena mikononi mwa majeshi ya serikali na volunteers. Kiufupi rebels hawana infrastructure za kulinda gains zozote wanazozipata kwa muda mrefu.

3)kuna systematic misinformation ya hali ya juu ili kuuandaa ulimwengu uamini kwamba ghadafi ataanguka karibuni, na muda fulani muafaka ukifika watakaouchagua wao watatangaza kwamba Kaanguka, wakati infact bado hajaanguka na anacontrol eneo kubwa la nchi kuliko lile la waasi, hii inafanyika kwa coordination ya vyombo vya habari kama vile cnn ya america, bbc ya uingereza, aljazeera ya qatar,deutchwelle ya ujerumani, gazeti la newyork times la marekani, ...........................................!

"Askari Kanzu" unamaoni gani kuhusu hoja hii ya "Gamba la Nyoka"?
 
Yea, especially when the video was posted on YouTube by the Libyan Army. Kama the Libyan Army imekuwa the source of information about the war, then inaonyesha ni jinsi gani tumekuwa propaganda tools.

Mkuu sijakuelewa , Aljazeera(arabic channel) nao ni special branch ya Libyan Army!? maana naona hiyo 'clip' iliandaliwa na Aljazeera.
 
kule muthaba kuna watu wamechangia na naona ni interesting kweli...naomba niwawekee;

[TD="class: dsq-header-avatar"] [/TD]
[TD="class: dsq-comment-header-meta"] Susulibya
moderator.png
4 hours ago
[/TD]

[TD="class: dsq-header-avatar"] [/TD]
[TD="class: dsq-comment-header-meta"] mathaba
moderator.png
1 day ago in reply to Panafril
[/TD]
Absolutely 100% I can guarantee as someone who knows Mu'ammar very well having been at his side for a great many years he absolutely will not leave until NATO has withdrawn and been defeated, and even then he won't leave. I can stake my life on that, no problem. That is one absolute surety. There is never even TALK of that. Abdussalam Ahmed Jalloud knows Muammar even better, and can also verify this, and said so at the outset too, that Muammar will not "step down" from anything, and that he will fight to the very end. One other thing I can tell you, the Americans suggested that he be given a position and go to live in another African country, when it became clear to them that NATO can't kill him in time and his popularity worldwide is growing. Know what he said? He said, let them kneel in front of me, and say in front of the world, that I am the King of Kings of Africa, and also make me the Custodian of the Two Holy Mosques (in Saudi Arabia, the title of the Saudi King). 🙂 And one other thing, even if he was lulled to sleep in recent years, he spent decades in preparation for a war with the "west" and the resources that are available for that, have hardly been touched AT ALL. This can go on for a long time yet, and as you see here, so it shall be: mathaba.net/news/cartoon/i/mqv...

na huyu;

show more

[TD="class: dsq-header-avatar"]
[/TD]
[TD="class: dsq-comment-header-meta"] Dennissouth1
moderator.png
1 day ago in reply to Panafril
[/TD]

I think that those reports are of the same nature as the first reports, 6 months ago, that claimed that he had "fled" to Venezuella. Remember: Every single day (literally), for 6 straight months, we have heard:

"Rebels to take Tripoli in a matter of days..."
"Rebels have Tripoli surrounded..."
"Gaddafi has fled to Venezuella..."
"Gaddafi forces are in disarray..."
"Gaddafi forces suffer low morale..."
"Rebels take Brega..."
"Rebels take Zawiya..."
"Rebels set to topple Gaddafi by end of Ramadan..."

I mean, every single day for SIX MONTHS they have stated that. They have kept the haters of Gaddafi and the Jamahiriya on the edge of their seats, hoping that, at any second, they'd be able to turn on their TVs or computers and MASTERBATE while celebrating the fall of Gaddafi and the Jamahiriya.

It is astounding! Every day for six months.

MY TAKE;
Ulimwengu tuliopo sisi tunarely sana kwenye wanahabari wa western countries,ambayo inafanya tunafungika macho kirahisi na propaganda za😵ne cant say for sure now kwamba nani kati ya upande wa Gadaffi na wa waasi/NATO anasema kweli,lakini naona kama waasi/NATO wamekuwa wanatudanganya sana na kwa muda mrefu wa hii vita ya Libya.Miezi 6 na toka awali waliifanya ionekane kama haitalast two weeks.
 
na mwingine alisema alimpigia mama yake yupo Tripoli alikuwa anatoka kwenda dukani jioni aje kutengeneza chakula cha usiku..you know how safe that sounds?
 
