The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

ubishi ubishi tuu, wala hautabadilisha kilichotokea libya
 
Acheni kuingiza udini kwenye suala la Gaddafi. Kwani askari wa NATO waliokuwa wanarusha drones kwenda Libya nao ni waislamu? Nchi za NATO nazo ni za Kiislamu. Watanzania tusipokuwa makini tutachimba makaburi yetu wenyewe. Mambo mnayoandika au kusema yanaingia miongoni mwa jamii. matokeo ya mambo haya yatakapokuwa yamekomaa tutajuta. Ninarudia kusema si vema kuhusisha mambo ya nje ya Tanzania na kuyanasibisha na masuala ya Tanzania LIBYA ni LIBYA na TANZANIA ni TANZANIA. Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Bakwata umeshawambia hayo?
 
TRIPOLI, Libya – Libya's transitional leader has declared liberation of the country, three days after the death of its leader of four decades, Muammar Qaddafi. Mustafa Abdul-Jalil also told thousands of supporters at a ceremony on Sunday that Islamic Sharia law would be the "basic source" of legislation in the country and that existing laws that contradict the teachings of Islam would be nullified. In an address that set an Islamist tone for post-Qaddafi Libya, he said new banks would be set up to follow the Islamic banking system, which bans charging interest.

(http://www.foxnews.com/world/2011/1...sy-reveals-qaddafi-died-from-gunshot-to-head/)
 
Hivi wewe mangi unadhani Gadafi alikuwa mzima kichwani?
Kuliko wewe mdosi,mzima sana tu!
Tuna angalia results za uongozi wake na siyo mabeberu na braishwashed monkeys wao na propaganda zao.

Wewe weka vigezo vyako ulivyotumia kuwa hana akili kama si vya kibeberu.
 
Every news about gadafi makes me more n more angry n sad,may his soul rest in peace,
 
Regardless the fact that he lost the battle, he's a great hero l'll live to remember. He's equals to our Chief Mkwawa. MAY God rest his soul in peace.

Mkuu hii battle ipi?
Kama ni battle baina yake na US-NATO plus rebels plus specials forces of France, UK, Qatar and foreign merceneries basi kuhimili miezi 8 ya wababe wapatao nchi 30 ni wazi hakushindwa. Kuna kitu kimewekwa bayana hapa katika hii kadhia ya Libya ni kuwa US-NATO ni wezi wanaojificha chini ya kivuli cha UN na kuuza maneno kuwa ni kuunga mkono domokrasia.

Lakini wacha nikubaliane na wewe kuwa "he lost the battle". Kama Gaddafi lost the battle, kuna yeyote katika Afrika atakayeweza kushinda au kuwadhibiti wezi, wauaji hawa (US-NATO)?
 
Sasa kama hawakuwa na legitimacy huko nyuma leo kwanini wana legitimacy ya kutangaza liberation of the country?
 
Nasema watanzania na JF acheni unafiki! eti Gaddafi hakustahili? nani kawaambia? Huyu Gaddafi:
  1. Alikuwa muuaji wa watu wake,
  2. Ilikuwa ukisema hakuna demokrasia unashitakiwa (Mfano John Mann wa cnn alimhoji juu ya demokrasia alimpasha live kijana ungekuwa mlibya ungeshitakiwa)
  3. Cheki watu walivyomiminika uwanjani kuwasikiliza viongozi wa NTC
  4. Nasema acheni unafiki watanzania, huyu jamaa kwa alivyokatili alisitahili.
  5. Haya mambo ni ya walibya!!
mimi naona wewe ndiyo mnafiki sbb huyo jamaa wa cnn alitumwa na wanafiki kumhoji kiongozi asiyetaka unafiki! Tambua pia kuwa demokrasia siyo kuchagua tu bila kutekeleza mahitaji ya wananchi,wizi wa kura,kukoswa huduma,za jamii,ndiyo demokrasia?
 
Every news about gadafi makes me more n more angry n sad,may his soul rest in peace,

Isiishie hapo. Kuna haja ya kufikiri mkakati ambao utaisaidia Afrika ijipapatue na ukoloni mpya. Ukipandwa na hasira, reasoning inakuwa clouded na hivyo ndivyo US-NATO (wazungu) wanavyotaka kuwa Miafrika tushindwe kufikiri mikakati ya kututoa utumwani bali twende kwao kutembeza bakuli aka kuomba mikopo na ufadhili.

