The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

EMT,Afrika haikuwazuia wamerikani wasiungane kama wao wanavyo ifanyia Afrika.Sijui kwanini mapenzi sometimes yana hamper our reasoning ability ya baadhi yetu humu?!

Yani very very sad indeed!Nani aliwaingilia gold zao walipozigundua,silver and all that?Mafuta yao je?

Tafadhali fikiria zaidi mkuu wangu.

Sijasema Afrika iliwazuia Wamarekani kuungana. Point yangu ni kwamba process waliotumia Wamerekani kuungana sidhani kama inaweza kutumika na kufanikiwa kuunganisha Afrika kwa sasa. The join or die technique will never succeed in Africa. The only way ni kufuata the modern integration process. That is my point Siongelei mapenzi hapa. Naongelea reality.

Mtu makini hawezi kujump from now where na kutaka kuungana politically. It has to start somewhere. My friend you can't reason with reality and I am not here to do that. BTW si ni huyu huyu Gaddafi aliyekuwa anataka United States of Africa alishauri Nigeria watengane, wakritu kwao na wailamu kwao? Sasa kama unashauri disintegration tena based on faith za watu utawaunganishaje politically?
 
Inaonekana African states zimefanya maamuzi hayo mekundu.
Rick Rozoff: World
Afrika hawajafanya maamuzi yeyote.Wana maamuzi gani ya kufanya everybody meddling in their affairs?!

Halafu ukachangia na brainwash ya baadhi yetu plus ukibaraka kama hao NTC!

Wenzetu wako kimkakati zaidi na juwa wanaanzia mapema sana.

Ndiyo maana baada ya miaka yote hiyo,walipata vibaraka ndani ya Libya.Sasa juzi tu walivunja ile Barb Al Aziziya.Manufaa kwa nani?

Wajinga hawa wana personal interest zao,na sidhani kama they care for Libya or Africa.
 
Gadafi kwisney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Si ndo huyu alileta majeshi yake kuunga Mnoko dictator Idd Amin kutupiga Tz???

Jamani waungwana.... huyu Mtu leo amedadilika na kuwa mwema leo??

Angalieni consistency ya ubaya wa huyu mtu!!

Amehangia sana kuwatenganisha Waafrika kwa misingi ya kiimani. Hata Nigeria kuna mkono wake. Siifurahii sana hii hukumu ila amevuna alichokipanda
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sijasema Afrika iliwazuia Wamarekani kuungana. Point yangu ni kwamba process waliotumia Wamerekani kuungana sidhani kama inaweza kutumika na kufanikiwa kuunganisha Afrika kwa sasa. The join or die technique will never succeed in Africa. The only way ni kufuata the modern integration process. That is my point Siongelei mapenzi hapa. Naongelea reality.

Mtu makini hawezi kujump from now where na kutaka kuungana politically. It has to start somewhere. My friend you can't reason with reality and I am not here to do that. BTW si ni huyu huyu Gaddafi aliyekuwa anataka United States of Africa alishauri Nigeria watengane, wakritu kwao na wailamu kwao? Sasa kama unashauri disintegration tena based on faith za watu utawaunganishaje politically?
Najuwa kuwa hukusema Afrika wamewazuia wamarekani.

Elewa vyema nimekueleza kuwa kama na wao wangeingiliwa kama wanavyotuingilia sisi basi wasingeweza kuungana.

Nobody meddled with their internal affairs.

Ndo maana nikakwambia kama hayo waliyowafanyia hao Native Indians ambao ni unyama na mauwaji,halafu wangeingiliwa kwa kigezo cha kuwa protect hao Indians,unadhani marekani wangekuwa walipo?

Reasoning i insist!
 
BTW si ni huyu huyu Gaddafi aliyekuwa anataka United States of Africa alishauri Nigeria watengane, wakritu kwao na wailamu kwao? Sasa kama unashauri disintegration tena based on faith za watu utawaunganishaje politically?
Tunamsubiri Colonel Gaddfi kwenye press conference usiku huu atakanusha kuuawa kwake.
Photoshops zimezidi. Hata video ni zile za Qatar hoolywood. Stay tuned.

Gaddafi speech: "America hanged Saddam, and you could be next!" (with English) - YouTube
 
Very bad!!!realy it is an inhumanic killing!!!!dah!may God rest his soul!
 
May you (Col. Ghadafi) rot in hell
Mhn!Gaddafi's evils are fabricated,he wasnt bad for his nation and the well being of his people.

At least hakuruhusu mafisadi!

Amejenga nchi!Nyie wahindi mnajenga nchi?

Usije ukakuta nyie ndo mta rot one day!Chunga kauli mkuu.
 
Hakuna wakati wowote sasa na baadaye Marekani na washirika wake wakawa marafiki wa kweli wa mataifa ya Afrika bila kuangalia maslahi yao kwanza, gharama zote za vita ya Libya na hatimaye kuuawa kwa Ghadafi zitabebwa na wananchi wa libya kupitia mafuta yao. Ghadafi ameuwa na marekani na washirika wake na si wananchi wa Libya. Kuwindwa kwa Ghadafi na hatimaye Kifo chake lengo lake sio tu kumiliki mafuta hatimaye uchumi wa Libya bali uchumi na utawala wa Afrika kwa ujumla. "Regardless" ameuawa na maiti yake kudhalilishwa kwa kadiri walivyofanya bado Ghadafi amekufa kishujaa akipambana na ubeberu wa Marekani na washirika wake na atakumbukwa na wapenda haki wakati wote. R.I .P Ghadafi. Inna lillahi waina ilahi raj'un.
 
Inaonekana African states zimefanya maamuzi hayo mekundu.
Rick Rozoff: World

LOL. Wamechagua ku die na kuwa USAFRICOM. Wanagekuwa makini hawa viongozi wa Afrika, baada ya kuuawa kwa Gaddafi, wangekaa chini na kuamua kuwa the AU is not fit for purpose. Africa needs to back to square one. Simfagilii kabisa Gaddafi but it is very worrying when an African leader get killed by the help of an outsider, whilst other leaders stand there and look. Inawezekana viongozi wengi wa Kiafrika walitaka Gaddafi aondoke kwa vile alikuwa na mpango wa kuwanyika ulaji toka West?
 
Nimemind sana kumuua huyu jamaa,yaani hadi nahisi machoz yananilengalenga! Jamaa alikuwa jembe la ukweli! RIP Ghadaff! EL 4 2015
 
nilikuwa natazama cnn television wakaonyesha jinsi walibya wanavyouchezea mwili wa gaddafi
halafu wakaonyesha wazungu waliokuwa wanatazama kwenye tv wakicheka kwa madharau
swali nalojiuliza waarabu watadharauliwa mpaka lini
wameshindwa kumchukua gaddafi na kumweka gerezani bila kuonyesha huo ukatuni?
hawajui wanaingia kwenye maisha mapya ya kutawaliwa na nato?
 
Back
Top Bottom