EMT,Afrika haikuwazuia wamerikani wasiungane kama wao wanavyo ifanyia Afrika.Sijui kwanini mapenzi sometimes yana hamper our reasoning ability ya baadhi yetu humu?!
Yani very very sad indeed!Nani aliwaingilia gold zao walipozigundua,silver and all that?Mafuta yao je?
Tafadhali fikiria zaidi mkuu wangu.
Afrika hawajafanya maamuzi yeyote.Wana maamuzi gani ya kufanya everybody meddling in their affairs?!Inaonekana African states zimefanya maamuzi hayo mekundu.
Rick Rozoff: World
Gadafi kwisney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Si ndo huyu alileta majeshi yake kuunga Mnoko dictator Idd Amin kutupiga Tz???
Jamani waungwana.... huyu Mtu leo amedadilika na kuwa mwema leo??
Angalieni consistency ya ubaya wa huyu mtu!!
Najuwa kuwa hukusema Afrika wamewazuia wamarekani.Sijasema Afrika iliwazuia Wamarekani kuungana. Point yangu ni kwamba process waliotumia Wamerekani kuungana sidhani kama inaweza kutumika na kufanikiwa kuunganisha Afrika kwa sasa. The join or die technique will never succeed in Africa. The only way ni kufuata the modern integration process. That is my point Siongelei mapenzi hapa. Naongelea reality.
Mtu makini hawezi kujump from now where na kutaka kuungana politically. It has to start somewhere. My friend you can't reason with reality and I am not here to do that. BTW si ni huyu huyu Gaddafi aliyekuwa anataka United States of Africa alishauri Nigeria watengane, wakritu kwao na wailamu kwao? Sasa kama unashauri disintegration tena based on faith za watu utawaunganishaje politically?
Tunamsubiri Colonel Gaddfi kwenye press conference usiku huu atakanusha kuuawa kwake.BTW si ni huyu huyu Gaddafi aliyekuwa anataka United States of Africa alishauri Nigeria watengane, wakritu kwao na wailamu kwao? Sasa kama unashauri disintegration tena based on faith za watu utawaunganishaje politically?
nami naungana nawe kuwapa pole waungwana walioweza kujengewa nyumba za ibada nayepoleni mlionufaika kwanamna yeyote ile na misaada ya gadafi .
Mhn!Gaddafi's evils are fabricated,he wasnt bad for his nation and the well being of his people.May you (Col. Ghadafi) rot in hell
Marekani-shame on you!
Inaonekana African states zimefanya maamuzi hayo mekundu.
Rick Rozoff: World
Marekani-shame on you!