Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Ni kigezo gani unachotumia? Hapo sikubaliani na wewe. Naona umeamua kujipotosha kwa madhumuni uyajuayo mwenyewe!.. last time nilipo-check Gaddafi alikuwa na bado ni mwafrika kuliko wewe na mimi!
Libyan TV has reported that Muammar Gaddafi and his two sons had left the country. An uprising is already under way on the streets of Tripoli. The Spoken for the Libyan government has confirmed that the rebels has reached Tripoli but they have been dealt with.
Unconfirmed: Tweets Say Gaddafi Has Left Libya [BREAKING]Libyan TV has reported that Muammar Gaddafi and his two sons had left the country. An uprising is already under way on the streets of Tripoli. The Spoken for the Libyan government has confirmed that the rebels has reached Tripoli but they have been dealt with.
<br />Libyan TV has reported that Muammar Gaddafi and his two sons had left the country. An uprising is already under way on the streets of Tripoli. The Spoken for the Libyan government has confirmed that the rebels has reached Tripoli but they have been dealt with.
Propaganda na uongo mtupu.Hapa CNN natizama sasa hivi.Gadafi yupo Tripoli ngangari.Unconfirmed: Tweets Say Gaddafi Has Left Libya [BREAKING]
As rebels surround Libya's capital city of Tripoli, widespread tweets are claiming Libyan leader Colonel Muammar Al-Gaddafi has left the country.
So far, NBC correspondent Richard Engel reports via Twitter that "people are celebrating … still lots of gunfire … but reports from here in Libya still unconfirmed."
Follow the tweets at #Libya - here's a sampling:
Unajua maana ya "unconfirmed"? Je siku Gaddafi akiondoka Libya bado itakuwa ni propaganda?Propaganda na uongo mtupu.Hapa CNN natizama sasa hivi.Gadafi yupo Tripoli ngangari.
Ni kigezo gani unachotumia? Hapo sikubaliani na wewe. Naona umeamua kujipotosha kwa madhumuni uyajuayo mwenyewe!
Kwa hapo sina wakati wa kupoteza!Mkuu,
Pitia hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bari-kama-munavyo-amini-cv-yake-hii-hapa.html.
Umeona hapo Ali Mwinyi inasemwa sio mzanzibari. Vigezo vya uzanzibari ni vipi au kipi?
Ungependa bado tujadili nani mwafrika zaidi?
Je wewe unavyo vigezo vya uafrika?
Wameonyesha pia state tv ya Libya two screen moja live wananchi suppotters wa colonel wakiwa mitaani wakiandamana.Wasiwauwe tu na kumsingizia Gadaffi.Hizi propaganda wanajitayarisha kufanya hivyo,yani kutuchanganya,na wanapata upenyo wa kuendeleza unyama huku tukichanganywa na habari tu,na baadae watu hawajui lipi kweli lipi uongo,hapo ndiyo wataendelea kuuwa kwa ulaini zaidi.Subiri uone.Unajua maana ya "unconfirmed"? Je siku Gaddafi akiondoka Libya bado itakuwa ni propaganda?
Wanaiharibu hiyo nchi halafu wanajigawia tenda ya kuijenga upya kwa kutumia pesa za mafuta yao wenyewe.Walibya watajuta sana.Wa tripoli wata stand naye tho.I believe so.ni propaganda za kusubiri daku hizo...
Gaddafi yupo Libya na hapo Tripoli pako shwari tu.
Hao waasi hawakubaliki na hawana uwezo wa kuongoza hata Bumbuli, na ndio maana porojo zao kila siku ni
1. "Rebels to take Tripoli in a matter of days..."
2. "Rebels have Tripoli surrounded..." 3."Gaddafi has fled to Venezuella..."
4."Gaddafi forces are in disarray..."
5."Gaddafi forces suffer low morale..."
6."Rebels take Brega..."
7."Rebels take Zawiya..."
8."Rebels set to topple Gaddafi by end of Ramadan..."
Sasa hiyo waliokurupuka nayo leo ni ya 9...
Wameonyesha pia state tv ya Libya two screen moja live wananchi suppotters wa colonel wakiwa mitaani wakiandamana.Wasiwauwe tu na kumsingizia Gadaffi.Hizi propaganda wanajitayarisha kufanya hivyo,yani kutuchanganya,na wanapata upenyo wa kuendeleza unyama huku tukichanganywa na habari tu,na baadae watu hawajui lipi kweli lipi uongo,hapo ndiyo wataendelea kuuwa kwa ulaini zaidi.Subiri uone.
Sawa, wacha nisubiri nione!Wameonyesha pia state tv ya Libya two screen moja live wananchi suppotters wa colonel wakiwa mitaani wakiandamana.Wasiwauwe tu na kumsingizia Gadaffi.Hizi propaganda wanajitayarisha kufanya hivyo,yani kutuchanganya,na wanapata upenyo wa kuendeleza unyama huku tukichanganywa na habari tu,na baadae watu hawajui lipi kweli lipi uongo,hapo ndiyo wataendelea kuuwa kwa ulaini zaidi.Subiri uone.
Wanaiharibu hiyo nchi halafu wanajigawia tenda ya kuijenga upya kwa kutumia pesa za mafuta yao wenyewe.Walibya watajuta sana.Wa tripoli wata stand naye tho.I believe so.
Is he on his way to Venezuela????
Hizi taarifa za Gaddafi kuondoka Libya hazikuanza leo.
Tunakumbuka, "Gaddafi must go!" "Gaddafi must leave the country!"
"Gaddafi is negotiating his exit" "Gaddafi is seriously sick"
Wanachofanya NATO tokea mwezi wa nane uanze ni massive propaganda war. Wanajaribu kumchokonoa huko aliko ili ajitokeze. Akijitokeza, wambamize!
Uharamia wa NATO unakuwa exposed kwa hiyo September ikifika kuna mbinde huko UN. NATO na US wanataka kumaliza hii vita leo kabla ya kesho.
Libya TV itakuwa outlet ya mwisho kutanganza Gaddafi kaondoka nchi, unless hii Libya TV , inamaanisha TV ya rebels.