Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Jamaa aliyeposti anajua mema na mabaya Guaddafi. Si wote waliofaidi hayo matunda ya utawala. Na unafahamu alimpindua Mfalme wa pale asili yake Benghazi? Hao wa eneo hilo wengi walihamia nchi za mbali maana unakuwa una hatari ya kuoza ama kufia jela. Ndiyo maana natoa mfano wa mwanamke anayechekwa na kinamama wenzake anapodai talaka kisa wanamwona anabadili magari Jumatatu mpaka Jumapili na anavaa dhahabu zenye vito vya gharama.Kifupi hakuwa mtawala mzuri.Angeheshimiwa na watu wake WOTE kama angeachia madaraka yake na kuruhusu uchaguzi kupitia vyama. Kule hakuna katiba,kuchaguana,nchi ilikuwa inaendeshwa kiajabu! Kwa Green book. Ukichukua chumba hotelini pamoja na sabuni na dawa ya meno,unapewa Green book. Hiyo ina misimamo ya Guadaffi na hutakiwi kuhoji ama kukaa group kudiscuss vitu kinyume na utawala wake..! Alikuwa mashushushu kila mahali. Viwango vya Sirte kufaidika vilikuwa tofauti na Tripoli,na vya hapo tofauti na Misratah na Benghazi.ingekuwa vizuri ukatoa mfano wa watu walionyimwa uhuru. Kwana si hata marekani kuna watu hawana uhuru, mbona hawalipui? Au kuna kitu ambacho wengine bado kukijua?
Haya wameuza nchi yao kwa gharama kubwa. Hivi vitu kama walivizoea wasahau....
Hitler made german the stronger country, gaddafi made libya stronger countryMkuu hayo yote alifanya kwa pesa za walibya na ni si kutoka mfukoni mwake hata Adolf hitler nae alifanya tena mazuri zaidi yake! Lakini je! Hatakama ni wewe ukapewa kilakitu lakini ukakosa uhuru itakuwaje? Ukapewa vitu ukanyimwa utu itakuwaje? Just try to think before write this pumba.
**************
Source: Catholic News Agency:
{Vatican voices hope for Libya after Ghadafi's death}
**************
After Moammar Ghadafi's death, Libya must chart a new course based on human dignity and the rule of law, the Vatican said in a statement released Oct. 20.
"The news of the death of Colonel Moammar Ghadafi thus closes an overly long and tragic phase of the bloody fight for the overthrow of a hard and oppressive regime," the Holy See's Press Office said in its reaction on Thursday.
The former Libyan leader's violent death, it said, shows "the immense human suffering that accompanies the affirmation and the collapse of every system that is not based on the respect and dignity of the person, but on the prevailing assertion of power."
The Vatican said it now hopes the new governors will work to prevent violence motivated by revenge and "take on the necessary work of sowing peace and reconstruction as soon as possible, with a spirit of inclusion, on the foundation of justice and law."
Libya's Transitional National Council, which took the capital Tripoli in August, is now preparing to declare full "liberation" of the country that Colonel Ghadafi, 69, ruled for 42 years.
The ousted dictator died at the hands of rebels in his hometown of Sirte, reportedly from gunshot wounds to his head and abdomen. An official in the transitional council told Reuters that his burial would take place on Friday in the city of Misrata.
The Holy See hopes other nations, many of which joined a NATO intervention in Libya's civil war, "will be committed to generously assisting" in rebuilding the country.
Meanwhile, Libya's small Catholic community "will continue to offer its testimony and its … service, in particular in the charitable and health fields," as the Vatican works for the country's good by diplomatic means.
In Thursday's statement, the Vatican recognized that the Transitional National Council "is now seated in an effective way as government in Tripoli," such that the Holy See now "considers it the legitimate representative of the Libyan people, in conformity with international law."
Vatican representatives have already had contact with Libya's new authorities. Its Secretariat of State has been in touch with Libya's representatives to the Vatican in the time since the transitional council took Tripoli.
More recently, Archbishop Tommaso Caputo, the Pope's representative in Libya, visited Tripoli from Oct. 2 to 4 and met with the council's Prime Minister Mahmoud Gibril as well as the Ministry for Foreign Affairs.
"For their part," the Vatican's statement noted, "those responsible for the new Libya communicated their appreciation for the humanitarian appeals of the Holy Father and for the commitment of the Church in Libya," particularly the hospitals and other aid centers run by 13 religious orders.
**************
**************
Source: Catholic News Agency:
{Vatican voices hope for Libya after Ghadafi's death}
**************
After Moammar Ghadafi's death, Libya must chart a new course based on human dignity and the rule of law, the Vatican said in a statement released Oct. 20.
The Vatican said it now hopes the new governors will work to prevent violence motivated by revenge and "take on the necessary work of sowing peace and reconstruction as soon as possible, with a spirit of inclusion, on the foundation of justice and law."
Libya's Transitional National Council, which took the capital Tripoli in August, is now preparing to declare full "liberation" of the country that Colonel Ghadafi, 69, ruled for 42 years.
The ousted dictator died at the hands of rebels in his hometown of Sirte, reportedly from gunshot wounds to his head and abdomen. An official in the transitional council told Reuters that his burial would take place on Friday in the city of Misrata.
The Holy See hopes other nations, many of which joined a NATO intervention in Libya's civil war, "will be committed to generously assisting" in rebuilding the country.
Mkuu utantambua,Thanks. Na vipi kuhusiana na sofa na bastola ya dhahabu vinaashiria nini, kulewa madaraka ama kuboresha maisha ya walibya?
Hivi jamani western western hivi hayo majeshi ya waasi yaliundwa na waingereza,wafaransa na wamarekani? au walichukulia migogoro hiyo ya libya kama loophole? Unajua ni vigumu kwa usa na wenzake kushawishi zaidi ya Half a population kumpinga gadafi. Inabidi tukubaliu walibya kuna mambo ambayo yaliwachosha wakaoone waonyeshe hisia zao na hapo ndipo wenzetu wa magharibi wakatumia upenyo.All in all Gaddafi was a great man..western countries walikuwa na chuki naye tu.
Duhu!!na wale wapambe wa NATO na NTC ambao wamo humu Jamvini ni
1. Rats
2. vibaraka
3. wakurupukaji
4. wenye wivu na maendeleo aliyoyaleta Gadaffi.
5. Wanaoutamani kwa hamu kubwa ukoloni mambo leo.
6. Wasiojuwa maana halisi na faida zipatikanazo na rasilimali tulizojaliwa Barani Afrika.
7. Ni hatari kwa mustakabali wa umoja wetu waafrika.
8. ni bora hawana Madaraka, kwani wangeburuzwa na wangetutoa ICU na kutupeleka Kaburini.
9. Ni faida ya kizazi cha CCM hii ya vyama vingi.
10. Hawana tofauti na mkia wa Mbuzi, kwani huwa haufukuzi NZI wala haustiri uchi.
Nawasilisha
Duhu!!
bora me mpambe wa SISIEM
| Country | 1996 | 1997 | 1998 | 1999 | 2000 |
| Libya | N/A | 6,700 | 6,700 | 7,900 | 8,900 |
| United States | 28,600 | 30,200 | 31,500 | 33,900 | 36,200 |
| Egypt | 2,900 | 4,400 | 2,850 | 3,000 | 3,600 |
| Algeria | 4,000 | 4,000 | 4,600 | 4,700 | 5,500 |