The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Does it set a precedent for the American taxpayer to demand compensation for these kinds of interventions? Was there a deal between Libya and NATO before the intervention? Otherwise the demand is baseless
 
Bora wao wameondoa dikteta kwa madeni na mafuta yao,je nyie ambao mna export 2 billion dollars of gold kwa mwaka lakini mnaishia kupata only 3%(100m$) tuwaite vipi?...vipi eti 100m$ zinapotea kwa kashfa(richmond) lakini hata prosecution hakuna then mnamchagua same guy mliyempa treasury yenu,kama sio ugonjwa wa akili ni nini?

we raia wa wapi?
 
ilikuwa hivi kabla ya huyu kiongozi wa NTC aliyekuwa kiongozi wakati huo aligoma huu msaada wa malipo na aliuwawa siku moja baadae,
 
bora wao wamewafanya kazi inayo onekana.je nyie mnailipa uingereza madini yote ya TANZANIA imewafanyia nini?wao libya wanajivunia mafuta na yamewasaidia kuwaondolea dikteta.wewe mtanzania madini na maliasili zilizomo nchini mwako zimekusaidia nini?musiwe na akili fupi kama maisha ya funza.munajua kuangalia ya wenzenu tu.mia

ahsante kwa mawazo yako great thinker
 
ubepari ndio unaingia Libya sasa
yale mambo ya kulala na serikali kutoa huduma na kuwafanyia kila kitu imefika kikomo
ngoja nione waarabu hawa watakuwa wavumilivu kwa kiasi gani

Mkuu heshima mbele.

Ubepari hauingii leo Libya, ulukuwepo tangia enzi zileee. Watu wa Libya walikwishachoka na huyu jamaa ila walikuwa hawana jinzi ya kumuepuka.

Gaddafi amefanya mambo mengi ambayo ukipima utaona kwamba labda kulikuwa na haja ya kutokuwa nae akiwa kiongozi wa nchi hio. Kama zilivyo serikali nyingi kwenye nchi zinazoendelea suala la kukandamiza wakulima na wafugaji na wale watu wa kipato cha chini ni jambo la kawaida. Kunakuwa na mambo kama mfumuko wa bei kila mara huku huduma za jamii zikiwa hovyo kabisa.

Lakini ni huyu Gaddafi ndie alitaifisha shughuli zote za kiuchumi ambazo zilikuwa zikiwanufaisha wa-Libya wachache na wakoloni mabepari, ili watu wengi wafaidike. Wakti ule mfalme Idris alikuwa kibaraka wa nchi hizo na pia USA walikuwa na kituo kikubwa cha kijeshi nchi humo kilichoitwa Wheelus Air Base ambacho kilikuwa kikitoa msaada wakti wa vita kuu ya pili ya dunia na walikuwa wakibadlisha kwa bidhaa adimu kama mafuta.

Lakini Gaddafi alipoingia na serikali yake akawa na ajenda zake ambazo hazikufurahisha wengi. Kazi za Gaddafi za kuwasumbua nchi za Ulaya hazikuishia hapo, pia alikuwa akizishawishi (madai ya nchi za Ulaya) nchi za kiarabu kupitia OPEC kuamrisha au kuyumbisha bei ya mafuta duniani kama silaha ya kuweka hoja yoyote iliokuwa na dalili ya ukoloni. Kuna wakti bwana Henry Kissinger akiwa mshauri wa masuala ya usalama wa USA aliamua kutoa idhini ya kumuua Gaddafi na jaribio hilo la mwaka 1969 likashindwa.

Kinachochekesha ni kwamba eti NTC au baraza linaloendesha serikali ya mpito limeamua kutangaza siku ya kuikomboa Libya Jumapili kutoka kwa utawala dhalimu wa Gaddafi.

Lakini ukweli ni kwamba huu ni ushindi wa nchi zote za kibepari na washirika wao ambapo kwa sasa wameua sio tu Gaddafi, familia yake na wale walokuwa wakimzunguka bali hata watoto na akina mama. Ni kitendo cha kurudisha nyuma wakati kuwa uleule wa ukoloni mamboleo.

USA na nchi za Ulaya zikiongozwa na UK na France zilikwishapanga huu mpango ambao ni katika kutafuta usawa kwenye kuhodhi maeneo fulanifulani duniani au "geo-strategic and economic interests" ambapo nchi ya uchina na Russia zipo mbele kidogo kuzidi hizi nchi nilizotaja hapo mwanzo.

Bwana Putin anahoji kwamba kwanini NATO imemuua Gaddafi kwasababu anajua ni Russia na China pekee ndio wallikuwa wakifaidi matunda ya mikataba minono kwenye maeneo ya mafuta, uuzaji silaha na miundombinu ambayo waliandikishana na utawala wa Gaddafi.

