The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Vizuri saaaaaaana; huyu PILOT ni greater THINKER, si ajabu target alizopewa ni mitaa wanaishi ndugu na jamaa zake wa karibu.
na angejaribu kutoroka kawa wale wa mwanzo na tomahawk ziko angani inge kula kwake. heri alivyo jilipua tu home kwa gaddaf

Hapana, hakupigwa ni zile Tomahawk (yaani vishoka - katika lugha nyingi za wahindi wekundu) zilizoangushwa na majeshi ya kimarekani. Huyu kauwawa na mmoja wa mapailot wake mwenyewe ambaye hakutaka kutekeleza amri ya kwenda kuangusha mabomu kule Benghazi; akaamua kwa makusudi kuangusha ndege yake ya kivita mbele ya huyu kijana na kumjeruhi vibaya sana. Baadaye amefariki.
 
huyu ni wa kukamata kama saddma na kunyonga maana mjeuri sana hata kwa watu wake tu anakuwa mjeuri sijui yukoje huyu mzee
 
Habari hizo sio za kweli fuatilieni vizuri mana asubuhi leo Khamis mwenyewe amejitokeza kuweni makini na propaganda za US na UK...walisema gadaf amekimbilia Venezuela lakini alikua tripol...hawa ni waongo na wazushi wakubwa walafi na wanywa damu za watu
 
Libya denies report of Gaddafi son's death

Opposition says Khamis Gaddafi killed Saturday when plane deliberately crashed into family compound in Tripoli Ynet Published: 03.21.11, 18:52 / Israel News .addthis_toolbox {width:90px;height:21px;}.addthis_toolbox .custom_images a{width: 21px;height: 21px;float: right;padding: 0;margin: 0 4px 0 0;}.addthis_toolbox a{float: right;color:black}
tools_turim_new_twitter.gif
tools_turim_new_facebook.gif

share

P{margin:0;} UL{margin-bottom:0;margin-top:0;margin-right: 16; padding-right:0;} OL{margin-bottom:0;margin-top:0;margin-right: 32; padding-right:0;} H3.pHeader {margin-bottom:3px;COLOR: #192862;font-size: 16px;font-weight: bold;margin-top:0px;} P.pHeader {margin-bottom:3px;COLOR: #192862;font-size: 16px;font-weight: bold;}</B>
Media outlets affiliated with the Libyan opposition reported Monday that the son of Muammar Gaddafi, Khamis Gaddafi, was killed in a suicide attack on the Bab al-Azizia barracks in Tripoli.

According to the reports, which were denied by the Libyan government, on Saturday a Libyan Air Force pilot deliberately crashed his jet into the Gaddafi family compound.

Khamis was rushed to the intensive care unit of a Tripoli hospital, where he reportedly died from his wounds a few hours later, the reports said.

The Algerian newspaper Chorouk, citing a report on the Libyan opposite website Al-Manara, claimed that the pilot was ordered to bomb rebels in the Ajdabiya region. However, the report said, the plane suddenly changed course and headed towards the Bab al-Azizia barracks in the Libyan capital.

Khamis (32), Gaddafi's sixth son, is the commander of the elite 32nd brigade of the Libyan armed forces.

A senior American military official told Reuters Monday that the results of a British airstrike on Gaddafi's compound over the weekend were not clear, adding that the attack did not directly target the Libyan leader but was aimed at hurting the regime's military capabilities.

However, on Monday British Defense Secretary Liam Fox suggested that Gaddafi could be directly attacked. "Mission accomplished would mean the Libyan people free to control their own destiny," he said.

"This is very clear - the international community wants his regime to end and wants the Libyan people to control for themselves their own country."
 
Sijaona ubaya wa Gadafi siku zote mwisho wa wema ubaya anayeua ni hao wamarekani, wafaransa na waingereza. Na ukitaka ubaya linda, tetea /omba chako
Like my signature,"mwisho wa ubaya siku zote ni aibu ila kikongwe hafi kitoto"ghadafi kutoka atatoka ila tujiulize mpaka atoke atakuwa ashaua wangapi?maana nijuavyo mimi mbuyu hung'oka na mizizi.
 
Which is right?

