The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Mimi hadi leo bado sijaelewa kwanini walibya wamemuua Gaddafi. Jamaa ndiye Rais wa kwanza duniani kuwatafutia wananchi wake wake wa kuoa pamoja na kuwalipia mahari. Pia alikuwa anasimamia shughuli yote ya arusi. Hivi utapata wapi Rais mzuri kama huyu? Walibya wapumbavu sana.
Walomwua hawakuwa walibya,wale ni group la wahuni limebarikiwa na jina la NATO,period!
Ni vile hakuna mwenye uwezo wa kuwauliza uraia wao,ukifwatilia hao wengi wao ni wale waliokuwa nje ya nchi ie UK na kwingineko uarabuni.
 
Sasa kama hawakuwa na legitimacy huko nyuma leo kwanini wana legitimacy ya kutangaza liberation of the country?
Nchi bado haijawa liberated.Too early to say that.Wao waliona shida zinazidi wakadhani kumwua Gaddafi itazipunguza.Subiri uone!

Hakuna kitu kibaya kama **** akishtuka!Mjanja hupata shida.Watakapoanza kuona maisha bora hakuna tena,ndo utajuwa.
 
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).

kwani NATO waliitwa? Ingekuwa mie nsingelipa hata kibaba cha mafuta... Hawa rebels watajuta!
 
Hivi mtuma thread anaelewa maana ya dola trilioni 3 ama anafurahisha baraza. Nashangaa great thinkers mnaendelea jadili upuuzi.
 
Walomwua hawakuwa walibya,wale ni group la wahuni limebarikiwa na jina la NATO,period!
Ni vile hakuna mwenye uwezo wa kuwauliza uraia wao,ukifwatilia hao wengi wao ni wale waliokuwa nje ya nchi ie UK na kwingineko uarabuni.

Lakini mbona mapinduzi yamepokelewa vizuri sana na walibya wa nyumbani. Ile 'turnup' ya leo ilikuwa kubwa sana.
 
Nchi bado haijawa liberated.Too early to say that.Wao waliona shida zinazidi wakadhani kumwua Gaddafi itazipunguza.Subiri uone!

Hakuna kitu kibaya kama **** akishtuka!Mjanja hupata shida.Watakapoanza kuona maisha bora hakuna tena,ndo utajuwa.

Mkuu, watu wakiona CNN au BBC wakionyesha Walibya wanashangilia kifo cha Gaddafi wanajua Libya yote wapo hivyo...

Mfano hapa kwetu mtu ambae yupo nje ya Tanzania akiwa anaangalia vyombo vya habari vya Tanzani vikiripoti habari za Uchaguzi si unaweza kusema Tanzania hakuna upinzani bado CCM inapendwa..
 
Wanao furahi ni hao wanaowekwa kwenye video za propaganda.Wasio furahi wako terrorized na unyama unaoendelea huko ambao huonyeshwi kwenye hizo video.Na kwahiyo wako kimya kwasababu hakuna anayewalinda kama mnavyoambiwa wanalindwa.Wanauwawa.

Na walichomfanyia Gaddafi ni unyama ili kuendelea kuwanyamazisha.

Kungekuwa na utoaji wa habari wenye mlingano sawa kutoka kwenye hizo source zako za habari unazoziamini,basi ungeshangazwa pi na umma wa walibya wasiosapoti hao waasi.

thats very true mkuu
 
23 October 2011 Last updated at 11:06 GMT
Gaddafi website publishes 'last will' of Libyan ex-leader
*endeleeni na mapambano
*maiti yangu izikwe kwa desturi na mila za kiislamu
*nizikeni Sirte kwenye makaburi ya mababu
*nizikwe na nguo nilizovaa mauti yaliponikuta
*mwili wangu usioshwe
*nitakufa kama Mwislamu

_56228142_013196351-1.jpg

In his will, Gaddafi urged Libyans to fight on

Muammar Gaddafi's website, Seven Days News, says it has published the last will of the deceased former leader of Libya.
The document was reportedly handed to three of his relatives, one of whom was killed, the second arrested and the third managed to escape the fighting in Sirte.

Here is the English translation:
"This is my will. I, Muammar bin Mohammad bin Abdussalam bi Humayd bin Abu Manyar bin Humayd bin Nayil al Fuhsi Gaddafi, do swear that there is no other God but Allah and that Mohammad is God's Prophet, peace be upon him. I pledge that I will die as Muslim.

Should I be killed, I would like to be buried, according to Muslim rituals, in the clothes I was wearing at the time of my death and my body unwashed, in the cemetery of Sirte, next to my family and relatives.

I would like that my family, especially women and children, be treated well after my death. The Libyan people should protect its identity, achievements, history and the honourable image of its ancestors and heroes. The Libyan people should not relinquish the sacrifices of the free and best people.

I call on my supporters to continue the resistance, and fight any foreign aggressor against Libya, today, tomorrow and always.

Let the free people of the world know that we could have bargained over and sold out our cause in return for a personal secure and stable life. We received many offers to this effect but we chose to be at the vanguard of the confrontation as a badge of duty and honour.

Even if we do not win immediately, we will give a lesson to future generations that choosing to protect the nation is an honour and selling it out is the greatest betrayal that history will remember forever despite the attempts of the others to tell you otherwise."

-BBC
he knew he was going to be killed,reckless-he let himself killed-R.I.P Colonel
 
historia itawahukumu wananchi wa Libya kama walikua sahihi ama hawakuwa sahihi. na historia itatuhukumu hata sisi kama tulikua sahihi kuwaona ni wauaji ama la!
 
Guys remember there is no free lunch in town,Libya must pay the due.
 