Keeping a close eye on Benghazi -- the real situation that other news networks will not report

by Marie Edwards
August 20, 2011

In Benghazi homes are raided, neighbors dragged off, suspects executed. Many people are unemployed. Large companies, including German construction firm Bilfinger Berger, have pulled out of the city. Young men race around town with tires screeching, others strut around in public buildings brandishing their knives. At night, the streets are reminiscent of Sao Paolo gang wars, the only difference being that the youths here wear flak jackets.

Many young academics who were about to complete their studies and to get a good job are starting to get frustrated. One, who only talks on the condition that he remains anonymous, studied economics at the Gharyounis University. He was offered a job as a manager at Bilfinger Berger and would have earned good money. Now he's unemployed. He says of the rebels: "They are under 30 and don't have wives. They are proud of the weapons they looted from barracks. They don't know how to control themselves. They quickly become aggressive. They've got these weapons and lose themselves."

Militias in Benghazi possess sophisticated weaponry, ranging from antitank missiles to rocket-propelled grenades and people here speak of tribes settling old accounts and power struggles emerging. Sporadic gunfire can be heard daily in the rebel capital, and hundreds of men walk around town armed with Kalashnikov assault rifles.
Peoples concern in Benghazi focus on gangs wearing the army fatigues favored by the rebels, terrorizing citizens and robbing them at gunpoint. "It is not safe anymore to travel in some parts of the city," says Dawud Salimi, 41. "Criminals are taking advantage of the instability for their own profit. Recently, they have targeted foreigners. A group of men wearing military outfits broke into the hotel room of a Western journalist, assaulted her and ran off with her electronic equipment".
Across Benghazi city, armed squads are being dispatched to crack down on supporters of Libyan Leader Muammar al-Qadhafi. Thousands have been arrested in the night raids.
Under the cover of darkness, the Benghazi 'protection squad' gathered. Speaking in muted, tense tones, clutching loaded guns, the men began the hunt. In swift, silent convoy they drive across the city, targeting the homes of suspected loyalists.
The armed men drove to a farmhouse just outside Benghazi. The choice of target had been discussed back at their base, in an office strewn with handwritten papers, the intelligence on potential suspects.

Pulling up silently, muffling the closing of car doors, fingers on the triggers of the loaded guns, they set up their positions. Two men pointed their weapons, sniper like, through gaps in the outer walls. Faces covered with balaclavas, others snuck through the front gate and surrounded the farm. The only noise to be heard under the clear moonlit sky was the sound of guard dogs' barks.
Drivers waited, the engines running. "This is very, very dangerous. Often there are guns battles," muttered one driver.
The farm was empty. Disappointed, the squad returned to cars. Onto the next target. "They know we are looking for them. They cannot stay in one place. Often they bribe neighbors not to give us information," says the squad leader.
Qadhafi supporters drive around in cars firing at pedestrians in order to spread fear, say the rebels. "There are thousands of them here," said the gang leader of the night raid.
"We have many people - students, post-graduates, businessmen who still stand with Qadhafi. They are in hiding now, organizing themselves," says lifelong Benghazi resident Sami Hassan, 37.

Rebels fear that "pro-Qadhafi" citizens in Benghazi are acting as spies for the Libyan government. "Don't trust anyone, we are in a psychological war," admits Council spokesperson Issam Giriani. "Even now, I know some are walking around us here, recording."
Perhaps the accusations are true. There are signs that Benghazi has not given itself to the rebel's cause. A table at an office in the court house is strewn with the weapons found on infiltrating attackers: Kalashnikov, assault rifles, and dynamite. "There have been many attempts at attacking the court house," says Ibrahim Gheriani in charge of security.