Kitendo hiki cha nchi hizi za Russia na China kugombania nchi ya Libya yenye kutoa mafuta zaidi ya lita 450,000 kwa siku na ambayo ipo karibu na bara la Ulaya kutenganishwa na bahari ya Mediterranean, ndio kimesukuma vita hii iliotokea ambayo ina lengo la kuliweka eneo hilo la Libya ndani ya himaya ya nchi za Magharibi na USA.

Nchi za NATO zikapanga kumwondoa Gaddafi ili kudhibiti mafuta na mali asili yote iliomo nchi humo na kuruhusu kampuni zikiwemo BP, ConocoPhillips na Total za UK na EN ya Spain na zingine za France na Italy.

Sasa Gaddafi ameuawa na watu wake mwenyewe na kinachofuatia ni kuundwa serikali ambayo itajumuisha wale wote ambao walikuwa wakitaka wamrithi Gaddafi, na Benghazi na Tripoli kutakuwa makao ya serikali hiyo ya mpito.

Kutakuwa na kituo cha kijeshi chenye lengo la kudhibiti vurugu katika eneo hilo yakiwemo maeneo ya Tunisia, Egypt ambayo yalikumbwa na zagazaga la mapinduzi.

Gazeti la New York Times la USA toleo la Ijumaa lilikuwa linatoa ushauri kwa serikali ya raisi Obama kwamba, nanukuu-"More than money--thanks to oil, Libya is wealthy--Libya will need sustained technical advice and full-time engagement".

Kuzidi kuonesha kwamba Marekani wapo nyuma ya shughuli zote hizi siku ya Alhamisi raisi Obama akiongea kwenye hotuma yake juu ya kifo cha Gaddafi alisema nanukuu -"we are seeing the strength of American leadership in the world."

Kwa kweli kifo cha Gaddafi kimepokelewa kwa shangwe nchini Libya na katika ulimwengu wa nchi za Magharibi lakini ilibidi Gaddafi akamatwe na afikishwe mahakamani kujibu mashataka, kwani katika sheria za kimataifa kitendo likichofanyika ambacho ni mauaji ni kinyume cha sheria.
 
[h=1]MCCAIN: GADDAFI'S DEATH SHOULD WORRY PUTIN[/h]
U.S. Senator John McCain has compared Russia and Libya, saying that Muamar Gaddafi's death should worry the Russian Prime Minister Vladimir Putin, according to Gazeta.ru.
"Dictators in all countries, including Bashar al-Assad and, possibly, Mr. Putin and some Chinese leaders should be worried. I think this is spring, but not only the Arab Spring," McCain said during the BBC's Newsnight show.
McCain added that Gaddafi's death may lead to rallies in Russia and it is possible that people would go out into the streets, "but I cannot predict," McCain said.
According to Gazeta.ru, Senator McCain has said on numerous occasions that he hoped that the events similar to this year's Arab revolutions would take place in Russia. In February this year, McCain said that Hosni Mubarak's overthrow should serve as a warning to Vladimir Putin.
"I don't think all these events are limited to the Middle East. The wind of change is blowing and if I were Vladimir Putin, I would be a bit less self-confident, sitting in the Kremlin with his KGB gang," McCain to CBS.
 
Bora wao wameondoa dikteta kwa madeni na mafuta yao,je nyie ambao mna export 2 billion dollars of gold kwa mwaka lakini mnaishia kupata only 3%(100m$) tuwaite vipi?...vipi eti 100m$ zinapotea kwa kashfa(richmond) lakini hata prosecution hakuna then mnamchagua same guy mliyempa treasury yenu,kama sio ugonjwa wa akili ni nini?

kwahyo mkuu unamatatizo ya akili?maana Tanzania ni yako,ya yule,mimi
 
anza kujiuliza kwanza wewe mwenyewe umeifanyia nini Tanzania au ni mzigo ulioza kama funza!unauhakika kila anayechimba madini ni muingereza?au upo kwenye bia za ofa ukakurupuka kupost,muanzisha thread huoni kama amenukuu,fanya critical analysis syo kukurupuka

samahani kwa kukukwa mkuu lakini ujumbe umefika.mia
 
Military commanders in the Libyan city of Misrata said Saturday that no post-mortem would be carried out on the body of Moamer Kadhafi despite concerns over how the toppled dictator died.

Interim leader Mustafa Abdel Jalil said an investigation was being conducted into the circumstances of Kadhafi's killing following his capture, bloodied but still alive, during the fall of his hometown Sirte on Thursday, after several foreign governments and human rights watchdogs posed questions.

Libyans rule out Kadhafi post-mortem but promise probe - Yahoo! News
 
Duu, Kwani tangu lini wazungu wanakatoa msaada..

