The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

A New game of balkanization of Libya starts. Isome hii

The outlook for a post-Gadhafi Libya is midpoint between sobering and depressing. It is possible that the warring parties will accept a de facto division of the country between the eastern and western tribes, although a formal agreement to that effect is unlikely. Even an informal partition would more accurately reflect the demographics, politics, and history of that territory than an insistence on keeping Libya intact.

| libya, nato, united - Opinion - The Orange County Register
 
Nonda,wanajeshi watakuwa wale wale,ila jina tu litabadilika na kuwa chini ya mwavuli wa UN,yani "UN Peace keeping Forces"

Yaani jina la mission linabadilika kutoka NO fly zone and protection of civilians kuwa mission peace keeping na kupandikiza serikali ya mwana serere (kibaraka). Pia lengo itakuwa ni kuwaadhibu wanaondelea kumlilia Gaddafi.

Rats(Wabenghazi) wamejiingiza katika mtego wa paka chume.
 
Hiki kipande kutoka kwa warusi...
Vladmir Zhirinovsky, an ultranationalist and the leader of the Liberal Democratic Party, called the killing a barbaric act.
"It is clearly barbarianism when a mob destroys the leader of its state," Zhirinovsky said in televised comments in the State Duma on Friday, adding lavish praise for Gadhafi's welfare state.
"
Never will a citizen of any state receive that which the Libyans got during the 40 years of Gadhafi's regime," he said.


The Moscow Times
 
Wizi, Mauaji, Ukatili hizi ndizo kumbu kumbu zetu zinazowahusu wazungu tangu ujio wao wakati wa ukoloni. Somo la Historia ni muhimu sana kwa viongozi. kwa saababu history hutuonyesha tumetoka wapi tupo wapi ili tuweze kupanga tunakwenda wapi. maskini viongozi wengi wa Afrika hawajui somo la Historia na kama wanajua haliwasaidii. Wanaingia kwenye uongozi kichwa kichwa ma matokeo yake wanakuwa vibaraka. wametaliwa na woga wa kuondolewa madarakani na wakubwa wao na ubinafsi. Hili ndio somo kubwa tunaloweza kujifunza kutokana na kimya walichokinesha. Vile vile tukio la kifo cha Gaddafi ni somo kwamba tunaweza kupigwa mabomu kutoa Marekeni na Kwingineko na African Union wasifanye lolote wanaharibu raslimali zetu
bure. Hatuko salama.Tangu lini mzungu akafanya mazuri kwa ajili ya Waafrika kwanza Walituchukua kama watumwa kwa miaka zaidi ya mia tano maendeleo ya Afrika yakasimama tujenga kwanza Ulaya. Kisha wakaona wajifanye wema wakaamua kukomesha utumwa kinafiki nakuja kututawala kwa miaka zaidi ya mia baadae wakaendeleza ukoloni mambo leo kwa muda mrefu. Sasa huu mtindo wa kutupiga mabomu kwa kisingizio cha demokrasia sijui wataalamu wataitaje. Lakini viongozi wetu wanaendelea kuwakumbatia, na Tanzania ndo tupo mstari wa mbele.... wapenda wazungu..... na woga wa kuondolewa madarakani ninampenda sana Mugabe aliyekuwa tayari kufa kwa ajili ya watu wake. sisi tunauzwa sasa kwa kisingizio cha uwekezaji tuamke Afrika wenzetu Asia wameshaamka. tuamke kabla ya waarabu hawajaamka maana hawa watachukua muda mrafu zaidi
 
Writing in his blog, Zhirinovsky spared no praise, likening Gadhafi to the founders of Communism and the Italian nation state, Karl Marx and Giuseppe Garibaldi: "He is the wisest of men, an African Karl Marx, a Libyan Garibaldi," he said, adding that Gadhafi's legacy was to offer a third way between socialism and capitalism.

Read more: Russia Demands Inquiry Into Gadhafi's Death | News | The Moscow Times
The Moscow Times
Halafu kuna wanaodai eti alikuwa dakika tano mbele.
Kweli ukizungumza kutoka kwenye brainwashed mind unakuwa kama huko lisaa zima mbele!
 
Wr
Halafu kuna wanaodai eti alikuwa dakika tano mbele.
Kweli ukizungumza kutoka kwenye brainwashed mind unakuwa kama huko lisaa mebele!

Hivi wewe mangi unadhani Gadafi alikuwa mzima kichwani?
 
Mimi hadi leo bado sijaelewa kwanini walibya wamemuua Gaddafi. Jamaa ndiye Rais wa kwanza duniani kuwatafutia wananchi wake wake wa kuoa pamoja na kuwalipia mahari. Pia alikuwa anasimamia shughuli yote ya arusi. Hivi utapata wapi Rais mzuri kama huyu? Walibya wapumbavu sana.
 
Nimeipenda hii....

Swali langu kwa wale wenye kuelewa;kama anataka azikwe kiislam,ni kwanini basi anasema asioshwe?

Daah, kasepa zoezi! kiguzo, mshika kata, na mkamuaji, mlie wana!
 
Hivi wewe mangi unadhani Gadafi alikuwa mzima kichwani?
Mkuu Nyani Ngabu

Niwie radhi kwa Lugha yangu hapa.

Kichwa cha Gaddafi (vision na action) vinaonesha kuwa jamaa alikuwa superhuman. Super genius na zilikuwa zina-charge.

Ukivikusanya vichwa vyote vya viongozi wa Afrika kwa pamoja basi hawafikii kichwa cha Gaddafi.

Hii haiondoi kuwa Gaddafi kama binadamu alikuwa na udhaifu wake. Kila mtu ana mapungufu lakini record ya Gaddfi iko wazi kwa mwenye kutaka kuiona.

Gaddafi aliitwa mad man kwa sababu ya man-made river. 27-33 billion US dollar project fully funded by Libyan gvt bila ya kukopa au ufadhili.
http://www.youtube.com/watch?v=A-cDezY3cTY

http://www.youtube.com/watch?v=0GoXuXztarc&feature=player_detailpage



 
Last edited by a moderator:
Mimi hadi leo bado sijaelewa kwanini walibya wamemuua Gaddafi. Jamaa ndiye Rais wa kwanza duniani kuwatafutia wananchi wake wake wa kuoa pamoja na kuwalipia mahari. Pia alikuwa anasimamia shughuli yote ya arusi. Hivi utapata wapi Rais mzuri kama huyu? Walibya wapumbavu sana.
Mkuu nasita kuwalaumu walibya though ule unyama kwa gadafi unauma,nasita sababu nawaona kwa makundi makubwa wakifurahia "uhuru"! Wanajua waliishi vipi na wanajua matarajio yao.lakini kwanini tunaamini walibya hawawezi kuishi maisha pengine bora kuliko yale ya gadafi? Kwani gadafi alikuwa anatoa fedha mfukoni kwake? Pengine wakijipanga kwa resource walizonazo wanaweza kuwa better than gadafi times and be another Japan! Tuamini wanaweza kufanya makubwa zaidi bila gadafi! Tusubiri muda!
 
Sasa mbona walikuwa wanatupotezea muda hapa kudai kutundika kipande cha nguo pale ubalozini kumbe hata mpambano ulikuwa mbichi.
 
Regardless the fact that he lost the battle, he's a great hero l'll live to remember. He's equals to our Chief Mkwawa. MAY God rest his soul in peace.
 
Back
Top Bottom