wewe unataka demokrasia au maisha mazuri,kama kiongozi yupo mzuri,anafanya haki ana wasaidia kila idara.demokrasia ya nini tena?demokrasia ya kweli iko wapi???!!!
mimi binafsi naona tz tumelogwa,yaani tunapenda demokrasia kuliko maisha mazuri.eti ata kama maisha mazuri tubadilishe viongozi,je unauhakika gani kama kiongozi mwipya atakuwa mzuri kama wa zamani?
haha mkuu nisamehe kama umedhani vingine,nacho point hapo ni kwenye hi thread watu wanapenda demokrasia kuliko maishaHakuna aliyetoroga_its matter of time,...hata hiyo democrasia tunayoipenda iko wapi?
mi nataka demokrasia bila maisha mazuri.topic clozdwewe unataka demokrasia au maisha mazuri,kama kiongozi yupo mzuri,anafanya haki ana wasaidia kila idara.demokrasia ya nini tena?
haha dah tz tumelogwa.mi nataka demokrasia bila maisha mazuri.topic clozd
Aaah nyie na siasa zenu "kali" nishawachoka. Nangoja hivyo vijiposho mnavyopata toka kwa Gaddafi viishe afu tuone!...Woora wooora kulia MkamaP, kushoto JMushi, halfback 4 Somoche, mkoba Nonda, kiungo Mpiga kelele, hah haaah haaaah
Baada yamisukosuko mingi inayo mukabili kanali mwamadi ghadafhi anae nyanyaswa nakuteswa na waasi wa libiya,Atimae leo ameamuwa kuonyesha yakuwa hao wahasi wanawatesa tu Raiya wema wasiyo na kosa kanakwamba yeye yuko imara na anaendelea na maisha yake kama kawaida,
Aidha waasi wangetafuta utaratibu mwingine kuliko kwendelea kuangamiza raiya wasiyo na kosa kwani mapingana yanapo anza raiya wasiyo nakosa ndiyo wanao humia.
Ata ivo walibia wangeangalia uwepo wa kanali mwamadi kosa lake hasa nilipi linalosababisha hali hii ya mapingano hapo libiya
US-NATO wameleta balaa, maangamizi Libya.
Hiyo ndio domokrasi wanayoisemea na kuieneza kwa mabomu, ndio uhuru wa kusema wanaouzungumzia kwenye viriri. Ukweli unajulikana wanataka na wanapenda watu na wananchi wao wasikilize porojo zao na waone sinema zao tu.Mkuu naona US-NaTo wameisha i'corrupt' YouTube, maana 'clip' za kutuonyesha ushetani wa US-NaTo-terroristrebels wanaziondoa kwenye mtandao.
you are very right!Wandugu Somoche na Askari Kanzu .....restrain, restrain
Rudini kwenye hoja na mjadala unoge...make it not personal, please!