Before being stopped in their tracks by NATO air strikes, Qadhafi's advance on Benghazi emboldened some of his supporters show themselves. "In two days we will win, Muammar will be back," a man told a reporter before slipping quietly back into the crowd.
The incidences prompted the crackdown by the rebel leader who announced that Qadhafi sympathizers had 24 hours to hand over their weapons. If they didn't, they would be treated as murderers and enemies of the rebels. "Those with bloodstained hands will be punished," says Issam Giriani.
Fed by fear, war breeds suspicion and mistrust. Determining loyalties in this fluid environment can be an impossible task. Some of the targets are suspects on dangerously loose criteria.
The regime loyalty of a person's home town, a photograph of the Libyan leader in the wallet and family ties, are all considered 'evidence'.
"This man is from Sirte. Most people from there are Ligen Thauria. His family is from there too," says Hani in explanation of the midnight armed raid on the farmhouse.
The rebels have their own spying game. "Sometimes we use women; they go inside to the houses, perhaps pretending they are poor and need something. There they see if the person has guns, she tries to find them."
Captives are taken to a military base. In the closed cement quadrangle courtyard lined by cells sit rows of captives. On the right are the foreign prisoners, thought by the rebels to be "mercenaries". Lined on the left were dozens of black Libyans.
Their imprisonment is indefinite. "God knows when I will be allowed to go home," says a black Libyan who says he was captured at a bus stop as he tried to get home.
Often the raids are run by adrenaline-pumped youth. Before going out, in the secret base where they gathered, the squad of youths joked, jumped, shouted; pumped with for the night's hunt. "Most of these guys have been my friends since school," said the squad leader. "Let's go!" he said to the enthusiastic clacks of his gang loading their weapons.
Excited and power hungry the commander wielded his loaded Kalashnikov dangerously with a manic smile. His military training was cut short when he was kicked out from the college. "I had a fight with the colonel in college. He swore at me, kicked me out."
The raids can be violent. Some members of this gang have been killed. "On the first raid, we went to find Qadhafi's people who were trading guns said Hani. There was a forty-minute gun battle in which the squad lost one of its men. "We captured four guys and I killed one," he said proudly. The night raids are growing in number and size. "We caught dozens last week," said a squad organizer who works at the Benghazi rebel's courthouse.
From the start of the conflict the rebels relied on its Western backers. The rebels have failed to broaden their appeal precisely because the key opposition leaders are perceived as exactly what they are: sellouts. The Libyan people know that the leading members of the rebels are imperial puppets.
Before the war social and economic rights were so widely developed that Libya hosted hundreds of thousands of foreign workers. And with all its wealth, Libya remained a socialist country. Muammar Al-Qathafi asked: "How can one not be a socialist and spreading the wealth of one's country equally among its citizens?"
This was hard for Western capitalists to swallow and the opportunities for profit from a war with Libya were hard for Western capitalists to pass up. The objective of Washington and its allies consists in confiscating and managing Libya's vast wealth and controlling its resources. So they initiated a foreign-propelled civil war in Libya.
But the rebels are unable to use the tactical advantage that NATO air superiority provides to them. Had the rebel forces support among the Libyan masses they would have claimed more territory. Few analysts believe that the Libyan leader's loyalists can be easily defeated, if at all. Reports from Libya indicate the rising tide of massive support for the Libyan leader Muammar Al-Qadhafi by his followers, who have attended rallies and demonstrated their preparedness to confront the rebels and their backers.
The rebels are not loved, given the speech of Muammar Al-Qadhafi as he addressed his supporters of more than a million people in the northwestern town of Al-Zawiya not far from Tripoli. The crowd reached a deafening crescendo when he spoke in a recorded message.
Meanwhile the Libyan government forces have regained control of most of Libyan territory and in almost five months after the NATO aggression against Libya, key oil installations and, above all, the so far impregnable capital are firmly in the hands of the Libyan government.
The information war against Libya is gigantic. Oceans of lies and misinformation are poured on the heads of unsuspecting listeners and readers on a daily basis. Events in Libya are showing how monstrous Orwellian lies can be easily used to manipulate people's minds in an age of information technologies. Frontrunners in manipulation are Qatar's Al-Jazeera and the Western media outlets. The lies are so blatant, that one has to wonder why the paper is not rejecting the print.
The West's blame for where it now finds itself in Libya has a long pedigree. The aggression against Libya parallels the invasion of Afghanistan and Iraq. The latter is still reeling from the wounds of the sectarian strife unleashed by Washington's invasion and the former is the proverbial NATO failed state.
NATO is losing and they don't like it--they better wake up, for the US taxpayer will not fund another huge atrocity against humanity. The truth is coming out.

Benghazi: Terror in the Streets
 
Back
Top Bottom