Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mnategemea kikwete awasaidie nini?? Yeye mwenyewe mwizi na ana matatizo kibao. Hawa viongozi hawapo pale kwa ajili ya wananchi wako pale kwa mambo yao na watoto wao tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu tunalalamika, ooh eti wazungu wanatuibia rasilimali zetu, ooh NATO sijui nini, ooh aah eeh iiih oooh uuuuh mpaka asubuhi, wakati hao ndio viongozi wetu!mnategemea kikwete awasaidie nini?? Yeye mwenyewe mwizi na ana matatizo kibao. Hawa viongozi hawapo pale kwa ajili ya wananchi wako pale kwa mambo yao na watoto wao tu.
doctorz, huwa unatibu magonjwa gani?Leo ni Libya je Kesho wapii.......?
Wanalazimisha Gadhafi aondoke kwa kuwatambua wapinzani wake ajili Gadhafi peke yake ndiye anaweza kuwadhibiti Israel na kuwapatia haki WApalistina. Hasa ikiwa mshikiji wao Mubarak hayupo Misri. Sasa wape fursa walioteuliwa na AU wajitahidi kurudisha amani na utulivu Libya.
Sawa, doc. Nakuombea kazi njema, lakini siku yakitokea hapa nyumbani; in the name of African Union tusiilaumu serikali ikiamua kuwaua wapinzani!Ndugu Askri Kanzu,
Mimi ni mwanaharakati wa AFRICAN UNION. Natibu magonjwa ya binadamu.
Mimi kwa namna fulani ningewaunga mkono waasi lakini nimeondosha uamuzi wangu huo kwa kuona wameruhusu kuwa na mahusiano na maadui wa Mungu na kuungwa mkono na watu waovu.Huenda ni sababu na Mungu naye amewatupa mkono.Nawasupport protesters .. ila wananichukiza wanaposhambulia Waafrika weusi.. inaeleka wapinzani ni wabuguzi rangi kweli>..?

Nyiynyi watu wa Chadema huyu raisi Kikwete munamfanya kama babu yenu kwa jinsi munavyomtania.Nashangaa wala hakuna anayewakemea.Criminal wote hao pamoja na Kikwete, umoja wa wakandamizajia Africa.
African Union rejects use of force on Libya
Addis Ababa – The African Union Peace and Security (PSC) on Friday, rejected any form of external military intervention on Libya by any country or group. At the same Addis Ababa the internationally recognised President of Cote D'Ivoire Alassane Ouattara has promised to restore law and order in the country as soon as he returns from Ethiopia
The rejection was contained in a communiqué issued in Addis Ababa at the end of its meeting to discuss the situation in Libya.
"The Council reaffirmed its respect for Libya's territory and therefore rejects any form of foreign military intervention as the situation requires urgent African action. "To facilitate the immediate humanitarian crisis and assistance to African migrant workers,'' the communique said.
The Council resolved to appoint a High Level Ad-hoc Committee of five Heads of State and Dr Jean Ping, the AU Commission chairman, to visit Libya and discuss with both parties and to, among other things, assess the situation on the ground. It directed the committee to conduct an all inclusive dialogue among Libyan parties to ensure appropriate reforms.
It also added that the committee should make all possible efforts to stop secession and further hostility and use of force by both parties.
According to the communique the council will ensure political reforms, justice, economic and social development through peaceful and democratic manner.
Mr Ramtane Lamamra, the AU Commissioner for Peace and Security, who read the communique said that the Council has also been mandated to interact with AU partners such as the IOC, the Arab League, the EU and the UN to coordinate efforts in settling the crisis.
"While urging all AU-member countries to provide humanitarian aid to African migrants workers wishing to leave the country, the committee would also investigate the alleged use of mercenaries by Libyan government during the crisis," he said.

Now I have read the article as you suggested. Ok, what is your point? Nadhani ulitakiwa kusema Natamani mimi (yaani wewe) ningeweza kuchambua hivi!!!. Usifikirie wabongo wote wana ueleo mdogo kama wako!PLEASE READ AND THEN CLICK IMAGES FOR FULL STORIES.
TUSISHABIKIE TU..