(1) Muammar Qaddafi,
(2) Mo'ammar Gadhafi,
(3) Muammar Kaddafi,
(4) Muammar Qadhafi,
(5) Moammar El Kadhafi,
(6) Muammar Gadafi,
(7) Mu'ammar al-Qadafi,
(8) Moamer El Kazzafi,
(9) Moamar al-Gaddafi,
(10) Mu'ammar Al Qathafi,
(11) Muammar Al Qathafi,
(12) Mo'ammar el-Gadhafi,
(13) Moamar El Kadhafi,
(14) Muammar al-Qadhafi,
(15) Mu'ammar al-Qadhdhafi,
(16) Mu'ammar Qadafi,
(17) Moamar Gaddafi,
(18) Mu'ammar Qadhdhafi,
(19) Muammar Khaddafi,
(20) Muammar al-Khaddafi,
(21) Mu'amar al-Kadafi,
(22) Muammar Ghaddafy,
(23) Muammar Ghadafi,
(24) Muammar Ghaddafi,
(25) Muamar Kaddafi,
(26) Muammar Quathafi,
(27) Muammar Gheddafi,
(28) Muamar Al-Kaddafi,
(29) Moammar Khadafy,
(30) Moammar Qudhafi,
(31) Mu'ammar al-Qaddafi,
(32) Mulazim Awwal Mu'ammar Muhammad Abu Minyar al-Qadhafi.
(33) Muammar Gaddafi

Hata yeye mwenyewe hajasema tamshi halisi la jina lake!
Libya dikteta
 
Maji shida, Umeme shida, migomo vyuoni, mishahara finyu, ufisadi, uzushi wa taarifa za ki- intelijesia, dawa hakuna hospitalini, wanafunzi kufeli mitihani, nk, nk. Libya kwa Ghadaffi hayo hayapo. Utajiri wao wa mafuta uliwanufaisha sana. SISI madini yanaeda bure. Tujitafakari.
 
Mkuu, kwani wewe hujui tofauti?

Umeshaona POLISI inakuja na Ndege za kivita kushambuliwa waandamanaji MJINI?

Polisi wanakuja na Vifaru? Polisi gani hao? Hivi haya maswali mengine huwa mnauliza, huko kwenye bongo zenu huwa hata mnafikiria mara mbili kabla ya kuandika au mnalipuka tu?

Kwani POLISI wana MARK usoni kuwa ni POLISI? Wanaweza kabisa kuwa wanajeshi wamevalishwa magwanda kama POLISI na pia wanaweza kuwa POLISI wamevalishwa magwanda kama Wanajeshi. Tofauti yao KUBWA siku zote si hayo magwanda. Yaani hili nalo hadi ufundishwe humu JF?

Polisi wamefunzwa kutuliza FUJO wakati wanajeshi wamefundishwa KUUWA. Ni matendo yao, uwezo wao, na mwisho SILAHA zao zinazowatofautisha. Magwanda kila mtu anaweza kuvaa.

Ndiyo maana POLISI wakiuwa Mwanajeshi, haiwi soo ila wakiuwa Komandoo, inakuwa SOO. Sasa tatizo liko wapi kama wote ni Wanajeshi? Ila hili utakuwa ndiyo haufahamu kabisa na kwako ni kama Complex number kwenye mahesabu.

Mlie saana au mcheke, ukweli ni kuwa sasa hivi F-16 sinashusha vitu na Tomahawk zinatua.

Kibaya zaidi, wengi wao wanaandika hapa, wamekaa hizohizo nchi za Wazungu, nchi za mashoga, nchi za Mafirauni na Makafiri, nchi za Mateja nk nk ila maisha yao jamaa, yako juu. Umeme, maji, usafiri, usafi ni wa hali ya juu. Ulinzi wa uhakika na siyo kuogopa vibaka watakubeba juu juu usiku, camera kibao mitaani................ Yes, Baniani, mbaya ila kiatu chake.....

Foleni za Viza USA na UK, Mitanzania inatukanwa na kunyanyaswa ila kila siku inajazana ila kuomba VIZA. Na hapo wapo wa DINI zote.

Mkuu huwezi kujibu hoja bila kujikweza, au unadhani wewe unajua kila kitu. Halafu eti complex number , yaani we umeona hizo ndio hesabu ngumu sana, acha kujiaibisha mbele ya wana hesabu bana.

