The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Mi sijaona ulichoandika mana kichwa cha habari hakina uhusiano na ulichoandika ni kahadithi kwa kitaa
 
Weka kumbukumbu ya picha na video hizi.

GADDAFI DEAD VIDEO: Dictator begs for life before summary execution | Mail Online

article-2051361-0E75D2CF00000578-163_306x423.jpg
article-2051361-0E75E62D00000578-808_634x399.jpg

SERA YA MABEBERU:

"KIUKWELI HATUNA RAFIKI WALA ADUI WA KUDUMU. TUNAONGOZWA NA MASLAHI YETU, YALIPO TUTAKUWEPO (...kwa Heri ama kwa Shari)"
 
alikua anhojiwa leo asubuhi a;-jazeera basi anavooongea kisharobarooboishe ni nouma
 
[video]http://news.sky.com/home/world-news/article/16093347[/video]
 
......aisee huyu Gaddafi alikuwa mroho wa madaraka balaa!!! Angalia sasa yaliomkuta.

Sema taratibu na usimwambie mtu. Iwe siri yako tu maana alijiita king of kings na rais pekee wa Libya. Miaka 42 ndani ya Ikulu, mhhh!
 
Sky news wanaonyesha akiwa anaongea kabla hawaja shoot
 
mkuu hebu rekebisha heading yako mana sijaona hiyo siri nzito au ulitaka watu wakimbilie kufungua siredi???????????
 
Wanafurahia kazi yao

 
Last edited by a moderator:
"Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana kwa mfano wa Mungu, binadamu aliumbwa". mwa:9:6
 
Nimeamini ukiuwa kwa upanga na wewe utawawa kwa upanga
 
Back
Top Bottom