Mbali na yote haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea huko Afrika ya Libya, hakuna tena waandishi wa habari, kiongozi wa Afrika ambaye anazungumzia kuwa Serikali ya Libya ilikuwa nampango wa kusaidia kuikwamua Afrika kutoka kwenye makucha ya IMF na World Bank, na sasa ni nini kifanyike ili mpango huu usipotee kabisa .Baadhi ya Watu wanaongea upupu(Wanajijua haswaa) ambao wala hausaidii kuhakikisha kuwa inakuwepo Afrika huru na iliyoungana kikweli kweli. Inasikitisha sana(rejea 'heading' ya uzi huu), sio Libya imekula kwao, Waafrika imekula kwetu.
......................
Even worse for the colonial powers, Libya had allocated $30 billion for the African Union's three big financial projects, aimed at ending African dependence on western finance. The African Investment Bank, with its headquarters in Libya, was to invest in African development without charging interest, which would have seriously threatened the International Monetary Fund's domination of Africa, a crucial pillar for keeping Africa in its impoverished position.
............