Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Hivi kuwa na Kiongozi aina ya (Col Gadaffi) dictator na kuwa na viongozi aina ya (Mwinyi, Mkapa na Kikwete). Yupi bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gadaff hakuwa wa waislamu tu kama baadhi ya watu wanavyotaka tuelewe hivyo, Gagaff amesaidia jamii nyingi na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na fedha yake walikula watu wa jamii yote bila kuja dini, kabila na hata rangi kama alikuwa ni mhalifu kwa upande mwingine bado sheria za haki za binadamu zinazuia kutoa adhabu bila kufuata misingi ya sheria. wengi tulikuwa na matumaini kwamba Gadaff angekamatwa akiwa hai na hasa kwa umri wake mkubwa ambao ulikuwa unaelekea mwisho wa maisha yake duniani
kifo cha Gadaff sio cha kututenganisha kwa misngi ya dini bali kutuunganisha kwa misingi ya tofauti zetu za dini. Kifo cha Gadaff kitufundishe kudai haki za binadamu za rangi, dini na kabila lolote. Tumkumbuke Gadaff kwamba nchini kwake hakuwahi kubagua wananchi wake kwa misingi hiyo. Tumuenzi Gagaff kwa kuendeleza mazuri ya kuwaunganisha walimwengu bila ubaguzi wowote
wacha kufanya watu wote hapa jf wajinga,tupe ushahidi kamili wapi nalini gaddafi alisema biblia sio kitabu cha mungu?kama huna ushahidi uombe radhi kwa kuidharau jf nakusema uongo kwa chuki zako kwa gaddafi,kama hujui sheria za jf zisome kwanza kabla ya kudanganya watu hapa,vinginevyo kwa sheria za jf unatakiwa ubigwe ban kwakuleta uongo wako hapa jf.Jamani sioalikuwa muumini Allah Subhana u Wataalah na anajenga miskiti? Mbona skuelewi hapa?
Aha kumbe unamaanisha hakumjua Mungu wa kweli aliyejifunua kupitia Yesu Kristo, sasa nimekupata ndugu yangu maana huyo ndiye njia kweli na uzima mtu haingii mbinguni isipokuwa kupitia katika Yeye huyo tu, soma Injili ya Yohana 14:6. Tena huyu jamaa si ndiye alisema Biblia sio kitabu cha Mungu eheee halafu tena kajiita Mfalme wa Wafalme huyu alimkufu Mungu Mkuu na muumba mbingu na dunia ndiyo maana kafanywa hivi. Kwa hiyo kwa ufupi tu kifo chake kina mkono wa Mungu aliye hai, soma Daniel 1:40-43; Ufunuo 19:15-16.
Akili za waafrika na waarabu zimeshikwa na kutawaliwa sana na wazungu.Hapa tulipofikia wanaweza hata wakatuambia kila mtu aende akawaue wazazi wake na tukatekeleza amri maadamu imetoka kwa wazungu.
Assume aamke ghafla hapo kwa mtindo wa Undertaker,,,, watapona kweli hao kwa presha au mstuko?
![]()
Hapo amezingirwa na wapiganaji wa vikundi mbali mbali vya waasi wa nchi hiyo pamoja na vijana wadogo wa kijijini kwao.
Ajabu kubwa ni kwamba hawa vijana wanaonekana kuwa ni wenye furaha kubwa kwenye nyuso zao huku wakiendelea kujichukulia kumbukumbu za mwisho wa kiongozi huyo kwa kutumia simu za kiganjani[/QUOTE
picha hii inaonyesha jinsi ambavyo waafrika na hasa waarabu katika tukio hli la kumdhalilisha Gadaff tusivyo na akili. picha inaonyesha waarabu hawa wakikiuka kanuni na alama muhimu za uislamu za kutoonyesha maiti na kuungana na watu wa magharibi kufanya unyama huu.... haikubariki na ni mbaya kwa kumbukumbu ya kizazi kijacho.
Mkuu usiwasemee bali vaa viatu vyao wewe uwe wewe?Jamani amuoni hata sura zao jamani zenye furaha,tena wengi vijana kizazi kipya.Kizazi cha kijiji kimoja cha dunia globalization.Kizazi cha mimi na wewe tunaowasiliana kwa sasa kupitia face book,jamii forum vilivyoanzishwa na hao hao watu wa magharibi unaoshambulia.Sijui wewe tukuweke wapi unaekuwa kwenye jamii forum Umetumwa na wamarekani nini?
I think tumelogwa
Yani watu mnashindwa kutumia akili mnasingizia wazungu! Khaa greater thinker.