The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Naona Gadafi kaamua kujiunga na JF na kuandika comments!! ila kajitaidi ila ana mtihani wa kujifunza zaidi kiswahili! good stuff Gadafi! Mmmh naam!!
 
nahisi ni mwita25 amekuja na id yake ya 4. Huyu ndo anakuaga na akili iliyojaa waste product ya food
 
Wapi source Mkama.Never mind,nimeshaiona mkuu hiyo stalinist journal.Nimeicheki all articlesd ni Russian.Sina muda wa ku translate.Mpiga kelele hizo habari ni za kweli mkuu?
 
[h=1]Libya Storm on Sirte Failed TNC in Desperate Chaos[/h]Posted on October 4, 2011 by nsnbc
Yesterday NATO and TNC Mercenaries initiated the yet heaviest assault on the strategically and economically important city of Sirte, advancing into the suburbs of the city. After heavy fighting the attack was grinded to a halt this morning. Though heavy fighting continued in other cities the fronts were relatively calm, which indicates that the TNC is running low on reserves. Is the all out assault a desperate attempt to register one victory before the NATO Meeting in two days, Intelligence close to the TNC reports that the Transitional National Counsel is in utter chaos. This morning at a press conference, Abdelhakim Belhadj "pleaded" to the population in Tripoli to help establish "stability, law and order" and give back their arms to the Tripoli Military Counsel. by Dr. Christof Lehmann
In two days, on 6 October, NATO leaders will meet to discuss how they are going to proceed with their modern, North African Vietnam. While the situation in Southern Libya is relatively stable, and heavy fighting continued inside Bengazi and other northern cities, as reported yesterday, the situation was relatively calm. In Bengazi, which is liberated with the exception of the city center where TNC Fighters are heavily entrenched, a group of Tribal Elders promised undying vengeance after reviewing video evidence of over 200 murders committed by the TNC´s Al Qaeda troops.
It seems as if the TNC had yesterday concentrated all available troops in the all out assault on Sirte. Under the cover of heavy and light artillery barrages from land and sea, as well as under the cover of air support, the TNC fighters were approaching towards forward positions, capturing some of the suburbs of Sirte, paying the price of heavy casualties. How volatile the situation is for the TNC fighters became clear when the rebel commander, who newly replaced another rebel commander who had fallen into an ambush, was killed by a special operation of the Libyan Military tonight. In spite of a heavy investment in manpower and material, this morning the assault on Sirte has grinded into a halt, and the attacking TNC troops have made themselves massively available as targets for special operations from Libyan Military, Tribal Militia and other Allied Forces from throughout North Africa.
French Blowback - French Mines Destroy 35 NATO Vehicles

According to a Russian Intelligence Operative who is observing the situation in Libya closely, yesterday warriors of the Tuareg tribe gave a demonstration of their special desert warfare skills. The Russian Intelligence source revealed to Stalinist Live Journal, that intercepted NATO communications revealed that two AV-8B Harrier II and two Eurofighter jets from the Italian Carrier Garibaldi Guiseppe were searching in vain for the cause of the destruction of 35 tanks and armored personnel carriers. The destruction of the targets with 5 minutes interval was interpreted as a sign of an attack from the air, though no radar nor infrared signatures could be found. A close inspection of the destroyed vehicles revealed the remains of French made anti tank mines, which according to the same intelligence source had been placed under the vehicles by Tuareg warriors, who are experts in desert stealth guerrilla warfare.
Tonight nsnbc received intelligence that what remains of the TNC after 90% of it´s members left remains in utter chaos. The Libyan Youth movement, which recently declared war on the TNC has begun an assassination campaign of persons cooperating with the TNC and Abdelhakim Belhadj´s Tripoli Military Counsel aka Libyan Islamic Fighting Group. Yesterday a judge, responsible for harsh sentences against captured military officers loyal to the legitimate Libyan Government was murdered in his home. The home of the judge is in one of the "safest" most heavily guarded districts of Tripoli, only a few hundred meters away from the Royal Danish Embassy.
At a press conference this morning, Abdelhakim Belhadj was pleading to the residents of Tripoli to surrender their weapons so the Tripoli Military Counsel aka Libyan Islamic Fighting Group could establish "law and order" as the basis for taking steps towards building democratic institutions. Desperate words, considering that it is not long ago that the TNC promised " Democracy Within 20 Month´s ". With overwhelming likelihood his words will also be in vain, considering the precedence of "law and order" a la Belhadj the population has experienced. With over 90 % of the Libyan people opposed to the illegal occupation of their country, and increased military support from throughout Northern Africa, the best chance for establishing law and order would be for Belhadj, Jalil, Jibril and NATO to leave Libya. As to Syria, the establishment and massive backing up of the Syrian National Counsel after the last months of insurgency, sanctions and NATO backed unconventional warfare must raise red flags about where NATO´s next attacks are planned.
Dr. Christof Lehmann
04.10.2011
 
