Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakwata umeshawambia hayo?Acheni kuingiza udini kwenye suala la Gaddafi. Kwani askari wa NATO waliokuwa wanarusha drones kwenda Libya nao ni waislamu? Nchi za NATO nazo ni za Kiislamu. Watanzania tusipokuwa makini tutachimba makaburi yetu wenyewe. Mambo mnayoandika au kusema yanaingia miongoni mwa jamii. matokeo ya mambo haya yatakapokuwa yamekomaa tutajuta. Ninarudia kusema si vema kuhusisha mambo ya nje ya Tanzania na kuyanasibisha na masuala ya Tanzania LIBYA ni LIBYA na TANZANIA ni TANZANIA. Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Kuliko wewe mdosi,mzima sana tu!Hivi wewe mangi unadhani Gadafi alikuwa mzima kichwani?
Regardless the fact that he lost the battle, he's a great hero l'll live to remember. He's equals to our Chief Mkwawa. MAY God rest his soul in peace.
mimi naona wewe ndiyo mnafiki sbb huyo jamaa wa cnn alitumwa na wanafiki kumhoji kiongozi asiyetaka unafiki! Tambua pia kuwa demokrasia siyo kuchagua tu bila kutekeleza mahitaji ya wananchi,wizi wa kura,kukoswa huduma,za jamii,ndiyo demokrasia?Nasema watanzania na JF acheni unafiki! eti Gaddafi hakustahili? nani kawaambia? Huyu Gaddafi:
- Alikuwa muuaji wa watu wake,
- Ilikuwa ukisema hakuna demokrasia unashitakiwa (Mfano John Mann wa cnn alimhoji juu ya demokrasia alimpasha live kijana ungekuwa mlibya ungeshitakiwa)
- Cheki watu walivyomiminika uwanjani kuwasikiliza viongozi wa NTC
- Nasema acheni unafiki watanzania, huyu jamaa kwa alivyokatili alisitahili.
- Haya mambo ni ya walibya!!
Every news about gadafi makes me more n more angry n sad,may his soul rest in peace,
Kuliko wewe mdosi,mzima sana tu!
Tuna angalia results za uongozi wake na siyo mabeberu na braishwashed monkeys wao na propaganda zao.
Wewe weka vigezo vyako ulivyotumia kuwa hana akili kama si vya kibeberu.
Jamaa gani aliyekuwa na huo utajiri?Panua mawazo yako.Dah! Kumbe jamaa alikuwa na utajiri mkubwa namna hiyo? Hilo deni wanalodaiwa na nato linalipika kabisa.