The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hivi kuwa na Kiongozi aina ya (Col Gadaffi) dictator na kuwa na viongozi aina ya (Mwinyi, Mkapa na Kikwete). Yupi bora?
 
Akili za waafrika na waarabu zimeshikwa na kutawaliwa sana na wazungu.Hapa tulipofikia wanaweza hata wakatuambia kila mtu aende akawaue wazazi wake na tukatekeleza amri maadamu imetoka kwa wazungu.
 
kifo cha Gadaff sio cha kututenganisha kwa misngi ya dini bali kutuunganisha kwa misingi ya tofauti zetu za dini. Kifo cha Gadaff kitufundishe kudai haki za binadamu za rangi, dini na kabila lolote. Tumkumbuke Gadaff kwamba nchini kwake hakuwahi kubagua wananchi wake kwa misingi hiyo. Tumuenzi Gagaff kwa kuendeleza mazuri ya kuwaunganisha walimwengu bila ubaguzi wowote
 
Gadaff alikuwa ni alama ya Afrika kwa yale mazuri aliyofanya kwa binadamu wengine na wanaoweza kujua uzuri na ubaya wa Gadaff ni walibya wenyewe.... kama damu ya Gadaff imetolewa kafala kwa wenye kuitamani Libya au wale wenye uchu wa madaraka ndani ya Libya yamkini wataanza kuuana siku chache tu zijazo
 
Meli yetu wenyewe ilizama na ndugu zetu kupoteza maisha lakini vyombo vyetu vilionesha taarabu wakati vyombo vya nje vikionesha tukio hilo.
Hatuwathamini ndugu zetu sembuse gaddafi.
 
tumeambiwa baada ya kifo cha Gadaff walibya wamegawanyika katika makundi matatu,

mosi, wale wanaotaka libya irudi kwenye mfumo wa ufalme, hawa wanaweza kuwa ni wabenghazi wa mfalme aliyepinduliwa na Gadaff mwaka 1969 na baadhi ya walibya wanaopendezwa na mfumo huo

pili, wale wanaotaka libya iwe nchi ya kidemokrasia... hawa wanaweza kuwa ni Walibya walichanganya umagharibi na uarabu kwani libya iko karibu sana na Ulaya

tatu, wale wanaotaka libya mpya iendeshwe kwa sharia za kiislamu, hawa ni wale ambao mila za desturi zao hazi jabadilika hivyo wangependa kuunda serikali kwa misingi ya asili yao


tusibiri vita
 
Mungu uwashusha wenye kibri na majikweza, pata haki yako baada ya kifo Ukumu.
 
Gadaff hakuwa wa waislamu tu kama baadhi ya watu wanavyotaka tuelewe hivyo, Gagaff amesaidia jamii nyingi na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na fedha yake walikula watu wa jamii yote bila kuja dini, kabila na hata rangi kama alikuwa ni mhalifu kwa upande mwingine bado sheria za haki za binadamu zinazuia kutoa adhabu bila kufuata misingi ya sheria. wengi tulikuwa na matumaini kwamba Gadaff angekamatwa akiwa hai na hasa kwa umri wake mkubwa ambao ulikuwa unaelekea mwisho wa maisha yake duniani

Tena sisi watanzania ndio wakatili wa kutupa Mtu anaiba kukua au nguo kwenye kamba TUNAONDOA UHAI wake sembuse walio uliwa ndugu zao.Je ingekuwa kwetu waua vibaka wa simu na nguo ingekuwaje?Tuache unafiki tujiangalie nini kinatufiksha kuua mwizi wa nguo?
 
kifo cha Gadaff sio cha kututenganisha kwa misngi ya dini bali kutuunganisha kwa misingi ya tofauti zetu za dini. Kifo cha Gadaff kitufundishe kudai haki za binadamu za rangi, dini na kabila lolote. Tumkumbuke Gadaff kwamba nchini kwake hakuwahi kubagua wananchi wake kwa misingi hiyo. Tumuenzi Gagaff kwa kuendeleza mazuri ya kuwaunganisha walimwengu bila ubaguzi wowote

Hivi umeskia museveni kusema chochote kuhusiana na Gadhafi?Waulize waganda watakwambia Gadhafi ni nani?tena usizungumze habari ya kumsaidia amini bali mziki wake miaka hii hii ya juzijuzi aliweka kituko kwa raia wa imani fulani huko walichomwambia wanajua wao.Fanya utafiti kabala ya kuongea mkuu.
 
Jamani sioalikuwa muumini Allah Subhana u Wataalah na anajenga miskiti? Mbona skuelewi hapa?


Aha kumbe unamaanisha hakumjua Mungu wa kweli aliyejifunua kupitia Yesu Kristo, sasa nimekupata ndugu yangu maana huyo ndiye njia kweli na uzima mtu haingii mbinguni isipokuwa kupitia katika Yeye huyo tu, soma Injili ya Yohana 14:6. Tena huyu jamaa si ndiye alisema Biblia sio kitabu cha Mungu eheee halafu tena kajiita Mfalme wa Wafalme huyu alimkufu Mungu Mkuu na muumba mbingu na dunia ndiyo maana kafanywa hivi. Kwa hiyo kwa ufupi tu kifo chake kina mkono wa Mungu aliye hai, soma Daniel 1:40-43; Ufunuo 19:15-16.
wacha kufanya watu wote hapa jf wajinga,tupe ushahidi kamili wapi nalini gaddafi alisema biblia sio kitabu cha mungu?kama huna ushahidi uombe radhi kwa kuidharau jf nakusema uongo kwa chuki zako kwa gaddafi,kama hujui sheria za jf zisome kwanza kabla ya kudanganya watu hapa,vinginevyo kwa sheria za jf unatakiwa ubigwe ban kwakuleta uongo wako hapa jf.
 
