Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa mfano wake huo, akikataa kwamba Zeus si mungu pekee, amekubali kwamba Zeus ni mungu pekee.Lakini kaka,
Mbona hata sisi,tunapinga uwepo wa miungu mingine
Mfano kama wewe ni mkristo au muislam utapinga uwepo wa zeus au mars[Miungu ya kigiriki na kiroma]
Ukiulizwa,kwanini unapinga uwepo wao,utajibuje?
Mimi nafikiri,cha msingi ni kupambana nao kwa hoja na mantiki kaka yangu!
Akikataa kwamba Jupiter si mungu pekee, amekubali kwamba Jupiter ni mungu pekee.
Si tu atakuwa amekubali kwamba Zeus na Jupiter ni mungu, Bali pia atakuwa na miungu pekee zaidi ya mmoja.
How absurd!