The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Mkuu jmushi1,
Kwa upande wangu nawaona wananchi wa Libya kama wapumbavu na wasio na akili timamu kutokana na sababu mbalimbali. Mosi,ukiangalia jamaa mambo aliyoyafanya jamaa ni makubwa ambayo hakuna taifa lolote duniani limeweza kuyafanya! Cha msingi hapa sio "udikteta" wa Gaddafi,ila ni "ukaidi" wake ndio uliokuwa haupendwi na the so called "donar community"...ukumbuke kuwa duniani hakuna nchi ambayo haidaiwi/haina deni!!! Libya ilikuwa haina deni bali iliweza kusaidia na kukopesha nchi zingine masikini ktk bara la Afrika.
Nionavyo mimi jamaa alikuwa yupo poa sana kuliko mafisadi wetu wanaotuacha tuwe na "freedom of speech" halafu tukiishi chini ya dola moja!
Nawasilisha...
 
Waarabu sio watu wakawaida, wana roho ngumu sana hawa..wamemuua waasi.
 
Sawa mkuu, naitupia macho lakini pia nikuulize hivi kutengeneza silaha na sofa ya dhahabu kunaashiria nini? Ni yapi makubwa zaidi yalikuwa yanaendelea nyuma ya pazia kwa hizo resources za nchi?

Mkuu utantambua,

Hakuna mkamilifu na hilo ,mimi Nonda nimelisema mara nyingi tu. mbali na mapungufu ya Gaddafi hakuna kiongozi wa hata nchi moja ya Afrika ambaye amefanya kwa nchi yake kama Gaddafi amefanya kwa Libya na Afrika.

Kwa hiyo, ukitaka mtazamo mimi ningesema hilo la masofa na silaha ya dhahabu ni katika ufahari wa tamaduni za "waarabu". Lakini, yes, ni ufujaji wa fedha. Lakini jee hivyo vitu vimegharimu kiasi gani cha fedha? Hivi kweli kwa mchango wake wa maendeleo ya nchi ya Libya na yeye hakustahili "kastarehe kidogo"?

Nimalizie kusema kuwa kila mtu ana mapungufu na hilo unaweza kulitia katika mapungufu yake lakini mazuri yake yana uzito zaidi. Kwa bahati wengi wanasemea udhaifu wake mchache na wanaacha mazuri ,au kutokujali kabisa nini amefanya kwa nchi yake na Afrika.

Sasa na wewe, jibu hili. Je unajua jambo lolote jema, zuri ambalo Libya na Afrika ilipata chini ya uongozi wa Gaddafi?
 
Real talk, George Bush & Tony Blair should also be brought into int. criminal court cus they killed innocent people in Iraq and Afghanstan.
 
Kwa jinsi ninavyoona posts za watu wengi humu ndani...mjadala wa Hukumu ya Kifo utakuwa mrefu,na pengine hautakwisha!
 
You should be ashame of yourself kama unafurahia kifo cha Gaddafi, kwani hata hao waasi wa ntc wamesema hawatakua teyari kushirikiana na nchi za kiafrika..,watashirikiana na Mabeberu nchi za ulaya tu..walio wasaidia kumuua gaddafi.
 
Acha hasira,kama kuna mnaobandika mabaya aliyofanya,mimi kubandika yale mazuri kwa nchi yake unaita pumba?Haikuwa lazima kuchangia.
Huoni heading ya habari inasema "The other side"?

Mkuu watu ni wabishi na hawajui hizo facts za jamaa kuwa alikuwa "SO CARING" kwa nchi yake kiasi hata cha kuifia...yaani waLibya hawajui wayatendayo ila sasa ndo watajua kuwa maisha ni machungu coz walishazoea vya bure sasa vinakuja vya kununua!
 
Hivi ni lini Ghadafi alianza kuwa rafiki wa Wa-Tanzania na kwa nini?
Pale alipoomba msamaha kwa Mwalimu Nyerere na kuelezea kudanganywa kwake na Amin kuhusu mzozo wa Uganda/Tanzania.
Watu wazima hawa walizungumza yakaisha.

Kwa nini unafikiri mwalimu alirudisha mateka wa Libya? Ugomvi ulikomea hapo na ndio sababu Kikwete Membe ni vinara wa urafiki kati ya Libya na Tanzania mpaka pale US-NATO walipoivamia Libya.
 

Hiyo nyekundu sasa habari imerudi tena.

The United Nations and human rights groups called on Friday for a full investigation into the death of Libyan leader Muammar Gaddafi and voiced concerns that he may have been executed, a war crime under international law.

Zaidi hapa UPDATE 4-UN, activists urge inquiry into Gaddafi death | News by Country | Reuters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…