einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
If reality does not follow logic, then there is no way to know anything.
One would not even know that reality does not follow logic.
So why would one believe in anything, let alone god?
If you want to take it a notch, even seeing is not proving.You're right
Of course,Logic help us with greater accurancy,to figure out a lot about Reality
But it's not best way to prove existence something
Because the only way to prove it,is to see it
How can we really be sure that no any kind god exist?
By using logic alone?
No,I have no faith at allIf you want to take it a nitch, even seeing is not proving.
One can see an oasis in a mirage in the desert, without there actually being an oasis.
Logic helps converging towards better accuracy that us testable and verifiable.
What better tool do you have?
Blind faith?
Ajabu hapo hapo unatengeneza hoja ya contradiction kwa kutumia sifa za mungu na kulinganisha na ulimwengu ulivyo,lakini kwenye uumbaji unahoji mungu kamuumba nani?Complexity ni lazima iumbwe au si lazima?
No,I have no faith at all
To me,the best tools for discovering and explanation of the universe is Science+logic
By the way,do you really love to be mortal?do you accept your mortality and why?
Death is final act?
Hata kujieleza tu ni kazi, ajabu ni nini hapo?Ajabu hapo hapo unatengeneza hoja ya contradiction kwa kutumia sifa za mungu na kulinganisha na ulimwengu ulivyo,lakini kwenye uumbaji unahoji mungu kamuumba nani?
Ndiyo maana nawashangaa hao wanaodai sie tumeshindwa kuthibitisha.
sitaki kujua jambo la kipuuzi hilo,...Sitaki uamini.
Nataka ujue.
nyi mnahoji au mnapingana na kila point,..Hata kujieleza tu ni kazi, ajabu ni nini hapo?
Kuhoji ni ajabu?
whatever u want to call,..Mkuu,usijali wataelewa tu
Kazi itabaki kwao,kukubali au kukataa
Naona tumevamiwa na huyu Preacher hapa chini
vCTRMA
Hata kujieleza tu ni kazi, ajabu ni nini hapo?
Kuhoji ni ajabu?
sitaki kujua jambo la kipuuzi hilo,...
kujua huleta kuamini,..
wewe unajua hamna Mungu umepata nini????
nyi mnahoji au mnapingana na kila point,..
kwa kila evidence mpo kupinga co kutaka kujua
Swali langu hujalijibu.Kujieleza ni kazi kweli niliona wakati ule ulipokuwa unajaribu unajitutumua kuja na mifano ya kila aina ili tu kuonesha kwamba visivyo kuwepo havithibitishiki.
Lakini ni kweli huwezi kunielewa kwa sababu hata wewe hauelewi.
Kuhoji si ajabu ila hoja zenyewe ndio ajabu,mtu anayehoji mungu kaumbwa na nani ni wazi hajui anachopinga na ukibishana na huyo mtu lazima atakushinda sababu ni sawa na kubishana na mjinga hivyo lazima akushinde tu.
Who told that young fella?Did you seriously write this?benzine said:Damn if If u still belive that there is no God!! Science has never explained the origin of life.
Now,You're total ignorant of Sciencebenzine said:with all the complexity of life its damn simple to conclude that life itself began spontonously.
Do you talk about Miracle or Magic?benzine said:witness the lame walking, blind recieving sight, dumb talk and dead coming back to life
unapewa evidence unarukaruka2,..Hujathibitisha kwamba mungu yupo au uhai unatoka kwa mungu.
Umetupa mythologies tu.
Evidence gani?unapewa evidence unarukaruka2,..
huna lolote na wenzio hao,..
watu hawadanganyika na upotoshaji wenu,...
vCTRMA
wape somo hao,...
wanatumiwa na shetani hao,...
TAHADHALI,TAHADHALI TAFADHALI SOMA HAPA.....
Watu muwe makini na hizi thread za kupotosha uwepo wa Mungu
naona shetani anazidi kutafuta wafuasi kwa nguvuuuu
ili aende kwenye Ziwa la moto,...
watu wanatunga threads kuchanganganya watuu ili wapotee
..,,,mambo ya MUNGU Yanaenda kiroho na Mungu ni roho pia,..
watu wanatumika na shetani kupotosha ukweli kwa evidence za kidunia,
biological issues ni mambo ya duniani..,
tuwe makini sana tusimpe shetani nafas shetanii,
tunaweza tukaona
ni mambo ya kawaida ila shetani akatumia mwanya kuharibu,..kiroho inaweza kuteka watu sana na watu wengi
wakapotoshwa,,..tuishi kwa kumuogopa MUNGU ambao hawa watu wanapotosha ukweli wa jambo hili
tuwe makini sana sana na hili swala,...
RUMI14:11-2Kwakuwa imeandikwa kama niishivyo,anena BWANA(YAHWE)
kila goti litapigwa mbele za Mungu ,na kila ulimi utamkili MUNGU
Mstari wa 12-bas ni hivyo kila mtu miongoni mwenu atatoa habari zake mwenyewe mbele za MUNGU,..
SIMAMA kwa zamu yako simamia nafsi yako siku ya hukumu kila mtu atatoa hesabu za matendo yake mbele
za Mungu,....
MUNGU Yupo na hawa watu ukiwapa evidence kimaandiko wanakwepa wana
taka kufos kwa namna ya kibinadamu,...WAKAti Mungu huwezi kumuelezea indeep kwa naamna ya kibinadamu istead of kimaandiko,..
NASISITIZA TUWE MAKINI SANA VIJANA,WAZEE NA MALIKA YOTE UKSIKUBALI KUPOTOSHWA,...
Kwa msaada zaidi
1WAKORINTHO 2:10:11b:13-16
tusifatishe roho chafu za ibilisi,..zinazotenda kazi
sasa unachodai uthibitishiwe ni nini kuhusu uwepo Mungu,......Evidence gani?
Imani inahitaji evidence?
Kinachohitaji evidence bado ni imani?