Hizi taarifa za Gaddafi kuondoka Libya hazikuanza leo.
Tunakumbuka, "Gaddafi must go!" "Gaddafi must leave the country!"
"Gaddafi is negotiating his exit" "Gaddafi is seriously sick"
Wanachofanya NATO tokea mwezi wa nane uanze ni massive propaganda war. Wanajaribu kumchokonoa huko aliko ili ajitokeze. Akijitokeza, wambamize!
Uharamia wa NATO unakuwa exposed kwa hiyo September ikifika kuna mbinde huko UN. NATO na US wanataka kumaliza hii vita leo kabla ya kesho.
Libya TV itakuwa outlet ya mwisho kutanganza Gaddafi kaondoka nchi, unless hii Libya TV , inamaanisha TV ya rebels.