Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu Ghadafi wakati wa mapambano yake alipata kusema ya kuwa wale wapinzani wake ni paka,panya na mende tulishindwa kuielewa kauli yake hiyo , lakini sasa tumepata uhakika kweli wale ni Paka,Panya na Mende kwani kitendo walichomtendea Ghadafi kabla ya kumuuwa na baada ya kumuuwa ni cha kinyama ambacho hakiwezi kufanywa na mwanadamu.na hawa wazungu waliwaunga mkono wahuni hawa nao pia ni washenzi hawana ustaarabu hata chembe.
Mimi kilicho nishangaza ni pale walipokuwa wanamfanyia vitendo visivyo vya kibinadamu walikuwa wanapiga kelele wakisema Allah-Akbar wakimaanisha Allah Mkubwa hii haikuingia kichwani kwangu.
Ukitilia maana wao ni waislamu na wameanzisha Sharia katika nchi hiyo cha ajabu walikuwa wanafurahia vitendo vya kuua watu.
Hawa Jamaa tangu wamuue Gaddafi wakati walikuwa wameshammudu tayari imenifanya niwachoke
Kwa mara ya kwanza nilipowaita hawa wa WAHUNI WA BENGHARZ baadhi ya watu hawakuniamini na waliniona mi ni punguani maana nitawaitaje wahuni wakati wana support ya WEST empires! Mmeona wenyewe.
Gaddafi mkombozi wetu africa, na rais ajaae wa United States of Africa! Huyu mtu alikuwa ni mwarabu, mwarabu asiye na rafiki wa kiarabu achilia mbali waarabu wa mashariki ya mbali bali hata wa wale majirani zake kama Morocco, Algeria na wengine walikuwa hawampendi; Why? Gaddafi rafiki yetu mzuri african poor countries na adui wa magharibi lakini kila sherehe yake huwaalika kina 50 cent, Eminem, Mariah carey, Tony Brixton na wengine wengi, Gaddafi adui wa wazungu huku watoto wake wakicheza kamari kila jumamosi nchini France! Watoto wake hawa walikuwa ni wadhamini wa starehe mbali mbali na hata ligi ya mipira huko majuu! Gaddafi rafiki yake akina Membe wa Tz masikini na Museven na Robert Mubabe wa Zimbabwe zote masikini, nani alikuwa anachimba mafuta ya libya? Ni hao hao magharibi: germany, italy ,russia and very lately china. Swali, kwanini Gaddafi hakupata support ya waarabu isipokuwa ccm ya kina Membe na zanupf ya kina Mugabe na wababe wengine wa madaraka wa nchi masikini za United States of Africa?, na kwanini heshima ya Gaddafi wetu kipenzi imeshushwa na raia wake vileee? I am comfused!
hivi kipigo cha gadaffi kinatofauti na kipigo cha Yesu ! Hata yeye walimdhihaki na kumtemea mate ! Au?
Wamedai waliomuua gadafi wa kristo hii sharia wanaipata wapi wakristo
wanavuna walichopanda mkuu usiwaonee huruma hao
shule nalo nijanga lingiine la kitaifa walibya walisoma wengi wakonje
Naona kwa sasa inatosha maana kama sifa amekwishaipata na kufa kafa,tufanye kazi sasa ili nasi tuwe kama wao maana yote hayo hayakuja bure kuna watu waliumia na kufanya kazi kwa bidii.1. Hamna bili ya umeme Libya,umeme ni BURE kwa wananchi wote
2. Hamna riba katika mikopo itolewayo na mabenki Libya,benki zote zinamilikwa na serikali na zinatoa mikopo kwa riba ya aslimia
3. Nyumba ni haki ya msingi ya kila mwananchi wa Libya,Gaddafi aliapa kuwa wazazi wake hawatopata nyumba hadi ahakikishe kila mtu Libya ana mahali pazuri pa kuishi.Baba yake Gaddafi alikufa wakati mke wake Gaddafi,mama yake na mke wake wakiwa bado wanaishi kwenye hema.
4. Wanandoa wapya wote Libya wanapokea dola elfu hamsini($50,000) kwa ajili wa kuanzia maisha kutoka kwa serikali.
5. Elimu na huduma za afya ni BURE Libya,Kabla ya Gaddafi asilimia 25% tu ndo walikuwa wanaelimu Libya,lakini sasa zaidi ya aslimia 83% wana elimu.
6.Mwananchi yoyote wa libya akitaka kujiingiza kwenye kilino atapewa nyumba,vifaa vyote,pembejeo na mifugo BUREE
7. Kama Mwananchi wa Libya yoyote akishindwa kupata kiwango cha elimu ccha kumtosheleza Libya atapewa ufadhili wa kwenda kusoma chuo chochote nje ya nchi na huko atalipiwa malazi,usafiri,chakula na atapewa dola elfu mbili na miatano kila mwezi(2500) mpaka anamaliza kusoma.
8. In Libyan, if a Libyan buys a *car*, the government subsidized 50% of the price.9. BEI YA MAFUTA LIBYA NI $0.14 KWA LITA
10. Libya haina madeni ya nje na imejiwekea akiba ya zaidi ya dola milioni mia moja hamsini ($150 million).
11. Mwananchi yoyote wa Libya akisoma akamaliza na akashindwa kupata kazi atalipwa na serikali kiwango cha mshahara kilekile kama vile ameajiriwa tayari hadi pale atakapopata kazi.
12. Kiasi fulani cha mauzo ya mafuta nchini Libya kinaongezwa moja kwa moja kwenye akaunti ya benki ya kila mwana Libya
13. Mama anayejifungua mtoto Libya anapokea dola elfu tano ($5000)
14. Slesi 40 vya mkate Libya zinauzwa dola $ 0.15
15. 25% ya wananchi wote wa Libya wana digrii
16. Gadaffi alianzisha project kubwa kuliko zote duniani ya umwagiliaji inayoitwa Great Man-Made River project ambayo ingeondoa kabisa tatizo la maji katika nchi hii ya jangwani
NI DIKTETA GANI MWINGINE ALIYEWAFANYIA WANANCHI WAKE MAMBO KAMA HAYA
RAI:KAMA GADDAFI NI DIKTETA,BASI HATA TANZANIA TUNAHITAJI DIKTETA KAMA YEYE
1. Hamna bili ya umeme Libya,umeme ni BURE kwa wananchi wote