jamabi vitabu vitakatifu vinasema usihukumu usije ukahukumiwa nawashauri kila mmoja asimame kwenye zamu yake vizuri na swala la hukumu wa mabaya au mazuri tumwachie Mungu mwenyewe mwenye hukum za haki. Wakati sisi tunazubaa katika kujadili mambo ya Gaddafi wenzetu wanaendele mbele katika mikakati yao. Kila jambo white pple wamepanga wanajua what the next step. Bahati mbaya hatujui what they think about us and they know we dont think about them. Gaddafi alijua kile wanachokiwaza na kukifanya juu ya Africa na Libya na hicho ndicho kilichomuua. Let think our tommorrow and future bse yesterday can not help but we can use as a reference. Plse, stop to judge its not our duty.
 
I think tumelogwa
Yani watu mnashindwa kutumia akili mnasingizia wazungu! Khaa greater thinker.

Akili za waafrika na waarabu zimeshikwa na kutawaliwa sana na wazungu.Hapa tulipofikia wanaweza hata wakatuambia kila mtu aende akawaue wazazi wake na tukatekeleza amri maadamu imetoka kwa wazungu.
 
article-2051361-0E76175A00000578-996_634x837.jpg


Assume aamke ghafla hapo kwa mtindo wa Undertaker,,,, watapona kweli hao kwa presha au mstuko?
 
article-2051361-0E76175A00000578-996_634x837.jpg


Hapo amezingirwa na wapiganaji wa vikundi mbali mbali vya waasi wa nchi hiyo pamoja na vijana wadogo wa kijijini kwao.

Ajabu kubwa ni kwamba hawa vijana
wanaonekana kuwa ni wenye furaha kubwa kwenye nyuso zao huku wakiendelea kujichukulia kumbukumbu za mwisho wa kiongozi huyo kwa kutumia simu za kiganjani
[/QUOTE



picha hii inaonyesha jinsi ambavyo waafrika na hasa waarabu katika tukio hli la kumdhalilisha Gadaff tusivyo na akili. picha inaonyesha waarabu hawa wakikiuka kanuni na alama muhimu za uislamu za kutoonyesha maiti na kuungana na watu wa magharibi kufanya unyama huu.... haikubariki na ni mbaya kwa kumbukumbu ya kizazi kijacho.


Mkuu usiwasemee bali vaa viatu vyao wewe uwe wewe?Jamani amuoni hata sura zao jamani zenye furaha,tena wengi vijana kizazi kipya.Kizazi cha kijiji kimoja cha dunia globalization.Kizazi cha mimi na wewe tunaowasiliana kwa sasa kupitia face book,jamii forum vilivyoanzishwa na hao hao watu wa magharibi unaoshambulia.Sijui wewe tukuweke wapi unaekuwa kwenye jamii forum Umetumwa na wamarekani nini?
 
jamani huku watu mbona hamueleweki, ngoja turi kwenye siasa tu
 
Kama walimkamata akiwa ai sioni haja ya kudhalilishwa kiasi hiki! Japo alikuwa na mabovu yake bado haiwezekani kwa miaka yote 42 ya utawala alikuwa MSHENZI TUUU!!!!

Hawa wanaojulikana kuwa mawakili wakubwa wa haki za binadamu (nchi za magharibi) hapa wanasemaje?? Au ndiyo ile style yao ya kawaida ya sheria moja matumzi tofauti kulingana na MUHUSIKA???

Supporters wa mataifa ya magharibi na sera zao ndio watakaoongoza tuu katika nchi zetu za dunia ya tatu!! Ukijaribu kujifanya kujali zaidi wananchi wako (BILA KUSIKIA ATAKAYO MKUWA=nchi za magharibi hasa RASIMALI) umekwisha kwani utaambiwa WHERE IS GADAFII?? YOU KNOW WHAT HE DID WRONG????

Viongozi wetu; mwenzio akinyolewa wewe tia maji
 
I think tumelogwa
Yani watu mnashindwa kutumia akili mnasingizia wazungu!
Khaa greater thinker.

Yani Mkuu kama uko nami yani kama tumelogwa vile yani tunangangania mambo ya kipumbavu kweli yani upuuzi wa kufa mtu,Kila kitu wakoloni,Oooho wazungu,ooooh wamarekani tuuuuuuuuuuuu much lakini ni matokeo ya watu aina ya membe kuwa negative dhidi ya matukio muhimu ya kihistoria kupandikiza chuki kwa kuwa wananchi wanaamini toka zaidi wanaposikia matamko yanayotolewa kwenye viwanja vya maonyesho badala ya Press Conference kwenye ofisi maalumu ya Mambo ya Nchi za Nje.Au sehemu maalumu iliyojengwa kwa ajili ya ofisi zote za Serikali kutolea matamko yake.

Tena aibu ni kuwa hatuna eneo maaalumu la kutolea matamko ya Serikali kwenda kwa Umma [Public Press Conference] na pia eneo maalumu la kutolea Taarifa za kutoka IKILU ambazo pia ni tofauti na taarifa za kutoka Serikalini.
 
Sasa washafanya mwili wake kama BIDHAA ??? (on display).......Kweli hata simba akifa panya anaweza kuchezea sharubu zake.......
 
Back
Top Bottom