Nonda,wanajeshi watakuwa wale wale,ila jina tu litabadilika na kuwa chini ya mwavuli wa UN,yani "UN Peace keeping Forces"
Vladmir Zhirinovsky, an ultranationalist and the leader of the Liberal Democratic Party, called the killing a barbaric act.
"It is clearly barbarianism when a mob destroys the leader of its state," Zhirinovsky said in televised comments in the State Duma on Friday, adding lavish praise for Gadhafi's welfare state.
"Never will a citizen of any state receive that which the Libyans got during the 40 years of Gadhafi's regime," he said.
The Moscow Times
Halafu kuna wanaodai eti alikuwa dakika tano mbele.Writing in his blog, Zhirinovsky spared no praise, likening Gadhafi to the founders of Communism and the Italian nation state, Karl Marx and Giuseppe Garibaldi: "He is the wisest of men, an African Karl Marx, a Libyan Garibaldi," he said, adding that Gadhafi's legacy was to offer a third way between socialism and capitalism.
Read more: Russia Demands Inquiry Into Gadhafi's Death | News | The Moscow Times
The Moscow Times
Wr
Halafu kuna wanaodai eti alikuwa dakika tano mbele.
Kweli ukizungumza kutoka kwenye brainwashed mind unakuwa kama huko lisaa mebele!
Nimeipenda hii....
Swali langu kwa wale wenye kuelewa;kama anataka azikwe kiislam,ni kwanini basi anasema asioshwe?
Hivi wewe mangi unadhani Gadafi alikuwa mzima kichwani?
Daah, kasepa zoezi! kiguzo, mshika kata, na mkamuaji, mlie wana!
Mkuu wewe unafikiri ana matatizo gani kichwani?
Ya akili
Mkuu Nyani NgabuHivi wewe mangi unadhani Gadafi alikuwa mzima kichwani?
Mkuu nasita kuwalaumu walibya though ule unyama kwa gadafi unauma,nasita sababu nawaona kwa makundi makubwa wakifurahia "uhuru"! Wanajua waliishi vipi na wanajua matarajio yao.lakini kwanini tunaamini walibya hawawezi kuishi maisha pengine bora kuliko yale ya gadafi? Kwani gadafi alikuwa anatoa fedha mfukoni kwake? Pengine wakijipanga kwa resource walizonazo wanaweza kuwa better than gadafi times and be another Japan! Tuamini wanaweza kufanya makubwa zaidi bila gadafi! Tusubiri muda!Mimi hadi leo bado sijaelewa kwanini walibya wamemuua Gaddafi. Jamaa ndiye Rais wa kwanza duniani kuwatafutia wananchi wake wake wa kuoa pamoja na kuwalipia mahari. Pia alikuwa anasimamia shughuli yote ya arusi. Hivi utapata wapi Rais mzuri kama huyu? Walibya wapumbavu sana.
Akili inapimwaje?
Kwa njia kadhaa
Mfano taja moja?