The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Ni habari nzuri lakini mara nyingi huwa ni maneno tu.Kama anakusudia kweli kutumia Sharia basi atalazimika kupambana tena na NATO waliomweka kwani Sharia haitoruhusu uchumi wa nchi kuchukuliwa na nchi hizo.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

what an upper cut to the western countries...

wao wameharibu nchi wavune mafuta kwani mafuta hayana sharia.... what a waste,,

jamaa wangekaa na kaddafi, wapange mpango wa kula kwani sasa wana njaa yangeisha, they have just put themselves into a precarious situation
 
Ni habari nzuri lakini mara nyingi huwa ni maneno tu.Kama anakusudia kweli kutumia Sharia basi atalazimika kupambana tena na NATO waliomweka kwani Sharia haitoruhusu uchumi wa nchi kuchukuliwa na nchi hizo.

That is a balancing statement to appease the crowd but on the other side NATO has to get what it wanted.
 
Ni habari nzuri lakini mara nyingi huwa ni maneno tu.Kama anakusudia kweli kutumia Sharia basi atalazimika kupambana tena na NATO waliomweka kwani Sharia haitoruhusu uchumi wa nchi kuchukuliwa na nchi hizo.

Ninauhakika hakumaanisha alichokisema, maana huyu Halili ni mdomo wa NATO
 
Ukitazama mchango wa Ghadafi kwa nchi za kiafrika utaona kuwa alikuwa na mchango mkubwa sana. 15% ya bajeti ya AU ilikuwa inatolewa na Libya. Na alikuwa anasaidia baadhi ya nchi za kiafrika katika kulipa madeni yao nje. Sasa tusitazame tu upande mmoja. Na tutazame upande wa pili kwa yale mataifa na taasisi zilizokuwa zinapata misaada kutoka Libya. Tukumbuke kuwa Miundombinu huko Libya iko katika hali mbaya,na itawagharimu sana katika kuijenga.
 
Watu wa kilosa watamkumbuka sana, aliahidi kuwajengea nyumba wote waliokumbwa na mafuriko.
 
[h=6]Ilikuwa ni nchi ambayo Raia ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho ya kuamua hatma ya maisha yao na mgawanyo wa rasilimali za Taifa, kupitia kamati mbali mbali za umma (Representativeness)

"Green book" ni kijitabu ambacho Gaddafi alivumbua, kama mfumo wake wa katiba na kanuni za kuongoza Taifa lenye utawala usiolazimika kuiga "style" za tawala za Kibeberu wala za ...ki-nyenyepa.

Ndani ya kitabu hicho, Gadafi kwa ushauri wa kamati mbalimbali za umma (representative commetees), iliwekwa miiko, miongozo na kanuni za Haki na wajibu wa Raia pamoja na Serikali. Kipaumbele cha wajibu za Raia ilikuwa ni Uzalengo na kuipenda nchi na viongozi wake. Kuombea nchi, kusimamia nchi na kulinda Nchi, rasilimali na viongozi wa nchi kwa Gharama ya maisha.

Serikali ilikuwa na wajibu wa kusimaia falsafa zake za kupigania utu, heshima na ustawi wa watu wa Libya na Africa kwa ujumla. Kuwa na Jeuri ya wazi, ikiwezekana, dhidi ya uonevu, ukoloni mamboleo na u-magharibi. Zaidi sana, Serikali ya Libya,chini ya ghaddafi, pamoja na mambo mengine, iliapa katika "Green Book, kusimamia Haki kadhaa, hizi hapa ni miongozi tu mwa Haki za wananchi wa Libya ya Ghadafi

1. Elimu ni haki ya kila raia.Na inatolewa bure kuanzia awali mpaka ukomo wa Akili yako
2. Huduma bora za afya ni Haki ya kila raia, na inatolewa bure kwa ngazi na magonjwa yote
3. Umeme bure
4. Maji bure
5. Ruzuku kwa wasiokuwa na ajira na kazi za kuwaingizia kipato
6. Ruzuku kwa wazee (kwa mujibu wa sheria na maelekezo ya kamati za umma)
7. Ruzuku maalumu kwa walemavu/wasiojiweza
8. Mikopo isiyo na riba (0% Interest) kwa Wajasiriamali wadogo na wa-kati
9. Mikopo isiyo na riba (0% Interest) kwa “Fresh Graduates”
10. Nyumba/ Makazi bora ni Haki ya kila Raia
Yasemekana aliwahi kujiapiza, kuwa hatamjengea nyumba hata mama yake mzazi iwapo kuna Raia (mtu mzima) wa Libya hana nyumba/makazi bora ya kuishi.

