Isipochana mwambie ahamie Airtel ( Kwangu mimi ) ninachana nyavu kwa shuti moja tu dadadadeeeki muulize The secretary (Ila Bishanga asijue km sio mwanae)
Hahahahahaaaa
Mnaenda kurengana lol
Acheni kututia appetite muda wa kazi lol
Unataka vifanyio vyetu vianze kujinyoosha hadharani?
Isipochana mwambie ahamie Airtel ( Kwangu mimi ) ninachana nyavu kwa shuti moja tu dadadadeeeki muulize The secretary (Ila Bishanga asijue km sio mwanae)
Kwani lazma uiweke jikoni?
Niletee nitaichemsha mwenyewe!
Nasikia hulali unawaza yale macho ya Robot
Isipochana mwambie ahamie Airtel ( Kwangu mimi ) ninachana nyavu kwa shuti moja tu dadadadeeeki muulize The secretary (Ila Bishanga asijue km sio mwanae)
Erickb52 hii ilikuwa jana banaaa..............na hii mvua sasa!??!? mchana ufike upesi tukarengane tena...babe sosoliso!!! (si unajua vile usivoniisha haaaam)
Sihami ng'ooo.........utakesha sana ukisubiri siku na saa Erickb52
Alerted!!!
Eti babe sosoliso secretary ndo afanye nini?