Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi source Mkama.Never mind,nimeshaiona mkuu hiyo stalinist journal.Nimeicheki all articlesd ni Russian.Sina muda wa ku translate.Mpiga kelele hizo habari ni za kweli mkuu?Du;
Hii kama si propaganda, basi hawa Turueg ni majini nini? maana wanafyatua vifaru wapinzani bila kuwaona. ha ha ha ha
According to a Russian Intelligence Operative who is observing the situation in Libya closely, yesterday warriors of the Tuareg tribe gave a demonstration of their special desert warfare skills. The Russian Intelligence source revealed to Stalinist Live Journal, that intercepted NATO communications revealed that two AV-8B Harrier II and two Eurofighter jets from the Italian Carrier Garibaldi Guiseppe were searching in vain for the cause of the destruction of 35 tanks and armored personnel carriers. The destruction of the targets with 5 minutes interval was interpreted as a sign of an attack from the air, though no radar nor infrared signatures could be found. A close inspection of the destroyed vehicles revealed the remains of French made anti tank mines, which according to the same intelligence source had been placed under the vehicles by Tuareg warriors, who are experts in desert stealth guerrilla warfare.
Yesterday NATO and TNC Mercenaries initiated the yet heaviest assault on the strategically and economically important city of Sirte, advancing into the suburbs of the city. After heavy fighting the attack was grinded to a halt this morning. Though heavy fighting continued in other cities the fronts were relatively calm, which indicates that the TNC is running low on reserves. Is the all out assault a desperate attempt to register one victory before the NATO Meeting in two days, Intelligence close to the TNC reports that the Transitional National Counsel is in utter chaos. This morning at a press conference, Abdelhakim Belhadj "pleaded" to the population in Tripoli to help establish "stability, law and order" and give back their arms to the Tripoli Military Counsel. by Dr. Christof Lehmann
French Blowback - French Mines Destroy 35 NATO VehiclesPAW ban hiki kichwa!!!!
huyu ni yule msukuma aliyepanda Baiskeli toka huko kwao na kuja Dar kumpongeza Kikwete...
fadhili mfadhili mbuzi waweza kumla mchuzi !!Watu wanapenda ushabiki wa mambo wasiyoyajua hivi zamani tulipokuwa na utawala wa kifalme kwani ulikuwa unakaa miaka mingapi? Tena wafalme wengine walikuwa dhalimu hasa Lakini kwa Gadafi imekuwa nongwa ama kweli binadamu wana matatizo makubwa sana.
demokrasia ya kweli iko wapi???!!!ndugu mi naona tuna akili moja mbaya,kiongozi asikae muda mrefu.kama kiongozi ni mzuri anasaidia watu bac akikaa hata miaka mia hamna shida,kubadilisha kiongozi lakati misha yalikuwa mazuri ni ujinga.
Watu wanapenda ushabiki wa mambo wasiyoyajua hivi zamani tulipokuwa na utawala wa kifalme kwani ulikuwa unakaa miaka mingapi? Tena wafalme wengine walikuwa dhalimu hasa Lakini kwa Gadafi imekuwa nongwa ama kweli binadamu wana matatizo makubwa sana.
acha maneno ya halalisha udhalimu.wewe utakaaje madarakani miaka 42?gaddaf mjinga.utatengenezaje viti vya dhahabu nyumbani kwako wakati baba ako ana lala kwenye hema?alifanya hivyo makusudi ili aendelee kuwatawala.ni sawa na kusema eti kikwete wazazi wake wako kijijini.tuseme wazazi wa kikwete kule kijijini wanaashi maisha sawa na wanakijiji wengine?baba ake kamulaani.mia