Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,521
- 1,906
Mods naomba mnivumilie uruhusu watu watoe michango yao kuhusu hili swala. Nimefanya utafiti kwenye web leo naona napata majibu ambayo ni completely opposite! Hicho ndicho kinachonisukumu niombe msaada kwa wana JF wengine wao wanaelewa vipi kuhusu developments in LIBYA.
Kama ni mfuatiliaji wa media za kimataifa kubwa, CNN, BBC, SKY, ALJAZEERA na nyingine, utajua kuwa wanaripoti kuwa vita ya Libya inakaribia ukingoni na mji wa TRIPOLI umezingirwa na waasi.
Kama kuna mtu ana-access na credible indepent source, atupe hali halisi ya huko, maana nimeanza kutowaamini Al Jazeera. Hasa hasa kwenye ile Battle ya Zliten na Waasi wa Misrata.
Ndugu yangu katika vita yeyote ile majeruhi wa Kwanza ni ukweli na vita hii haina tofauti. Labda useme upande wa NATO wa vyombo vingi vya propaganda ikiwamo Al Jazeera kitu kinacho nishangaza. Tulipoanza walisema Ghadafi anapingwa na kila mtu lakini baadaye tuliona ukweli watu wengi wakiandamana kumuunga mkono. Katika yote hayo ukweli ushinda na katika hili ukweli utashinda pia. Jamaa hapo juu kaeleza sababu tosha wala sirudii labda niongeze kuwa kama kweli sababu ni hiyo waisemayo basi Wangeenda Syria, Yemen n.k