Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
David cameron Mshamba fulani anakwenda Libya kwa sababu kuna Mafuta mbona huyo David cameron hapeleki Majeshi yake Somalia? Kwa sababu Somalia hakuna Mafuta huko. Wazungunaangalia live hotuba ya david cameron ameidhinisha jeshi kuishambulia libya kuzuia zaidi mauwaji ya raia. sababu zake naona za msingi. dunia haiwezi kuangalia tu watu wakiuawa kama ilivyotokea rwanda.
Ndugu Geza Ulole.Hivi ndivyo atakavyopigwa mbwa yeyote wa Kiarabu hata ao Alqueda wanawika lakini siku watakaposhukiwa watanywea
David cameron Mshamba fulani anakwenda Libya kwa sababu kuna Mafuta mbona huyo David cameron hapeleki Majeshi yake Somalia? Kwa sababu Somalia hakuna Mafuta huko. Wazungu
kweli ni Mashetani wao huwa wanaangalia Maslahi yao sio haki za binadamu kama ni kweli huyo david cameron anawahurumia Binadamu apeleke Majeshi yake huko Somalia ndio tutajuwa huyo Shetani David cameron anapenda haki za kibinadamu.
Jaribu kufuatilia na kuchimba utawala wa Gadhafi toka ameingia madarakani hadi leo. Kilichowafanya Tunisia na Egypt kuwafukuza Ben Ally na Hosni Mubarak ndio sababu inayowafanya walibya nao wamchoke colonel. Kama kwako si ubaya basi ujue kwa walibya walo wengi wamechoka
Hii ni ishara ya ushindi kwa wanaharakati wa ukombozi wa Libya. Well done UN.
Tusiandikie mate, tuombe uzima ktk miaka just mitano ijayo baada ya gadaf kuondoka, wazungu wanahitaji mafuta na kufungua service firms zao tu kule, neither democracy nor humanity inayowasukuma wazungu wa-intervene libya. Ivi kwa fahamu zako kati ya gaddaf na Dr. Jeykey nani aliyokaa muda mrefu ktk uongozi anayestahili kuchoka?
cdhani kama waandamanaji,wana uwezo wa kujifadhiri kwa silaha kali za moto wakidai wanadai hak na Ghadafi ajiuzu.swali la msingi kujiulza je ni ubaya upi Ghadaf kaufanya kwa wananch wke? Na je ni nan anawapa waandamanaji silaha za kujiham na huvamia,ni kwa lengo lip na faida ya nan hasa? OOH LORD,PUTS BLESS ON LIBYA. Lets al Pray 4them.
tunapaswa kuwa na fikra pevu katika hili, huenda ikawa ni kweli gaddafi anaua watu wake lkn sidhani kama kinachowapeleka huko ni kwamba wana mapenzi yaa dhati na watu wa libya lazima kuna vitu ambavyo wanavitaka na huo mpango ni wao na ufaransa ndio waliouandaa kwa sababu haiwezekani ufaransa ndio iwe nchi ya kwanza kuwatambua waasi huku akizilazimisha nchi nyingine ziwatambue kama serikali halali, narudia tena katika hili mimi bado nina mashaka na uingereza na ufaransa, baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitisha maazimio hiyo jana kwanza ni kinyume na sheria zake(charter 45) ambako hairuhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi moja kwa sababu hii sio vita ya nchi mbili tofauti ni mambo ya ndani ya nchi moja hivyo baraza la usalama la umoja wa mataifa halina mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi moja, hivyo hata hayo maamuzi kimsingi yana uonevu kwa upande mmoja kwa serikali ya libya, swali la msingi la kujiuliza ni kwamba je ni kweli kwamba jamii kubwa ya wananchi wa libya hawamtaki gaddafi? Je ni kweli mataifa hayo ya magharibi yana mapenzi ya kweli na wananchi wa libya kuliko wanachi wa palestina wanaouawa na israel kila kukicha? Au somalia ambako kila siku ni vita? Au yupi anapaswa kuondolewa madarakani kwa nguvu kati ya laurent gbabo wa ivory coast aliyeshindwa uchaguzi na anang'ania madaraka au gaddafi? KATIKA HILI nina wasiwasi mkubwa kwamba ukoloni unarudi tena katika sura nyingine africa.
Si vizuri kuzidi kuchelewa Kama viongozi wa nchi za kiafrica wanavyofanya maana wengi wao ni Kama Gadafi kwa hiyo wanashindwa waanze vipi, hivyo tuache nchi za magharibi ziwasaidie wananchi wa Libya tuache longolongo.