The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

naangalia live hotuba ya david cameron ameidhinisha jeshi kuishambulia libya kuzuia zaidi mauwaji ya raia. sababu zake naona za msingi. dunia haiwezi kuangalia tu watu wakiuawa kama ilivyotokea rwanda.
David cameron Mshamba fulani anakwenda Libya kwa sababu kuna Mafuta mbona huyo David cameron hapeleki Majeshi yake Somalia? Kwa sababu Somalia hakuna Mafuta huko. Wazungu

kweli ni Mashetani wao huwa wanaangalia Maslahi yao sio haki za binadamu kama ni kweli huyo david cameron anawahurumia Binadamu apeleke Majeshi yake huko Somalia ndio tutajuwa huyo Shetani David cameron anapenda haki za kibinadamu.
 
UN ni kichaka kama ccm, ni bora ya kuwa na gadafi kuliko mapandikizi ya UN. Hawawezi kwenda somali sababu wasomali wanaifahamu UN na unafiki wao na hiyo AU sijui ina kazi gani
 
David cameron Mshamba fulani anakwenda Libya kwa sababu kuna Mafuta mbona huyo David cameron hapeleki Majeshi yake Somalia? Kwa sababu Somalia hakuna Mafuta huko. Wazungu

kweli ni Mashetani wao huwa wanaangalia Maslahi yao sio haki za binadamu kama ni kweli huyo david cameron anawahurumia Binadamu apeleke Majeshi yake huko Somalia ndio tutajuwa huyo Shetani David cameron anapenda haki za kibinadamu.

Naona ungewalaumu kwanza AU na Arab League kabla hujamvalia njuga Mr Cameron.
 
Jaribu kufuatilia na kuchimba utawala wa Gadhafi toka ameingia madarakani hadi leo. Kilichowafanya Tunisia na Egypt kuwafukuza Ben Ally na Hosni Mubarak ndio sababu inayowafanya walibya nao wamchoke colonel. Kama kwako si ubaya basi ujue kwa walibya walo wengi wamechoka

Tusiandikie mate, tuombe uzima ktk miaka just mitano ijayo baada ya gadaf kuondoka, wazungu wanahitaji mafuta na kufungua service firms zao tu kule, neither democracy nor humanity inayowasukuma wazungu wa-intervene libya. Ivi kwa fahamu zako kati ya gaddaf na Dr. Jeykey nani aliyokaa muda mrefu ktk uongozi anayestahili kuchoka?
 
Mkuu.
Unapozuia upande mmoja usitumie silaha kali lakini unawapatia upande mwengine silaha na kutamka kuwa yule aliepo madarakani aondoke kuna walakini mkubwa.

Gaddaffi bila ya shaka ame-overstay katika madaraka yampasa aondoke lakini sio kwa aina hii ambayo Polisi wa dunia wanalazimisha.

Nchi za Ulaya na marekani hazina tabia ya kuunga mkono wazi wazi waasi..sasa hapa kuna nini?

Na jee sasa utakuwa ndio mtindo mpya kila wanapoona kiongozi hawataki tena awepo madarakani wataweka no fly zone na military strikes?

Kama waasi wana-control sehemu ndogo tu ya nchi ni wazi kuwa waasi walikosea strategy.. waliponyanyua silaha...sio kama ile iliyotumika Egypt na Tunisia ya maandamano au ile inayotumika Yemen na Bahrain. hakuna serikali itakayotizama tu waasi wwenye silaha ni lazima kama kufa itawashambulia.

Lakini wababe wameshaamua basi Gaddaffi ataondoka tu.
Mkuu mleta mada Unafiki si wa waarabu tu. Hizi nchi zinazoshadidia kumuondoa Gaddaffi wao ndio magwiji wa unafiki.
Hapa kwetu wanasema uchaguzi ulikuwa huru na haki. Nani hajui kilichofanyika?

wachangiaji wengine tutumie lugha za kiuandishi ,maandishi ambayo yanasomwa na wengi. Tuache matusi. Tutoe hoja.
 
Inasikitisha............ Yule awalishae wananchi wake bure, leo kawa mbaya simply because wazungu wameamua siyo?
 
Tusiandikie mate, tuombe uzima ktk miaka just mitano ijayo baada ya gadaf kuondoka, wazungu wanahitaji mafuta na kufungua service firms zao tu kule, neither democracy nor humanity inayowasukuma wazungu wa-intervene libya. Ivi kwa fahamu zako kati ya gaddaf na Dr. Jeykey nani aliyokaa muda mrefu ktk uongozi anayestahili kuchoka?

42 years v/s 6 years?
Numbers don't lie
 
tunapaswa kuwa na fikra pevu katika hili, huenda ikawa ni kweli gaddafi anaua watu wake lkn sidhani kama kinachowapeleka huko ni kwamba wana mapenzi yaa dhati na watu wa libya lazima kuna vitu ambavyo wanavitaka na huo mpango ni wao na ufaransa ndio waliouandaa kwa sababu haiwezekani ufaransa ndio iwe nchi ya kwanza kuwatambua waasi huku akizilazimisha nchi nyingine ziwatambue kama serikali halali, narudia tena katika hili mimi bado nina mashaka na uingereza na ufaransa, baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitisha maazimio hiyo jana kwanza ni kinyume na sheria zake(charter 45) ambako hairuhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi moja kwa sababu hii sio vita ya nchi mbili tofauti ni mambo ya ndani ya nchi moja hivyo baraza la usalama la umoja wa mataifa halina mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi moja, hivyo hata hayo maamuzi kimsingi yana uonevu kwa upande mmoja kwa serikali ya libya, swali la msingi la kujiuliza ni kwamba je ni kweli kwamba jamii kubwa ya wananchi wa libya hawamtaki gaddafi? Je ni kweli mataifa hayo ya magharibi yana mapenzi ya kweli na wananchi wa libya kuliko wanachi wa palestina wanaouawa na israel kila kukicha? Au somalia ambako kila siku ni vita? Au yupi anapaswa kuondolewa madarakani kwa nguvu kati ya laurent gbabo wa ivory coast aliyeshindwa uchaguzi na anang'ania madaraka au gaddafi? KATIKA HILI nina wasiwasi mkubwa kwamba ukoloni unarudi tena katika sura nyingine africa.
 