Btw vyovyote vile iwavyo mauaji ni mauaji tu, awe amefanya polisi au mwanajeshi. Kwa hyo unataka kusemaje, yaani kwa kutumia akili zako unaona ni sawa kwa polisi kuua eti tu kwa kuwa wao wamefundishwa kutuliza fujo, kwa hyo wakiuwa ni bahati mbaya au?? Hizi argument ni totally flawed katika level zote.
 
propaganda tu hizo someni habari toka vyanzo huru hawa The mirror ni wale wale
 
10:58 BBC A doctor in Misrata, who wanted to remain anonymous, tells the BBC: "This is the fifth or sixth consecutive day of shelling the city. Our clinic is full of patients. We have no more beds to treat the patients. There is no light in the city. There has been no communication for 10 days and no water for more than one week. And still the heavy shelling continues. The situation is so serious. The international community must take responsibility. Since yesterday we have received 125 injured including an entire family with four children, shot in their car while trying to leave. Even my medical resources are running out. We can't sustain this any more."

10:30 Reuters
Greece expects six fighter jets and a cargo plane from Qatar to land at a military base on the island of Crete by Tuesday, a defence ministry official told Reuters. The United Arab Emirates had also requested refueling at Souda base for 12 F-16 jets and 12 Mirage jets on their way to Sicily but it was not clear when and if they would arrive, he added. Read more here
 
Which is right?

(1) Muammar Qaddafi,
(2) Mo'ammar Gadhafi,
(3) Muammar Kaddafi,
(4) Muammar Qadhafi,
(5) Moammar El Kadhafi,
(6) Muammar Gadafi,
(7) Mu'ammar al-Qadafi,
(8) Moamer El Kazzafi,
(9) Moamar al-Gaddafi,
(10) Mu'ammar Al Qathafi,
(11) Muammar Al Qathafi,
(12) Mo'ammar el-Gadhafi,
(13) Moamar El Kadhafi,
(14) Muammar al-Qadhafi,
(15) Mu'ammar al-Qadhdhafi,
(16) Mu'ammar Qadafi,
(17) Moamar Gaddafi,
(18) Mu'ammar Qadhdhafi,
(19) Muammar Khaddafi,
(20) Muammar al-Khaddafi,
(21) Mu'amar al-Kadafi,
(22) Muammar Ghaddafy,
(23) Muammar Ghadafi,
(24) Muammar Ghaddafi,
(25) Muamar Kaddafi,
(26) Muammar Quathafi,
(27) Muammar Gheddafi,
(28) Muamar Al-Kaddafi,
(29) Moammar Khadafy,
(30) Moammar Qudhafi,
(31) Mu'ammar al-Qaddafi,
(32) Mulazim Awwal Mu'ammar Muhammad Abu Minyar al-Qadhafi.
(33) Muammar Gaddafi

Hata yeye mwenyewe hajasema tamshi halisi la jina lake!
Who cares?
 
Farrakhan achukizwa na Obama, amuonya!

Farrakhan Issues Stern Warning to Obama About Attacking Libya

farrakhan.jpg

By Boyce Watkins, PhD on Mar 21st 2011 2:42PM

In his usually powerful way, the Minister Louis Farrakhan has taken to the public airwaves to address the U.S. government's decision to attack Libya. The United States has joined with allied forces to (in their words) protect the Libyan people from the alleged tyranny of their leader, Muammar Gadhafi.

Since it has been alleged that Gadhafi used his military forces to attack his own people, the U.S. government has spoken against Libyan leadership and has also begun air strikes on Libyan soil. Gadhafi has warned the United States that a war against his country will be long and that he will emerge victorious.

Minister Louis Farrakhan, who has a long-standing friendship with Gadhafi, went to WVON in Chicago to speak on the situation. As expected, Farrakhan is not happy with the invasion and openly spoke about U.S. policies that involve deliberate destabilization of nations with whom they have a financial interest.

In the case of Libya, Farrakhan openly asks President Barack Obama why he and his administration are suddenly concerned with alleged atrocities in this country while the U.S. government looked the other way a few years ago, when the Israelis were engaged in relentless bombing of Palestinians, many of them women and children.

Farrakhan also noted that the U.S. government showed no interest in becoming involved when numerous human rights violations were occurring in Rwanda and the Congo. He argued that the U.S. government's goal has been to spend funds arming dissidents in Libya who do not want to see Gadhafi in power.

In an even more telling fashion, Farrakhan noted similarities between Gadhafi and President Obama: He mentioned that similar to Gadhafi, there are millions of Americans who don't want to see Obama in power, and that intervening with internal dissent in Libya would be no different from someone doing the same here in the United States.

