Walomwua hawakuwa walibya,wale ni group la wahuni limebarikiwa na jina la NATO,period!Mimi hadi leo bado sijaelewa kwanini walibya wamemuua Gaddafi. Jamaa ndiye Rais wa kwanza duniani kuwatafutia wananchi wake wake wa kuoa pamoja na kuwalipia mahari. Pia alikuwa anasimamia shughuli yote ya arusi. Hivi utapata wapi Rais mzuri kama huyu? Walibya wapumbavu sana.
Acha dharau dogo..
Nchi bado haijawa liberated.Too early to say that.Wao waliona shida zinazidi wakadhani kumwua Gaddafi itazipunguza.Subiri uone!Sasa kama hawakuwa na legitimacy huko nyuma leo kwanini wana legitimacy ya kutangaza liberation of the country?
UNALIJUA HILI?Gadafi alisema"matatizo ya Africa yatatuliwe na waafrika wenyewe"maneno haya yanamaana kubwa sana ikizingatiwa alikuwa anachangia 15% ya bajeti ya AU(AFRICA UNION-UMOJA WA AFRIKA),kilichoikuta Libya mpya ni hiki "Libya mpya inatakiwa kulipa gharama zote alizopata NATO ikijumuisha gharama za ndege zilizobutuliwa,wanajeshi wa NATO waliouwawa,gharama zote za vita,inadaiwa dola trillion tatu,hela hyo itakatwa kwa Libya mpya kukabidhi mapato yake pamoja na exchange ya mafuta.Ndiyo maana USA na nchi za magharibu haziendi kusaidia nch kama somalia kwa sababu hazina uwezo(resources) za kuwalipa(kufidia gharama).Wairaq pia wanalipa gharama ambazo USA na nch za magharibi walizipata kipindi wanamuondoa Sadam."(SOURCE:RADIO FRANCE INTERNATIONAL,KIPINDI CHA MTAZAMO WAKO,MTANGAZAJI EDWARD NDEKETELO).
Walomwua hawakuwa walibya,wale ni group la wahuni limebarikiwa na jina la NATO,period!
Ni vile hakuna mwenye uwezo wa kuwauliza uraia wao,ukifwatilia hao wengi wao ni wale waliokuwa nje ya nchi ie UK na kwingineko uarabuni.
Nchi bado haijawa liberated.Too early to say that.Wao waliona shida zinazidi wakadhani kumwua Gaddafi itazipunguza.Subiri uone!
Hakuna kitu kibaya kama **** akishtuka!Mjanja hupata shida.Watakapoanza kuona maisha bora hakuna tena,ndo utajuwa.
Wanao furahi ni hao wanaowekwa kwenye video za propaganda.Wasio furahi wako terrorized na unyama unaoendelea huko ambao huonyeshwi kwenye hizo video.Na kwahiyo wako kimya kwasababu hakuna anayewalinda kama mnavyoambiwa wanalindwa.Wanauwawa.
Na walichomfanyia Gaddafi ni unyama ili kuendelea kuwanyamazisha.
Kungekuwa na utoaji wa habari wenye mlingano sawa kutoka kwenye hizo source zako za habari unazoziamini,basi ungeshangazwa pi na umma wa walibya wasiosapoti hao waasi.
he knew he was going to be killed,reckless-he let himself killed-R.I.P Colonel23 October 2011 Last updated at 11:06 GMT
Gaddafi website publishes 'last will' of Libyan ex-leader
*endeleeni na mapambano
*maiti yangu izikwe kwa desturi na mila za kiislamu
*nizikeni Sirte kwenye makaburi ya mababu
*nizikwe na nguo nilizovaa mauti yaliponikuta
*mwili wangu usioshwe
*nitakufa kama Mwislamu
In his will, Gaddafi urged Libyans to fight on
Muammar Gaddafi's website, Seven Days News, says it has published the last will of the deceased former leader of Libya.
The document was reportedly handed to three of his relatives, one of whom was killed, the second arrested and the third managed to escape the fighting in Sirte.
Here is the English translation:
"This is my will. I, Muammar bin Mohammad bin Abdussalam bi Humayd bin Abu Manyar bin Humayd bin Nayil al Fuhsi Gaddafi, do swear that there is no other God but Allah and that Mohammad is God's Prophet, peace be upon him. I pledge that I will die as Muslim.
Should I be killed, I would like to be buried, according to Muslim rituals, in the clothes I was wearing at the time of my death and my body unwashed, in the cemetery of Sirte, next to my family and relatives.
I would like that my family, especially women and children, be treated well after my death. The Libyan people should protect its identity, achievements, history and the honourable image of its ancestors and heroes. The Libyan people should not relinquish the sacrifices of the free and best people.
I call on my supporters to continue the resistance, and fight any foreign aggressor against Libya, today, tomorrow and always.
Let the free people of the world know that we could have bargained over and sold out our cause in return for a personal secure and stable life. We received many offers to this effect but we chose to be at the vanguard of the confrontation as a badge of duty and honour.
Even if we do not win immediately, we will give a lesson to future generations that choosing to protect the nation is an honour and selling it out is the greatest betrayal that history will remember forever despite the attempts of the others to tell you otherwise."
-BBC
Wapi?Huko Benghazi?Lakini mbona mapinduzi yamepokelewa vizuri sana na walibya wa nyumbani. Ile 'turnup' ya leo ilikuwa kubwa sana.
waafrica ovyo sana,si wangeenda kumsaidia wakati yuko hai?
Mkuu usikurupuke,tembelea hii thread kama una muda,nilijuwa wale wanaotaka mabadiliko hapo bongo pia watagawanyika kwenye issue hii...ama kweli watanzania bado tunamawazo mgando ya mabadiliko. Hii ndiyo CCM wanaitumia kututawala. Wewe huwezi sema eti alitenda mema, wao ndiyo wanaofahamu. Mimi nachosema ni kuwa maamuzi yao tuyaheshimu na siyo kumfagilia muuaji wa wauaji, kwani kwenye lile gereza aliua watu wangapi? mbona hivyo havitamukwi? hata kama alitenda mema vipi lakini kama ni kutenda mema kwa kuwaua wale wote wanaokupinga huwezi kudumu kama CCM sasa inavyosambaratika. Tuwe na mtazamo wa wale waliouawa na Gaddafi pia,