'UDIKTETA' HASA NI KITU GANI, NA DEMOCRASIA NI NINI?
[/h]
 
what i think, libyans they will truely remember, the man who madev libya to be in the map of the most powerful country when u talk about national resources, we as african we are going to mis his standing and philosophy on making africa strong and fight against europe and america.
 
siongezi chochote ila kifo si cha gaddafi ila watu wa libya. wataijutia nafsi yao hivi karibuni
 
Udikteta ni hali ya kuzuia uhuru wa wananchi ktk kuamua na kutekeleza kile kinaciopendwa na wengi. Kuko na watu ambao wanakuwa na mitazo mingine ili nao waonekane wanamichango yenye tija ktk maendeleo na ustawi wa nchi zao au Dunia Kwa Ujumla. Hao huwa wanataka uhuru wa kuwa na vyama vyao ili kusimamia kile wanachoamini vilevile ktk Dekrasia Kuna Uhuru wa kuchagua au kuchaguliwa, uhuru wa kuandamana, utawala wa kikatiba nk. Hivi Vitu havikuwepo Libya na Nchi nyingi za kiarabu hivyo licha ya kuwa na utawala wenye maslai kwa wananchi bado haimpi furaha na amani katika maisha kama hakuna Demokrasia.
 
NTC mmeshika mpini matonya wa east africa wameshika makali. Vunjeni mahusiano na hawa east africa halafu muondoe na hisa na investments zote mzipeleke kwingineko kokote. Kumbuka akufaae kwa dhiki ndie rafiki. East africa si rafiki yenu pelekeni Rwanda na kwingineko ambako walipa unequivocal support hawa east africa wao best yao alikua ni gadafi
 
libyans will surely miss him especially the free services he offered like free housing, education, medical, wages and much more.Libya will never be the same and hardships are around the coner. For africa he was an Icon of african countries and we will remember him as a HERO.Rip Gadhaffi.
 
Mwili wa aliyekuwa rais wa Libya kanali muamar Gadafi waanza kuharibika kwa kutotibiwa na kuhifadhiwa vizuri.
 
Gaddafi ni kama nyerere na probably zaidi ya nyerere. Nyerere alitumia resourses zetu kuwasaidia waafirika wengine, the same as Gaddafi did. lakini Gaddafi angalao alianzia nyumbani ndo akaja kwa majirani. RIP Gaddafi.
 
The Libyans will regret to after the Ghadafi Regine has gone, some of what Ghadafi Did include the following:-
1.There is no electricity bill in Libya; electricity is free
for all its citizens.

2. There is no interest on loans, banks in Libya are
state-owned and loans given
to all its citizens at 0% interest by law.

3. Home considered a human right in Libya –
Gaddafi vowed that his parents
would not get a house until everyone in Libya had a
home. Gaddafi’s father has
died while him, his wife and his mother are still living
in a tent.

4. All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$
50,000 ) by the government
to buy their first apartment so to help start up the
family.

5. Education and medical treatments are free in
Libya. Before Gaddafi only 25%
of Libyans are literate. Today the figure is 83%.

6. Should Libyans want to take up farming career,
they would receive farming
land, a farming house, equipments, seeds and
livestock to kick- start their farms
– all for free.

7. If Libyans cannot find the education or medical
facilities they need in Libya,
the government funds them to go abroad for it –
not only free but they get US
$2, 300/mth accommodation and car allowance.

8. In Libyan, if a Libyan buys a car, the government
subsidized 50% of the price.

9. The price of petrol in Libya is $0. 14 per liter.

10. Libya has no external debt and its reserves
amount to $150 billion – now
frozen globally.

11. If a Libyan is unable to get employment after
graduation the state would
pay the average salary of the profession as if he or
she is employed until
employment is found.

12. A portion of Libyan oil sale is, credited directly to
the bank accounts of all
Libyan citizens.

13. A mother who gave birth to a child receive US
$5 ,000

14. 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15

15. 25% of Libyans have a university degree

16. Gaddafi carried out the world’s largest irrigation
project, known as the Great
Man-Made River project, to make water readily
available throughout the desert
country.
 
Sidhani kama itakuwa na impact,mbona wanafanya biashara na saudi.

Tatizo la hao waasi ni kwamba watakuwa puppets moja kwa moja.

Na wanajuwa kabisa wakigeuka wanaweza kutoswa na kupatwa kama yaliyompata Gaddafi.

Na kwahiyo unaweza kuona watajilinda sana madarakani kwa mbinu mbali mbali.

Hivyo civil strifes wont go away any time soon.
 
Back
Top Bottom