Tears as Muslims pay respect to Col. Gaddafi
*maombolezo yawaunganisha waislamu waliotengana Uganda
*hasira na machozi zatawala maombolezo
*Gaddafi aliuawa kwa sababu ya wivu, asema Sheikh Mbogo
*Msikiti wa Gaddafi (Uganda) ni msikiti mkubwa kuliko yote Afrika kusini ya Sahara
*waislamu waonywa dhidi ya kumjaji Gaddafi


home001px.jpgSheikh Amir Mutyaba, former Uganda ambassador to Libya during Amin’s time, wipes away tears as he eulogises Muammar Gaddafi during special prayers in memory of the slain leader held at the Gaddafi Mosque in Old Kampala. He was among the first beneficiaries of scholarships Gaddafi offered to Muslims to study abroad. Photo by Stephen Otage

By YASIIN MUGERWA & WANDERA OUMA
Posted Saturday, October 22 2011 at 00:00

Ugandan Muslims, split by an internal power struggle, yesterday found a reason to unite in prayer for the soul of Col. Muammar Gaddafi who met his death at the hands of youthful rebel forces in his home town of Sirte in Libya.

Anger and tears characterised the special prayers held at the Gaddafi Mosque in Old Kampala. Speaker after speaker praised the fallen Libyan leader who helped fund several projects in the country including the Gaddafi Mosque built at Shs50b.

Several speakers attacked the West and accused them of targeting Libyan oil and killing Gaddafi in the process. The Muslims also accused NATO of using divide- and –rule tactics to exterminate Gaddafi and his loyalists.

Sheikh Abdulkadir Mbogo, who led the Friday summon which was dedicated to Gaddafi’s contribution to the Muslim community in Uganda, said, “he was killed because of jealousy”.

He warned Muslims against judging Gaddafi and reminded them that every soul will eventually come face to face with the angel of death.

“Gaddafi has died a hero, because he has done a lot for the Muslim community and the country,” he told the congregation that sat still, many shedding tears.

Gadaffi Mosque, one of the biggest in sub-Saharan Africa with a capacity of about 30,000, was filled to capacity.

The Monitor
 
..ama kweli watanzania bado tunamawazo mgando ya mabadiliko. Hii ndiyo CCM wanaitumia kututawala. Wewe huwezi sema eti alitenda mema, wao ndiyo wanaofahamu. Mimi nachosema ni kuwa maamuzi yao tuyaheshimu na siyo kumfagilia muuaji wa wauaji, kwani kwenye lile gereza aliua watu wangapi? mbona hivyo havitamukwi? hata kama alitenda mema vipi lakini kama ni kutenda mema kwa kuwaua wale wote wanaokupinga huwezi kudumu kama CCM sasa inavyosambaratika. Tuwe na mtazamo wa wale waliouawa na Gaddafi pia,
 
Lakini mbona mapinduzi yamepokelewa vizuri sana na walibya wa nyumbani. Ile 'turnup' ya leo ilikuwa kubwa sana.
Wapi?Huko Benghazi?

Nikupe mfano:Tanzania imegawanyika kivyama inapokuja kwenye siasa.Wale Walibya wamegawanyika kikabila.

Hata walipomwua Gaddafi walimtoa Sirte haraka sana kumpeleka Misrata,na kuna waliokuwa walitaka waende naye hadi Benghazi.Jiulize why not Tripoli?

Mgawanyiko wa kichama hauna chuki kama ule wa kikabila.

However tuseme chama cha upinzani bongo kimesadiwa na NATO,kikaiangusha serikali iliyoko madarakani na kumfanyia kiongozi wake kama Gaddafi.TV zikawekwa ile mikoa inayokuwa na nyomi kubwa la chama hicho cha upinzani,je ina maana ni wananchi wote walifurahia matumizi ya NATO kuwasaidia hao upinzani?Jibu unalo mwenyewe.

Huo ni mfano mdogo tu ambao labda utakupa mwanga,hata hivyo ya Libya ni tofauti,na hivyo mfano huo uuchukulie kitofauti.Kwasababu chuki za kikabila na kidini tumeweza kuziepuka kwa kiasi kikubwa licha ya kwamba watawala wetu wanataka kulianzisha!

Kwasababu historia yao ni tofauti sana na wamenyemelewa kwa muda mrefu sana utajiri wao na wananchi walibweteka.Pia divisions za factions ni severe.

Hivyo panua wigo wako wa kufikiri zaidi inapokuja kwenye issues ambazo ni complex kama hii.
 
..ama kweli watanzania bado tunamawazo mgando ya mabadiliko. Hii ndiyo CCM wanaitumia kututawala. Wewe huwezi sema eti alitenda mema, wao ndiyo wanaofahamu. Mimi nachosema ni kuwa maamuzi yao tuyaheshimu na siyo kumfagilia muuaji wa wauaji, kwani kwenye lile gereza aliua watu wangapi? mbona hivyo havitamukwi? hata kama alitenda mema vipi lakini kama ni kutenda mema kwa kuwaua wale wote wanaokupinga huwezi kudumu kama CCM sasa inavyosambaratika. Tuwe na mtazamo wa wale waliouawa na Gaddafi pia,
Mkuu usikurupuke,tembelea hii thread kama una muda,nilijuwa wale wanaotaka mabadiliko hapo bongo pia watagawanyika kwenye issue hii.

Hilo likasababisha niamuwe kuanzisha thread,naona wengi hawakupata nafasi ya kuipitia.Maneno niliyoyaweka humo yanaelezea wazi kabisa kuwa licha ya kwamba si wote tulifurahia matumizi ya nguvu dhidi ya Libya,bado tunaamini kuwa there is a lesson to be learned for our leaders...And maybe even us!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-from-libya-watawala-wetu-did-you-get-it.html
 
Back
Top Bottom