Naona magaidi wameanza kuzidiwa tena.Nilitabiri hii.Mapinduzi ni kweli yalikuwa ya wahuni wachache.Naona wananchi wanaondoa ukabila wanaungana.Wanataka jamuhuri yao.Sapoti ya wananchi haiko na NATO wala hao NTC.Ni wazi kabisa.Ndiyo maana hata habari za huko wala hawazipi kipaumbele.Shukrani kwa wote mliokuwa mki update coz huwa nakuja kupata habari za Libya hapa.
 
huyu ni yule msukuma aliyepanda Baiskeli toka huko kwao na kuja Dar kumpongeza Kikwete...
 
ndugu mi naona tuna akili moja mbaya,kiongozi asikae muda mrefu.kama kiongozi ni mzuri anasaidia watu bac akikaa hata miaka mia hamna shida,kubadilisha kiongozi lakati misha yalikuwa mazuri ni ujinga.
 
Nimecheka, nikalia, mpaka nikajihisi kuanza kuishiwa pumzi, lol!
Huyu jamaa ameniburudisha, ka stress kalikokuwa kananinyemelea kote kametoweka.
 
Watu wanapenda ushabiki wa mambo wasiyoyajua hivi zamani tulipokuwa na utawala wa kifalme kwani ulikuwa unakaa miaka mingapi? Tena wafalme wengine walikuwa dhalimu hasa Lakini kwa Gadafi imekuwa nongwa ama kweli binadamu wana matatizo makubwa sana.
 
Watu wanapenda ushabiki wa mambo wasiyoyajua hivi zamani tulipokuwa na utawala wa kifalme kwani ulikuwa unakaa miaka mingapi? Tena wafalme wengine walikuwa dhalimu hasa Lakini kwa Gadafi imekuwa nongwa ama kweli binadamu wana matatizo makubwa sana.
fadhili mfadhili mbuzi waweza kumla mchuzi !!
 
ndugu mi naona tuna akili moja mbaya,kiongozi asikae muda mrefu.kama kiongozi ni mzuri anasaidia watu bac akikaa hata miaka mia hamna shida,kubadilisha kiongozi lakati misha yalikuwa mazuri ni ujinga.
demokrasia ya kweli iko wapi???!!!
 
Haya siye tuna miaka 50, 23 Nyerere kala peke yake kama raisi iliyobaki ndo mwendo wa kupokezana vijiti tumefika wapi?
hata maji ya kunywa hayana uhakika ndani ya kimji kama DAR maana huwezi kitu kinachoitwa jiji, japo hayo maji tunayalipia.
umeme kwa mbinde, huo mkate tu balaaa mpaka uje mjini ndo ukutane nao! na bei yake anasa(mlo wa siku kwa familia nyingi mjini)
leo hii rasilimali zetu zoooote ziko chini ya wageni, kwa kisingizio cha kipumbavu kabisa eti serikali haijihusishi na biashara!
hizi hizo zerikari za kupokezana vijiti leo hii hazina kauli kwa wamiliki wa biashara nchini hata ya kuuza mchele nini mafuta!!
sasa hao wanao mwona Gadafi hakutakiwa kukaa muda wote huo, si bure wakapimwe!!
 
Watu wanapenda ushabiki wa mambo wasiyoyajua hivi zamani tulipokuwa na utawala wa kifalme kwani ulikuwa unakaa miaka mingapi? Tena wafalme wengine walikuwa dhalimu hasa Lakini kwa Gadafi imekuwa nongwa ama kweli binadamu wana matatizo makubwa sana.

Sio zamani tu kaka_huyo malkia koko wa uingereza amekaa miaka mingapi,mfalme wa saud arabia...yaani ni kama kichekesho fulani....lakn the end will justfy the truth mkuu......watamkumbuka gadaffi
 

na huyo malkia wenu mnayemwabudu wa uingereza kakaa miaka mingapi,utakuja na justfication za uongo eti hana executive power_kalagabao....'miafrika ndivyo tulivyo'(nyani ngabu jf member)
 
siyo mbali sana watamkumbuka the only one Colnel living in this world!!
maana haya manyang'au yameshaanza kukimbilia kwenye hiyo hazina ya mafuta na kuanza kujifanya eti wanafanya exploration!! kure-build na reopening ya visima!
na kuwapa msaada wa hela.wanadhani bure!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…