Na hao wafalme wa Saudia mbona hamsemi wamekaa miaka mingapi? Walibya watajuta kama WaIraq! Unaposema eti mbwa kafunwa kamba shingoni unamaanisha uhru upi ukilinganisha na hapa Bongo ambapo utajiri wa aslili wanafaiodi wageni! Tunaimbiwa wimbowa UTULIVU NA AMANI wakati pengo kati ya matajiri na masikini linazidi kuwa kubwa la kutisha!