Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,234
Tupinge kwa madafu ya Kikwete. Buku ngapi utatoa wasipokana?kesho ikizidi sana kesho kutwa hii habari wataikana
wamewachuuza wenzao kuwa wangefia tripoli,
tetetetetete, magaidi bana utawajua,
alikuwa anasema tokeni, chukua siraha mkawahi ahera,
eti wakifa wanakwenda ahera wakati yeye kufa hataki pamoja na uzee wake.
Hii ni familia haihusiki na vita,wahusika wakuu Ghadafi na wanae Saif na Khamis bado wako Libya na hawatoroki kwenda popote.

Huyu gadaffi si alisema atafia libya kumbe anaipenda familia yake! Mmmhh nilidoubt toka siku alipotoa statement ya kupigana hadi kufia libya, kufa hafi ila kamwaga vumbi la mbio
Tupinge kwa madafu ya Kikwete. Buku ngapi utatoa wasipokana?
Usiwe na uhakika sana, nakuhakikishia nitakungojea Western Union kesho kutwa!Nitachukua madafu ya bure...
Libyan fighters close to a checkpoint in Ragdalin, western Libya, on August 28, 2011
Libyan Transitional National Council (TNC) chief Mustafa Abdel Jalil says fugitive ruler Muammar Gaddafi is still a threat while opposition forces are on the outskirts of Gaddafi's hometown.
The TNC head also on Monday called for continued international support at a meeting of NATO defense ministers in Doha, Qatar.
"I call for continued protection from NATO and its allies from this tyrant," Abdel Jalil was quoted as saying by Reuters.
"He [Gaddafi] is still a threat, not just for Libyans but for the entire world," he added.
You get me wrong, my friend!
In the beginning, as Gaddafi ordered the mass murder of anti-government protestors, Obama and other Western leaders remained silent.
Labda ni macho yako yaliyofumba. Kwa kukuongezea mchezo wa propaganda: hivi sasa rebels wanasema kuna wafungwa wapatao hamsini elfu hawajulikani walipo! Ukitaka propaganda zaidi nitakupa tu Mkuu. Usiwe na wasi wasi!Mkuu fumba macho kwa hili lakini baadae yafumbue.
Anger simmers among pro-Gaddafi Libyans in TripoliYou get me wrong, my friend!
Kutokumkubali Gaddafi haina maana kwamba ninawakumbatia NATO, kama hao walibya kwenye hiyo clip (ambayo sikumaliza kuiangalia).
There would be no way that the Libyan people, after 42 years, would let Gaddafi continue his dictatorship. It was over for him..."

Jamani be careful before you started this issue, those people from those African Countries Most did not work in the Oil Fields, they were employed as Police Men and Militia... when you look most Arab Militia have joined the population, the people from other nations who happened to be blacks they still fighting it is their faults.

Please check this issue in general and not pick and choose what to talk about.... Who is to blame???
Yeah, waache waendelee kumngoja Gaddafi arudi!"There's more Gaddafi supporters than rebels here. But they can't act right now as we don't know what the future will be. They're waiting for Gaddafi to come back," he added.
Umesema mwenyewe KAMA ni mamluki lakini ukweli blacks has been Subjected to Racial Profiling..IT is good to see bad guys behind bars. Especially if they're convicted. Justice is better than revenge. And justice must be done for the relatives of the victims as well as for the dead.
Kama hao Waafrika weusi ni mamruki wa Ghadafi (Gaddafi, Gadhafi, Kadaf, Khadafy, Kadhafi: , Qaddafi or Quathafi), kwa nini wasikamatwe na kufikishwa mikononi mwa sheria wakashtakiwa kama waarifu wa kivita!?
US na West wanatafuta na watatafuta kila sababu ili waingize vikosi vyao vya ardhini. Hili unalolisemea hapa ni moja ya sababu ya kuingiza vikosi kwa kisingizio cha kulinda silaha zisiangukie mikononi mwa "terrorists".Gaddafi atakwenda na wengi!
Libya threatens to become terrorist arms depot
Post-Gaddafi chaos exposes arsenals of small arms and chemicals to raids by smugglers and militants.
Sidhani kama wako tayari kufanya hivyo kwa sababu wameshajifunza Afghanistan na Iraq. Kama wangetaka kufanya hivyo wangeshafanya zamani (of course covert agents/soldiers are already there, this is not a secret). They will never risk a change in public opinion should some of their soldiers get killed in combat in Libya.US na West wanatafuta na watatafuta kila sababu ili waingize vikosi vyao vya ardhini...http://twitter.com/#!/al_Jamahiriya