Utakapokuwa umezidiwa na sadness inakufanya uone akili na mwili ni helpless. Mtego mwengine huo waliotegewa Viongozi wetu na miafrika yote. Watakapojiuliza na kujiambia ....Gaddafi ameshindwa, sisi tutaweza? Are we ready to surrender? US-NATO psy ops in action on the whole continent of Africa.

Kifo cha Gaddfi kiamshe mori ya Miafrika kukataa utumwa (recolonization).
 
Hata ccm huwa inasomba watu kwenda kwenye mikutano yao na mbiu zinapigwa watu wanatishiwa wasipojitokeza itakula kwao sio ishara ya kukubalika kwanini waliogopa uchaguzi baada ya gaddafi kukubali? Hoja hii ya gaddafi haifanani na siasa za tz coment kwa kuangalia uhalisia na siyo propaganda za magharibi! Yangu ni hayo nachukia NATO SANA
 
The western will never allow his sentiments ever materialize. The last thing in whites' mind is to see Islam and sharia law flourish and the most probable mistake the NTC will do is to embody these opinions into reality. If that happens then they should prepare themselves to take same battering Gaddafi has suffered.
 
Mbali na yote haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea huko Afrika ya Libya, hakuna tena waandishi wa habari, kiongozi wa Afrika ambaye anazungumzia kuwa Serikali ya Libya ilikuwa nampango wa kusaidia kuikwamua Afrika kutoka kwenye makucha ya IMF na World Bank, na sasa ni nini kifanyike ili mpango huu usipotee kabisa .Baadhi ya Watu wanaongea upupu(Wanajijua haswaa) ambao wala hausaidii kuhakikisha kuwa inakuwepo Afrika huru na iliyoungana kikweli kweli. Inasikitisha sana(rejea 'heading' ya uzi huu), sio Libya imekula kwao, Waafrika imekula kwetu.
......................
Even worse for the colonial powers, Libya had allocated $30 billion for the African Union's three big financial projects, aimed at ending African dependence on western finance. The African Investment Bank, with its headquarters in Libya, was to invest in African development without charging interest, which would have seriously threatened the International Monetary Fund's domination of Africa, a crucial pillar for keeping Africa in its impoverished position.
............
 
sheria zote duniani zinaathiriwa na mila,desturi,na dini hata hizi sheria zetu zimetokana na dini,ila tunapunguza au kuongeza mambo toka kwenye sheria mama ya dini au mila.hakuna shida
 
wakuuu
ninaomba nishare na nyie mambo machache kwa kiasi kikubwa western media wanaonyesha zile sehemu ambazo watu wanashangilia lakini hawonyesh sehemu ambazo watu wanahuzuniaka hususan sirte.kama ninavyoelewa libya imegawanyika ki,akabila hivyo watu walioko benghazi na mistrata wanatofautiana sana na watu walioko huko sirte na ban walid.hivyo ndivyo waliona ni vyema baada ya mauti ya kadhafi apelekwe huko ili waweze kumtreat wanavyotaka na pia walihofia kuupeleka mwili wake tripoli kwa kuwa ndiko sehemu alizokuwa anakubalika sana.
ni vyema sie wate tunaelewa na kama huamini tumwombe Mungu atujalie maisha marefu tuje tuone yatakoyotokea huko mbeleni.
ni kwamba walibya wamegawanyika sana kuna watu wanamatumaini ya kupata maisha mazuri kuliko yale ya kipindi kile cah gaddafi ambapo kwangu mie naona ni ndoto kwa hili kutokea kwa kuwa tayari infaltion ni kubwa huko libya. serikali ya NTC itashindwa kuwaridhisha wananchi wake wengi wao walikuwa wanapata vitu free ndio matokea yake watakuwa wanazidi kupigana kila kukicha.
Ndugu zako gharama za vita ni kubwa na kutengeneza libya mpya ambayo gaddafi aliijenga kwa miaka 42 ambayo wao NTC wamekuja kuibomoa kwa miezi 8.
 
Haya BAKWATA na laana zao ina maana yule rafiki yenu anatumia sheria zisizoendana na 'sharia'?
 
Hujatumia kichwa kabla ya kuandika, kaa chini utafakari kwanza, walibya unaowaona kwenye tv yako wakishangilia ni wachache sana walibya wengi wanalia, wanamlilia shujaa wao Gaddafi. propaganda za US na NATO wengi zimewateka kiakiri kama wewe ambae hujui na huwajui hao NTC, chukua muda wako kidogo
 
Back
Top Bottom