cdhani kama waandamanaji,wana uwezo wa kujifadhiri kwa silaha kali za moto wakidai wanadai hak na Ghadafi ajiuzu.swali la msingi kujiulza je ni ubaya upi Ghadaf kaufanya kwa wananch wke? Na je ni nan anawapa waandamanaji silaha za kujiham na huvamia,ni kwa lengo lip na faida ya nan hasa? OOH LORD,PUTS BLESS ON LIBYA. Lets al Pray 4them.

Mkuu kumbuka kwamba mara ya kwanza maandamano yalikuwa ya amani kabisa isipokuwa approach ya Ghaddaf ya kutumia excessive force kwa waandamanaji ndio imefikisha hapo! Ubaya wa Ghaddaf ni dictator, muuwaji mkubwa ambaye anaua raia wake kwa interest zake binafsi, watu wa karibu yake na familia yake na mpaka sasa ameshaua watu wengi. Kumbuka pia kuna wanajeshi wa Ghaddaf wali-defect na kuungana na waandamanaji walikuwa na silaha na wanajua wapi maghala ya silaha yalipo na sehemu nyingi kama Misrata, Benghazi, Aljabyia wanajeshi walikimbia na waandamanaji kuchukua silaha! Libya sio mali ya Ghaddaf pekee yake ili ni mali ya wananchi wote wa Libya.
 
tunapaswa kuwa na fikra pevu katika hili, huenda ikawa ni kweli gaddafi anaua watu wake lkn sidhani kama kinachowapeleka huko ni kwamba wana mapenzi yaa dhati na watu wa libya lazima kuna vitu ambavyo wanavitaka na huo mpango ni wao na ufaransa ndio waliouandaa kwa sababu haiwezekani ufaransa ndio iwe nchi ya kwanza kuwatambua waasi huku akizilazimisha nchi nyingine ziwatambue kama serikali halali, narudia tena katika hili mimi bado nina mashaka na uingereza na ufaransa, baraza la usalama la umoja wa mataifa kupitisha maazimio hiyo jana kwanza ni kinyume na sheria zake(charter 45) ambako hairuhusiwi kuingilia mambo ya ndani ya nchi moja kwa sababu hii sio vita ya nchi mbili tofauti ni mambo ya ndani ya nchi moja hivyo baraza la usalama la umoja wa mataifa halina mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi moja, hivyo hata hayo maamuzi kimsingi yana uonevu kwa upande mmoja kwa serikali ya libya, swali la msingi la kujiuliza ni kwamba je ni kweli kwamba jamii kubwa ya wananchi wa libya hawamtaki gaddafi? Je ni kweli mataifa hayo ya magharibi yana mapenzi ya kweli na wananchi wa libya kuliko wanachi wa palestina wanaouawa na israel kila kukicha? Au somalia ambako kila siku ni vita? Au yupi anapaswa kuondolewa madarakani kwa nguvu kati ya laurent gbabo wa ivory coast aliyeshindwa uchaguzi na anang'ania madaraka au gaddafi? KATIKA HILI nina wasiwasi mkubwa kwamba ukoloni unarudi tena katika sura nyingine africa.

Waafrika tuna balaa.
Wakati Rwanda na Burundi walivyochinjana miaka ile ya 90. OAU/AU haikufanya chochote na the West stayed away from the conflict. Matokeo yake watu wakachinjwa na kuuana kwa maelfu. The West wakalaumiwa kwa nini hawakufanya chochote.
Libya watu wanachinjwa AU/Arab League zimekuwa mabubu na majuzi tu kelele zilianza ooh mbona mmewatosa walibya wanakufa. Sasa wameamua ku-take action oooh ukoloni unarudi, mara sijui wanataka mafuta etc.
Ghadafi asingeua waandamanaji kama Mubarak sidhani kama kuna nchi yoyote ingeingilia huu mgogoro
 
Si vizuri kuzidi kuchelewa Kama viongozi wa nchi za kiafrica wanavyofanya maana wengi wao ni Kama Gadafi kwa hiyo wanashindwa waanze vipi, hivyo tuache nchi za magharibi ziwasaidie wananchi wa Libya tuache longolongo.

Quid pro quo relationship, nothing goes for nothing we unadhania nani atalipia bomu la £13,000 kila linapoangushwa?
 
anasema seaze fire must be implemented immediatelly.
No fly zone on Libya
 
Obama amuonya. Achague ama kuachia miji yote aliyoitwaa kutokam upinzani ama ashambulie na 'nyuki'

my take: rafiki yake mugabe ni mgonjwa. atakimbilia wapi?

source: Aljazeera
 
Back
Top Bottom