Farrakhan asks the president, "Who in the hell do you think you are that you can talk to a man that built a country over 42 years and ask him to step down and get out? Can anybody ask you ... to step out of the White House 'cause they don't want no black face in the White House?"

Farrakhan notes that dissatisfaction with Obama and the U.S. government has reached a boiling point and that the president should be careful about intervening in another nation's internal discord. The Council for Afrika International, a UK-based think tank, also takes issue with the United States' decision to circumvent the African Union in its decision to create a no-fly zone around an African country.

As arguably the most persuasive speaker in the United States, Minister Louis Farrakhan lays out a very clear and poignant case for his objections with the U.S. military action in Libya. The United States government is already facing massive budget deficits and two expensive wars in Iraq and Afghanistan, so one can only wonder how we expect to afford yet another intervention in the Middle East.

Farrakhan's points about selective morality of the government are also quite interesting. The United States stands idly by during countless revolts in countries around the world and usually doesn't have much to say when a government responds with violence toward its citizens, but for some reason, the case is different in Libya, and it appears to be more than coincidental that the nation just happens to be sitting on a great deal of oil.

Rev. Al Sharpton and I have spoken extensively about the Libyan issue. It appears that this intervention is something of significant interest to the African-American community, particularly black Muslims. President Obama is not only the first black president in U.S. history, he also has the strongest ties to the Muslim community of any president our nation has ever had.

Obama is indirectly linked to Louis Farrakhan given their mutual relationship with Jeremiah Wright (Obama's former pastor) and his roots in the South Side of Chicago. So Farrakhan's message has a special degree of power and value, at least to black Obama observers.

Farrakhan also makes a strong point regarding the nature by which the United States government justifies its invasions of other countries. He mentions that in order to get American support for preconceived decisions, the government engages in a concerted effort to make the other nation's leader look like (in his words) "the boogeyman." To Farrakhan's point, public perception of Gadhafi seemed to change overnight, as celebrities who were fine with performing for the Libyan leader just three months ago were suddenly expected to give the money back.

Rev. Sharpton's position appears to be one that is based on fact-finding and determining whether there is merit to the populist uprisings occurring all through the Middle East. Given that there appears to be a newfound hunger for democracy in the region, Sharpton doesn't rule out the possibility that the rebellion taking place among the Libyan people has roots in genuine dissent that has not been impacted by outside forces.

While I see merit to Sharpton's point, I am personally concerned with the fact that the U.S. government has a history of sticking its nose where it doesn't belong. For example, the Iran-Contra affair in the 1980s led to rebel groups being allowed to sell drugs and weapons in black communities to raise money for a U.S.-sponsored rebellion that was being illegally funded by drug proceeds. This created the crack-cocaine epidemic, urban decay, out-of-control violence and mass incarceration within black communities for the next 30 years.

There's something fishy going on in Libya, and I suspect that if the country didn't have any oil, we wouldn't even be talking about it in the news. We must also wonder if it makes sense to give President Obama the Nobel Peace Prize, when we are making questionable declarations of war on smaller nations. Farrakhan has a point in his argument, and perhaps black America should listen. But I have a feeling that this situation goes much deeper than Barack Obama.

Source: Black Voices

Swali langu: Farrakhan hapa ana pointi au ndio yale yale "makelele" yake?

GOD BLESS YOU FARRAKHAN......LIVE LONG....!!!!

kama hujaiona point hadi hapo huwezi iona tena Askari Kanzu.....:washing:
 
Anayo, ngoja na yemen wakaze uzi tuone
 
At 2008 Arab Summit, Gaddafi blasted Arab leaders for "doing nothing" while USA invaded Iraq in 2003 & overthrew Saddam Hussein. He asked Arab officials, "How can we accept that a foreign power comes to topple an Arab leader while we stand watching?" He said, "Saddam had once been an ally of Washington but they sold him out". He continued, "Your turn is next. Where is the Arabs' dignity, their future, their very existence? Everything has disappeared." He was correct.
 
Hivi hawa coalition wana zipiga pia tanks za rebel maana sielewi elewi.
 
Libya denies report of Gaddafi son's death

"This is very clear - the international community wants his regime to end and wants the Libyan people to control for themselves their own country."

Nadhani wangeiweka kuwa "US and allies wants his regime to end and to gain total control of Libya's oil"
Wanafiki wakubwa.
 
U.S. military confirms U.S. fighter jet crashes in Libya, says one crewman recovered, one "in process of recovery."
-CNN
 
Back
Top Bottom