Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu. Mazuri aliyofanya Ghadafi kwa nchi yake nayakiri na kwa hilo namsifu.
Lakini hapohapo nikukumbushe kuwa hayo aliyoyafanya si HISANI bali ni WAJIBU wake kama kiongozi wa nchi. Kwani alitumia raslimali zake za familia ama za nchi? Hapana. Sasa kwa nini asifiwe kama vile alikuwa anafanya philanthropy? Dhima ya kuwa kiongozi ni kuwa accountable na kutumia resources za nchi kwa manufaa ya wote. Unaposhindwa kufanya hivyo hufai na unapaswa uondolewe ama ujiondoe.(Kwa hili kwa nchi nyingi za kiafrika hatujaweza kufanikiwa but thanks to arab spring imeset precedent)
Na unapoweza kuzitumia raslimali hizo vizuri haina maana kwamba inakupa haki isiyonyang'anyika ya kuwa kiongozi wa maisha ama raia wa daraja la kwanza mwenye haki zaidi ya raia wengine wote katika nchi yako, absolutely No. Wananchi wanapotaka kukuondoa madarakani hata kama umefanya wajibu wako wa kutumia raslimali za nchi vizuri unapaswa uondoke.
Sasa hoja zilizopo kwa wingi ni Ghadafi kafanya makubwa kwa nchi yake, sawa sikatai. Lakini je hili linampa haki isiyonyang'anyika ya kuwa raisi wa maisha ama raia mwenye haki zaidi kuliko walibya wote? Hapana.

Hivi unajua kumchoka mtu ama kitu au jambo? Ikikufikia hiyo huangalii nyuma..Huwezi jua we hujaishi pale. Ni kama mke ambaye wanawake wenzake wanamshangaa kwa kuomba kwake talaka kwa kuwa tu wanamwona anabadili magari jumatatu mpaka jumapili anapoenda sokoni au kazini..Mkuu jmushi1,
Kwa upande wangu nawaona wananchi wa Libya kama wapumbavu na wasio na akili timamu kutokana na sababu mbalimbali. Mosi,ukiangalia jamaa mambo aliyoyafanya jamaa ni makubwa ambayo hakuna taifa lolote duniani limeweza kuyafanya! Cha msingi hapa sio "udikteta" wa Gaddafi,ila ni "ukaidi" wake ndio uliokuwa haupendwi na the so called "donar communi ty"...ukumbuke kuwa dunian i hakuna nchi ambayo haidaiwi/haina deni!!! Libya ilikuwa hain a deni bali iliweza kusaidia na kukopesha nchi zi "freedom of speech" halafu tukiishi chini ya dola moja!
Nawasilisha...
UPDATE 1-Government building on fire in Libyan capital
Mon Feb 21, 2011 9:31am GMT
Tangia siku hizo Gaddafi angepaswa kuanza kuamka kutoka kwenye usingizi mzito wa madaraka. Yaliyomtokea Gaddafi ni kama funzo kwa viongozi wengine wenye tabia ya kujisahau. Naona unanilazimisha niwe NTC sio? Napenda zaidi rangi za ASKARIKANZU (red, gold and green)!Yawezekana jengo hilo kunasehemu limetengenezwa kwa matofali ya baruti, nadhani wakati 'tebels sorry NaTo-Ntc' wanashangilia kwa risasi wameiwasha baruti hiyo. Niajari/li ya kawaida ya moto. ASKARIKANZU wafikiriaje weye?
Mkuu watu ni wabishi na hawajui hizo facts za jamaa kuwa alikuwa "SO CARING" kwa nchi yake kiasi hata cha kuifia...yaani waLibya hawajui wayatendayo ila sasa ndo watajua kuwa maisha ni machungu coz walishazoea vya bure sasa vinakuja vya kununua!
Na unapoweza kuzitumia raslimali hizo vizuri haina maana kwamba inakupa haki isiyonyang'anyika ya kuwa kiongozi wa maisha ama raia wa daraja la kwanza mwenye haki zaidi ya raia wengine wote katika nchi yako, absolutely No. Wananchi wanapotaka kukuondoa madarakani hata kama umefanya wajibu wako wa kutumia raslimali za nchi vizuri unapaswa uondoke.
Sasa hoja zilizopo kwa wingi ni Ghadafi kafanya makubwa kwa nchi yake, sawa sikatai. Lakini je hili linampa haki isiyonyang'anyika ya kuwa raisi wa maisha ama raia mwenye haki zaidi kuliko walibya wote? Hapana.
Naona unanilazimisha niwe NTC sio? Napenda zaidi rangi za ASKARIKANZU (red, gold and green)!