Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waasi wa Libya wakishika doria katika mji mkuu Tripoli Nyaraka za siri Libya - CIA / MI6 zilishirikiana na Gaddafi
Waasi wa Libya wakishika doria katika mji mkuu Tripoli
Nyaraka za siri zilizogunduliwa baada ya waasi kuuteka mji wa Tripoli zimefichua kuwa mashirika ya ujasusi ya Marekani, Uingereza na mataifa mengine ya magharibi yalishirikiana na utawala wa Gaddafu
Nyaraka za siri zilizogunduliwa baada ya waasi kuuteka mji wa Tripoli, zimefichua kuwa mashirika ya ujasusi ya Marekani, Uingereza na mataifa mengine ya magharibi yalifanya kazi kwa karibu na utawala wa Muammar Gaddafi uliondolewa madarakani. Nyaraka hizo zinaonyesha uhusiano mzuri na mawakala wa CIA na wa MI6 ya Uingereza. Walibadilishana taarifa na walishirikiana kukabidhiana watuhumiwa kwa ajili ya kuhojiwa na utawala ambao unafahamika kwa matumizi ya mateso.
Peter Bouckaert wa shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch, ambalo limesaidia kuzipata nyaraka hizo, limeyaita mahusiano hayo kati ya Marekani na utawala wa Gaddafi , kuwa ni ukurasa wa giza katika historia ya ujasusi nchini Marekani. Nyaraka hizo zinaonyesha kuwa CIA na MI6 ziliushauri utawala wa Gaddafi juu ya vipi inaweza kujitoa katika hadhi yake ya taifa linalosaidia ugaidi. Badala yake, mashirika yote mawili yalipokea taarifa za ujasusi kutoka Libya
By BEN HUBBARD - Associated Press | AP Thu, Sep 1, 2011
Pro-Gadhafi soldiers rest in a school converted into a prison in Tripoli, Libya,
Men suspected of being mercenaries for Moammar Gadhafi, are held in a district sports
<br />tunajua blacks wengi mlikuwa pro ghadafi mkome kilichowapeleka libya