Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakatwa mikono, watakatwa shingo, watachapwa viboko na kupigwa mawe. Hicho ndicho walikitaka.
List of designated terrorist organizations - Wikipedia, the free encyclopedia
Ona mchanganyiko wa orodha ya magaidi hapo juu, bila kujali idadi, magaidi wapo wa aina nyingi na hasa kwa imani zote! Ninachojua na ninachoamini ni kwamba kila dini/imani inafundisha upendo! unabisha???
So what? Kwa hivyo walipoandamana kutaka uhuru zaidi walikuwa wajinga? Na Gaddafi alikuwa na haki ya kuwapiga na anti-aircraft walipojifanya kumpinga?
Thinking within the box?
Come on. Kwa hiyo vyote hivi ni hisani ya Gaddafi ila Walibya hawakuvistahili? Kama Serikali ilikuwa inauza mafuta, ilitakiwa ifanyie nini hayo mauzo? Naona mazoea ya kuwa na dhahabu kanda ya ziwa na usijue zinakwenda wapi yameashatuathiri. Kwa kuwa bongo serikali yako haijui wangapi hawana ajira au kulala njaa wala wangapi hawana nyumba au wanaweza kupata mikopo benki basi unaona ni vema mtu awe mtumwa kifikra lakini ashibe na alale kwenye nyumba! Tafakari...
1. There is *no electricity bill* in Libya; electricity is free for all its citizens.
2. There is *no interest on loans*, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
3. *Home* considered a human right in Libya Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafis father has died while him, his wife and his mother are still living in a tent.
4. All newlyweds in Libya receive *$60,000 Dinar* (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.
5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.
6. Should Libyans want to take up *farming* career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms all for free.
7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to *go abroad* for it not only free but they get US$2,300/mth accommodation and car allowance.
8. In Libyan, if a Libyan buys a *car*, the government subsidized 50% of the price.
9. The price of *petrol* in Libya is $0.14 per liter.
10. Libya has *no external debt* and its reserves amount to $150 billion now frozen globally.
11. If a Libyan is unable to get *employment* after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
12. A portion of Libyan *oil sale* is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
13. A mother who *gave birth* to a child receive US$5,000
14. 40 loaves of *bread* in Libya costs $ 0.15
15. 25% of Libyans have a *university degree*
16. Gaddafi carried out the worlds largest *irrigation* project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
Which other dictator has done much good to his people besides.
"DO YOU KNOW RIGHT FROM WRONG..."-Coloner Muamar Gadaffi.....utajiri wa Libya,kukaa madarakani muda mrefu na kutokubalina na western ndio kilichomwondoa lakini vipi wale wananchi wake waliokufa wakipigana naye wakitaka mabadiliko?ina maana nao walitaka mafuta au freedom au walitumiwa tuu na kumbukeni walianza hata kabla ya NATO kuingia,siamini kama Gadaffi alikuwa mbaya sana ila nafikiri aliendesha nchi kama mali yake na watu wake hawakupenda,ni fundisho kwa viongozi wetu wa Africa watu wakiamua utoke utatoka tuu,nina uhakika viongozi wetu wakiangalia picha za kina Saddam,Gadaffi,ivory coast pale hotelini,Hosni Mubaraki etc walivyoishia kwa aibu labda wataanza kuwasikiliza na kuwatumikia wananchi wao,historically hizi revolution zinaishia vibaya sana kwa watawala kama French walikata shingo la mfalme wao kwa shoka na Russia waliua familia na ukoo wote wa kifalme...onyo kwa CCM wache wizi wa kura na rushwa za mabilioni,kuachia maliasili za nchi kwa so called wawekezaji huku wakila 10%,umaskini kupita kiasi kwa wananchi wataishia pabaya sana...watu wanafikiri revolution ni kitu kigumu sana sio kabisa ni watu kuchoshwa na kuamua liwalo na liwe,imagine watu millioni moja wamekusanyika pale Dar karibu na ukulu wakitaka mabadiliko utatuma askari wangapi wapambane nao? na ukianza kuwaua tuu legitimacy ya kuongoza nchi huna tena na extenal pressure inaingia you must go,jeshi nalo wanakuambia kazi yetu kulinda wananchi sio Raisi peke yake kwa hiyo hatuwezi kuingilia...UTAFANYAJE? CCM you are not safe watu wakiamua mtatolewa kama mbwa koko na mashoka!
hii uliyoweka hapa ni historia ya mambo ya kale yaliyokuwa yanafanyika kipindi cha alieyekuwa dictator gaddaf-MAISHA YANA MAMBO MENGI MAZURI NA WANANCHI WA LIBYA WANALIJUA HILO NDO MAANA WAME-DETERMINE THEIR OWN COURSE1. There is *no electricity bill* in Libya; electricity is free for all its citizens.
2. There is *no interest on loans*, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
3. *Home* considered a human right in Libya – Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi's father has died while him, his wife and his mother are still living in a tent.
4. All newlyweds in Libya receive *$60,000 Dinar* (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.
5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.
6. Should Libyans want to take up *farming* career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms – all for free.
7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to *go abroad* for it – not only free but they get US$2,300/mth accommodation and car allowance.
8. In Libyan, if a Libyan buys a *car*, the government subsidized 50% of the price.
9. The price of *petrol* in Libya is $0.14 per liter.
10. Libya has *no external debt* and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally.
11. If a Libyan is unable to get *employment* after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
12. A portion of Libyan *oil sale* is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
13. A mother who *gave birth* to a child receive US$5,000
14. 40 loaves of *bread* in Libya costs $ 0.15
15. 25% of Libyans have a *university degree*
16. Gaddafi carried out the world's largest *irrigation* project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
Which other dictator has done much good to his people besides.