The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Hongera The secretary, yaan siamini toka tunatane na wewe kama miezi tisa ishatimia lol!
Hongera The secretary, yaan siamini toka tunatane na wewe kama miezi tisa ishatimia lol!
Hongera sana, mwanangu wa kiume kashapata mchumba maana wamezaliwa mwaka mmoja
Wanaume hawana mayai bhana!
kumbe sorry
huwa mna nini
Wanaume wa siku hizi wanataga ujue
Nitts kwani yule mtoto si wa Nicas Mtei?
Wanaume wa siku hizi wanataga ujue
Vipimo vyote vinaonyesha ni wa kwangu hivi hujui kama Nicas Mtei ni TOASHI?Nitts kwani yule mtoto si wa Nicas Mtei?