MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
Yanayoendelea libya ni aibu kubwa sana kwa waafrica..
Gaddafi ni rias halali wa walibya na amewatumikia kwa miongo takribani minne.. Leo hawamtaki sasa ni fujo na mauwaji tu.
Kwa mtazomo wangu kuondolewa kwa ghaddafi kuna mkono wa serikali ya marekani, ufaransa na uingereza kwani walikuwa wanaanza kupata wasiwasi wa mzee huyu kuwa iko siku ndoto yake ya united of africa itatimia.. Na ingekuwa hivyo kama waafrica wangeungana na kuwa wamoja. Leo walibya hawamtaki wakati wanalipwa takribani dola 400 kwa mwezi kama hela ya kujikimu kwa wale ambao hawafanyi kazi. Hawana shida ya nyumba wanapewa bure na serikali, ila ni mtu mmoja ambaye nchi hizi za magharibi wanataka wampandikize ili waweze kupata wanachohitaji....
Angalia leo uingereza waliokuwa marafiki zake leo wanampiga, wafaransa ambao wanapewa mafuta kutoka libya leo wanampiga.. Tena ni baada ya kusaini mikataba mikubwa sana ya mafuta na makampuni ya total na bp. Leo hawafai kweli hii ndiyo siasa???????????
Nchi za ulaya na marekani wao wanaangalia maslahi zaidi kuliko vitu vingine.. Angalia jana wametungua ndege ya libya ilipotua imeuwa watu 50.. Je hili ni sawa???
Mbona wasimuondoe gbarbo kule ivory cost ambaye hakushinda uchaguzi????
Mbona wasimuondoe mugabe kule zimbabwe ambaye hata afya yake haimruhusu kuongoza????
Umoja wa africa leo umekemea wanavyofanya kwa libya ila nadhani wamechelewa sana kufanya hivyo kwani walikuwa wanajua nchi hizi zinataka kufanya nini,, sasa basi waafrika tusipojipanga kutetea wenzetu iko siku watakuja na kwetu..