The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Yanayoendelea libya ni aibu kubwa sana kwa waafrica..

Gaddafi ni rias halali wa walibya na amewatumikia kwa miongo takribani minne.. Leo hawamtaki sasa ni fujo na mauwaji tu.

Kwa mtazomo wangu kuondolewa kwa ghaddafi kuna mkono wa serikali ya marekani, ufaransa na uingereza kwani walikuwa wanaanza kupata wasiwasi wa mzee huyu kuwa iko siku ndoto yake ya united of africa itatimia.. Na ingekuwa hivyo kama waafrica wangeungana na kuwa wamoja. Leo walibya hawamtaki wakati wanalipwa takribani dola 400 kwa mwezi kama hela ya kujikimu kwa wale ambao hawafanyi kazi. Hawana shida ya nyumba wanapewa bure na serikali, ila ni mtu mmoja ambaye nchi hizi za magharibi wanataka wampandikize ili waweze kupata wanachohitaji....

Angalia leo uingereza waliokuwa marafiki zake leo wanampiga, wafaransa ambao wanapewa mafuta kutoka libya leo wanampiga.. Tena ni baada ya kusaini mikataba mikubwa sana ya mafuta na makampuni ya total na bp. Leo hawafai kweli hii ndiyo siasa???????????

Nchi za ulaya na marekani wao wanaangalia maslahi zaidi kuliko vitu vingine.. Angalia jana wametungua ndege ya libya ilipotua imeuwa watu 50.. Je hili ni sawa???

Mbona wasimuondoe gbarbo kule ivory cost ambaye hakushinda uchaguzi????
Mbona wasimuondoe mugabe kule zimbabwe ambaye hata afya yake haimruhusu kuongoza????


Umoja wa africa leo umekemea wanavyofanya kwa libya ila nadhani wamechelewa sana kufanya hivyo kwani walikuwa wanajua nchi hizi zinataka kufanya nini,, sasa basi waafrika tusipojipanga kutetea wenzetu iko siku watakuja na kwetu..
 

Gadaffi ni muafrica toka lini??????????? Amka mwenyewe uende huko, gadafi ni pure mwaraabu
 
ila Gaddaf ndo kayaleta yote haya-angekubali wasettle mambo yao mezani na waasi yasingemkuta
 
Gadafi kishafungua godauni za silaha kila mwananchi unaenda kujichotea slaha unayotaka. Gadafi ni mjanja anajua watamtoa lakini mafuta hawatachota. Maana kila mwananchi kujimilikia kakijibomu si mchezo.
 
Gadafi kishafungua godauni za silaha kila mwananchi unaenda kujichotea slaha unayotaka. Gadafi ni mjanja anajua watamtoa lakini mafuta hawatachota. Maana kila mwananchi kujimilikia kakijibomu si mchezo.
mafuta wanaweza chota kama watapata support kutoa kwa rebels-wanaweza kuchimba huku hao rebels wakiwa kama vibaraka wao
 
Gadafi kishafungua godauni za silaha kila mwananchi unaenda kujichotea slaha unayotaka. Gadafi ni mjanja anajua watamtoa lakini mafuta hawatachota. Maana kila mwananchi kujimilikia kakijibomu si mchezo.
Endelea kuota
 

Bahati mbaya sauti hiyo huna,acha atandikwe tu,alipokuwa anawaua raia wake hakufikiria haya? Wapi Chaves na China,mwenzenu huku anapigishwa kwata,na nyinyi mko kimyaaa!
 
Serikali ya Libya imetangaza kuwa wamesitisha hatua zote za kuzuia watu kuvuka Mediterranean kwenda Ulaya.

Source:Reuters.
 
Hiyo nchi Gadafi ataivuruga vuruga, hao jamaa kama wangekuwa na nia nzuri wangelitumia njia mbadala lakini......mhhh gadafi naye alivyo kaidi mhhhhh, ngoja tuone
 
WATCH: First Video of Tomahawk Missiles Fired on Libya By U.S.

 
Last edited by a moderator:
BBC wamechanganya mambo:

LIBYAN CONFLICT
Kyodo: Death toll in Miyagi to exceed 15,000


 
Army vehicles burn in east Libya after strikes

Sun Mar 20, 2011 8:50am GMT

BENGHAZI-AJDABIYAH ROAD, Libya, March 20 (Reuters) - Burned out military vehicles lined a strategic road in east Libya to the rebel-held city of Benghazi on Sunday after Western air strikes on the area, a Reuters correspondent said. Dozens of vehicles littered the route Muammar Gaddafi's forces used to advance on Benghazi from the hard fought over town of Ajdabiyah. Some were so charred it was difficult to identify them. Some looked like wrecked trucks with multiple rocket launchers.

"One tank has been bombed so hard that the turret has come off," said Reuters correspondent Mohammed Abbas, described a scene of devastation along the road. "A tank transporter, tank and an armoured personnel carrier are still smouldering."

"This is all France ... Today we came through and saw the road open," said rebel fighter Tahir Sassi surveying the scene of blackened vehicles. Other rebels also took some of the credit after Saturday's fighting with Gaddafi's forces. (Reporting by Mohammed Abbas; Writing by Edmund Blair in Cairo)

-REUTERS
 

Ndugu hapo juu kabisaa naona uliniwahi kuiweka maneno yako kabla yangu lakini nashukuru kwa thread yako Ni kweli hao rebel hizo silaha walizitoa wapi?

Na hao west mbona hawaangalii kuwa kulikuwa na war lords wenye silaha nzito kiasi kile huko Libya kwa muda mrefu?? Ina mana Ghadafi alikuwa ameundiwa njama siku /miaka mingi

Kingine ni kwamba mbona viongiz wa Kiafrika hasemi chochote mpaka west wanavamia??.
 
Gaddafi [FONT=Tahoma,Calibri,Verdana,Geneva,sans-serif]anasema yuko tayari kupambana kivita na mataifa ya kimagharibi[/FONT]

Big News Network.com (ANI) Sunday 20th March, 2011


Libyan leader Muammar Gaddafi said Sunday he is preparing for a long war and vowed to defeat the Western nations enforcing a UN-sanctioned no-fly zone over the North African country.

'We are getting ready for a long, glorious war,' Gaddafi said in an audio message broadcast on state television.

'We will defeat you. We are fighting on our land, defending our honour,'
he said, describing Western nations as 'monsters and criminals'.

'You will fall just like Hitler fell,' he warned. 'All tyrants fall.'

Source:
 
Hivi "no-fly zone" ina maana gani? nielewesheni, wanaposema hilo neno wanakuwa na maana gani haswa?
 
Hivi "no-fly zone" ina maana gani? nielewesheni, wanaposema hilo neno wanakuwa na maana gani haswa?
A no-fly zone (or no-flight zone) is a territory over which aircraft are not permitted to fly. Such zones are usually set up in a military context, somewhat like a demilitarized zone in the sky, and usually prohibit military aircraft of a belligerent nation from operating in the region. - Wikipedia

In this case, Libya is the belligerent nation. Hapa inamaanisha kuzuia uwezo wa Gaddafi kurusha ndege zake katika anga la Libya.
 

Sasa kama ni hivyo ina maana magari nayo yana fly? hebu nieleweshe zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…