Siyo tu watalipa principal plus interest (wameshaingia kwenye debt system)

NTC ni vibaraka kama ilivyo serikali ya iraq..
kwa kweli inasikitisha sana, lakini Gadafi amekufa, fikra zake zitaendelea kudumu hasa The Green Book
 
MCCAIN: GADDAFI'S DEATH SHOULD WORRY PUTIN

U.S. Senator John McCain has compared Russia and Libya, saying that Muamar Gaddafi's death should worry the Russian Prime Minister Vladimir Putin, according to Gazeta.ru.
"Dictators in all countries, including Bashar al-Assad and, possibly, Mr. Putin and some Chinese leaders should be worried. I think this is spring, but not only the Arab Spring," McCain said during the BBC's Newsnight show.
McCain added that Gaddafi's death may lead to rallies in Russia and it is possible that people would go out into the streets, "but I cannot predict," McCain said.
According to Gazeta.ru, Senator McCain has said on numerous occasions that he hoped that the events similar to this year's Arab revolutions would take place in Russia. In February this year, McCain said that Hosni Mubarak's overthrow should serve as a warning to Vladimir Putin.
"I don't think all these events are limited to the Middle East. The wind of change is blowing and if I were Vladimir Putin, I would be a bit less self-confident, sitting in the Kremlin with his KGB gang," McCain to CBS.
Simshangai MCain ni chizi, mtakumbuka wakati wa kampeni hata idadi ya nyumba zake hakumbuki, hilo tisa aliitamkia nchi ya Yugoslavia wakati sasa hivi duniani nchi hiyo haipo.
 
Ubepari hauingii leo Libya, ulukuwepo tangia enzi zileee. Watu wa Libya walikwishachoka na huyu jamaa ila walikuwa hawana jinzi ya kumuepuka.

Lakini ni huyu Gaddafi ndie alitaifisha shughuli zote za kiuchumi ambazo zilikuwa zikiwanufaisha wa-Libya wachache na wakoloni mabepari, ili watu wengi wafaidike. Wakti ule mfalme Idris alikuwa kibaraka wa nchi hizo na pia USA walikuwa na kituo kikubwa cha kijeshi nchi humo kilichoitwa Wheelus Air Base ambacho kilikuwa kikitoa msaada wakti wa vita kuu ya pili ya dunia na walikuwa wakibadlisha kwa bidhaa adimu kama mafuta.

Lakini Gaddafi alipoingia na serikali yake akawa na ajenda zake ambazo hazikufurahisha wengi. Kazi za Gaddafi za kuwasumbua nchi za Ulaya hazikuishia hapo, pia alikuwa akizishawishi (madai ya nchi za Ulaya) nchi za kiarabu kupitia OPEC kuamrisha au kuyumbisha bei ya mafuta duniani kama silaha ya kuweka hoja yoyote iliokuwa na dalili ya ukoloni. Kuna wakti bwana Henry Kissinger akiwa mshauri wa masuala ya usalama wa USA aliamua kutoa idhini ya kumuua Gaddafi na jaribio hilo la mwaka 1969 likashindwa.

Lakini ukweli ni kwamba huu ni ushindi wa nchi zote za kibepari na washirika wao ambapo kwa sasa wameua sio tu Gaddafi, familia yake na wale walokuwa wakimzunguka bali hata watoto na akina mama. Ni kitendo cha kurudisha nyuma wakati kuwa uleule wa ukoloni mamboleo.

Kitendo hiki cha nchi hizi za Russia na China kugombania nchi ya Libya yenye kutoa mafuta zaidi ya lita 450,000 kwa siku na ambayo ipo karibu na bara la Ulaya kutenganishwa na bahari ya Mediterranean, ndio kimesukuma vita hii iliotokea ambayo ina lengo la kuliweka eneo hilo la Libya ndani ya himaya ya nchi za Magharibi na USA.

Nchi za NATO zikapanga kumwondoa Gaddafi ili kudhibiti mafuta na mali asili yote iliomo nchi humo na kuruhusu kampuni zikiwemo BP, ConocoPhillips na Total za UK na EN ya Spain na zingine za France na Italy.

kwa kweli kifo cha Gaddafi kimepokelewa kwa shangwe nchini Libya na katika ulimwengu wa nchi za Magharibi lakini ilibidi Gaddafi akamatwe na afikishwe mahakamani kujibu mashataka, kwani katika sheria za kimataifa kitendo likichofanyika ambacho ni mauaji ni kinyume cha sheria.

suluhu iliyotafutwa kwa kuwashirikisha magharibi ndiyo itakayozaa ubepari
utawala wa Gadaffi waweza kukumbukwa kama bora kwa wa Libya siku za usoni
 
Wadau mpaka sasa hivi haijathibitisha kuwa Gaddafi alikufaje au kulitokea nini hadi akafa ...picha za mwanzoni zinaonyesha akiwa hai mikononi mwa waasi ..so what happened?
 
Back
Top Bottom