Ukitaka Ubaya...
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 498
- 140
Hivi mwenye mayai huwa mme au Ke? :A S shade::A S shade::A S shade:atakujibu yeye mwenyewe,
mimi ntajuaje.
Hivi mwenye mayai huwa mme au Ke? :A S shade::A S shade::A S shade:
limeshajibiwa huko juu
rudi juu utaona.
Teh! teh! teh! nimeona bwana.
mbona unajitetea Bishanga ameshafilika usifikirie kwamba atakunyima mkopo
kawa choka mbaya siku hizi.
cha kale dhahabu...usitupe mbachao kwa msala upitao......nasikia huwa unamkumbuka kweli lakini unaona aibu kurudiana naye...wenzio huwa wanajikaza wanarudisha majeshi kibishi ....shauri yako.........eti The secretary si uko tayari kushare na mwenzio cc Bishangampalu hizo ni gia zake tu
hana lolote kila siku ananiomba msamaha turudiane lakini mimi ndo simtaki tena.
Kuteleza si kuanguka na mme kabla hajafa usimcheke anaweza kutajirika tena! Kumbe ndo maana ulimpiga chini ulifata mshiko siyo? :smile-big: