The so called 'GOD' from religions

Chochote unachokiona lazima kiwe na positive na negative,kwa maana kila kitu kina kinyume chake.
 
Define evil.

Evil is what is morally wrong, sinful, or wicked. Evil is the result of bad actions stemming from a bad character. Biblically, evil is anything that contradicts the holy nature of God (see Psalm 51:4). Evil behavior can be thought of as falling into two categories: evil committed against other people (murder, theft, adultery) and evil committed against God (unbelief, idolatry, blasphemy). From the disobedience in the Garden of Eden (Genesis 2:9) to the wickedness of Babylon the Great (Revelation 18:2), the Bible speaks of the existence of evil.
 
And what causes natural evil?

Does nature contradicts the holy nature of God?
 
Kiranga sasa unajudge kabla hata hujatoa hizo sababu zako mkuu?? We ziseme then mi nitazichuja na kuzitafakari then kuamin kuwe ni juu yangu.naomba uzitoe tu mana hapa tunaeleweshana na kuelimishana mkuu...
 
And what causes natural evil?

Does nature contradicts the holy nature of God?
Wewe acha ujuha kwa kudandia usiyo yajua. Nimekwambia katika materialistic world hakuna kitu kinaitwa " evil " na modern atheist wamestuka hawatumii hoja hiyo kwa kuwa wameelewa kwamba ukisema evil unakuwa una maana kwamba binadam anatjamani Fulani ambayo inaharifiwa na matendo uyaitayo "evil" atheist binadam hana thamani yoyote kwa kuwa ametokea kwa mchakato WA kiajali ajali.

Achana na mambo yasiyokuhusu. Kwa atheist maovu ni matokeo ya DNA zikitenda mambo yake na sio swala la uovu au wema.
Mnakaririshwa Tu.
 
Kiranga sasa unajudge kabla hata hujatoa hizo sababu zako mkuu?? We ziseme then mi nitazichuja na kuzitafakari then kuamin kuwe ni juu yangu.naomba uzitoe tu mana hapa tunaeleweshana na kuelimishana mkuu...
Nina judge nini bila kutoa sababu?
 
And what causes natural evil?

Does nature contradicts the holy nature of God?
And why would an all powerful, all loving and all knowing god create a universe that is contradicting his very essence in having evil?

Is god evil?
 
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia wanakufa katika matetemeko ya ardhi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia hawawezi kufa katika matetemeko ya ardhi?
 
Kiranga nimemanisha unajudge kuwa hizo sababu utazitoa nitazikataa kabla hata hujazitoa mdau.we ziweke hizo sababu kisha ndo nianze kuzichambua kinagaubaga hapa..ziwe nje ya vitabu vya kiimani nayoamini.twende kazi
 
Sababu nizitoe mara ngapi?

Nimekueleza mungu wenu hayupo.

Kwa sababu idea ya kuwapo kwake inajipinga.

Vitabu vyenu vinasema mungu ni mjuzi wa yote, ana uwezo wote na ana upendo wote.

Mungu huyu hana sababu yoyote ya kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Ana sababu zote za kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Tunaona ulimwengu huu, mabaya yanawezekana.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na kila sababu, ujuzi, uwezo na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia wanakufa katika matetemeko ya ardhi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia hawawezi kufa katika matetemeko ya ardhi?
Akili zako sijui unaziweka wapi unapoandika hapa. Nini maana ya kiumbe kuwa na Hatia au Kutokuwa na hatia.

Kipimo gani unatumia kujua kama watoto wachanga wana hatia au hawana ?
Kwanini ahaojiwe Mungu ambaye alituumba tuutishe na kuutawala ulimwengu ? Kama kwa uzembe wetu tumekosa kutumia uwezo aliotupa tayari na kusanabisha matetemeko ya ardhi yaathiri watoto wetu inahitajika akili ya MTU anayekariri kuhamishia lawama kwa Muumba
Wewe umekariri huwezi fikiri, kwa namna ambayo binadam aliamua kuwa na ujuzi WA mema na mabaya ni kwa jinsi hiyo hiyo anawajibika kutumia ujuzi wake kuyazuia mabaya yanayomwathiri.

Lakini upande wa pill kwa waamini Mungu tunajua mema yaliyopo nyuma ya myaitayo mabaya wakati watu msiomwamini Mungu hamna hekima ya kujua hilo.
 
Ha ha ha Kiranga bwana ha ha unarudia kulekule kusema neno VITABU VYENU .mimi shida yangu useme sababu zako ambazo usifanye reference za "uongo wa vitabu vyetu ". Sijui umeelewa swali langu?? Yan kwa mfano nataka useme huamini kama yupo kwa kuwa "nimejaribu kumuomba nionane naye hakutokea".huo mfano ni kukusaidia ujibu swali langu.
 
Huwezi kumtoa Kiranga kwenye kariri zake
 
god is presence of our innermost core of being thus god is our own presence and to prove this you have to underwent a method called meditation since you can use things which are more powerful than mind and matter
 
Unaweza kurudi nyuma katika muda? Uende 1982?
Nimekuambia chochote kina hasi na chanya,kwa maana ya chochote,sikukuambia k urudi nyuma.Kurudi nyuma sio chochote,ungejuwa chochote usingesema kurudi nyuma.
 
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia wanakufa katika matetemeko ya ardhi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao watoto wachanga wasio na hatia hawawezi kufa katika matetemeko ya ardhi?
Na ni kitu kinachokufanya wewe,kutaka Yeye Mungu asifanye hivyo,wakati unafanya unachotaka kufanya,bila kuingiliwa na Yeye,amekupa uhuru wa kufanya hivyo unavyofanya.
 
Na ni kitu kinachokufanya wewe,kutaka Yeye Mungu asifanye hivyo,wakati unafanya unachotaka kufanya,bila kuingiliwa na Yeye,amekupa uhuru wa kufanya hivyo unavyofanya.
Hujaelewa swali.

Sijataka mungu afanye chochote.

Nimeuliza swali.

Mungu mnasema nature yake ni uzuri.

Ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.

Kaumba ulimwengu. Kwa nini kaumba ulimwengu ambao ubaya (kinyume na nature yake ya uzuri) unawezekqna wakati alikuwa na kila sababu, ujuzi, uwezo na uoendo wa juumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani?

Hujajibu hili swali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…