Hujathibitisha, unahadithia hadithi uliyokaririshwa.Katika Uumbaji wa Mungu binadamu wa Kwanza aliyeumbwa na Mungu ni Adamu ambaye alipuliziwa pumzi na Mungu na uhai ukaanza...hilo thibitisho la kwanza la uwepo wa Mungu....nataka wanaopinga Uwepo wa Mungu watoe uthibitisho uhai uliingiaje ulimwenguni!
Huko kuumba hivyo alivyoumba,ndio kuonyesha Mungu yupo,na hakuna anaweza kuondoa hivyo alivyoumba yeye,kama wewe huamini kama yupo,ondoa hayo mema na mabaya alitoweka Mungu,tuone kama utaweza.Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Hujatueleza kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Kama ni ya kutunga lete yako,isiyotungwa.Huko kukataa uwepo wa Mungu,ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu.Hujathibitisha, unahadithia hadithi uliyokaririshwa.
Unajuaje hiyo habari ni ya ukweli na si ya kutungwa tu?
Habari ni ya kweli ndomana hadi leo bado unaitwa Binadamu sio sokwe jina ambalo limetokana na mtu wa kwanza kwenye uumbaji ambaye ni adamu!Hujathibitisha, unahadithia hadithi uliyokaririshwa.
Unajuaje hiyo habari ni ya ukweli na si ya kutungwa tu?
jibu swali uhai uliingiaje duniani kwa nyinyi msioamini uwepo wa MunguHujathibitisha, unahadithia hadithi uliyokaririshwa.
Unajuaje hiyo habari ni ya ukweli na si ya kutungwa tu?
Jibu zuri sanaHabari ni ya kweli ndomana hadi leo bado unaitwa Binadamu sio sokwe jina ambalo limetokana na mtu wa kwanza kwenye uumbaji ambaye ni adamu!
Hujajibu swali nililouliza.Huko kuumba hivyo alivyoumba,ndio kuonyesha Mungu yupo,na hakuna anaweza kuondoa hivyo alivyoumba yeye,kama wewe huamini kama yupo,ondoa hayo mema na mabaya alitoweka Mungu,tuone kama utaweza.
Na wanaopinga kuwepo kwa Mungu ukiwaita masokwe ndio wakwanza,kulalamika,wanavunjiwa haki za kibinadamu.Wakati Mungu ndiye aliyemuumba Adamu,baba wa bin Adam wote.jibu swali uhai uliingiaje duniani kwa nyinyi msioamini uwepo wa Mungu
Kama kukataa kwangu kuwepo kwa mungu ni uthibitisho wa kuwepo kwa mungu, basi kukubali kwako kuwepo kwa mungu ni uthibitisho wa kutokuwepo kwa mungu.Kama ni ya kutunga lete yako,isiyotungwa.Huko kukataa uwepo wa Mungu,ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu.
Kwa hiyo tukiita binadamu sokwe atageuka sokwe?Habari ni ya kweli ndomana hadi leo bado unaitwa Binadamu sio sokwe jina ambalo limetokana na mtu wa kwanza kwenye uumbaji ambaye ni adamu!
Mwenye akili kamili,hawezi mwita binAdam sokwe,Kwa hiyo tukiita binadamu sokwe atageuka sokwe?
Huwezi sema hayupo,ila ni kuwa yupo.Kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Ila kilichopo ndio husemwa hakipo.kwa kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu.Kama kukataa kwangu kuwepo kwa mungu ni uthibitisho wa kuwepo kwa mungu, basi kukubali kwako kuwepo kwa mungu ni uthibitisho wa kutokuwepo kwa mungu.
Kwa fikira hizo, mungu huyu yupo na hayupo katika wakati mmoja huu huu.
Hapo ndipo utakapoona jinsi habari uliyoleta ilivyo fyongo.
Kwa hiyo nikisema "pembetatu duara haipo".Huwezi sema hayupo,ila ni kuwa yupo.Kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Ila kilichopo ndio husemwa hakipo.kwa kusema Mungu hayupo,ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu.
Ndo maana Kiranga kakwambia,"You have crazy way of thinking"Ukisema Mungu hayupo,ndio uthibitisho wa kuwepo Mungu.Huwezi kusema hayupo,ila ni baada ya kuwepo,kama asingekuwako,usingesema hayupo,kwasababu hayupo.Utasemaje hayupo ikiwa hayupo?Ila utasema hayupo kwa kuwepo Yupo.
Usitumie kigezo cha lugha,kuthibitisha hoja yakoHabari ni ya kweli ndomana hadi leo bado unaitwa Binadamu sio sokwe jina ambalo limetokana na mtu wa kwanza kwenye uumbaji ambaye ni adamu!
utamwitaje sokwe wakati sio sokwe?Kwa hiyo tukiita binadamu sokwe atageuka sokwe?
Kwa hiyo unadhihirisha kuita kitu si lazima kiwe hivyo.utamwitaje sokwe wakati sio sokwe?
Mi nimekupa uthibitisho huo katika maandiko matakatifu..ila unayapinga nakusema hadithi...unapopinga pinga kwa kuleta ya kwako ambayo sio hadithi kinyume cha hapo unapinga ilimradi kupingaKwa hiyo unadhihirisha kuita kitu si lazima kiwe hivyo.
Kwamba, kumuita mtu "binadamu" sio uthibitisho kwanba alikuwapo mtu anaitwa Adamu?
Ndiyo maana nikakuuliza uthibitishe. Maana habari ya "binadamu" tu, inaweza kuwa hadithi. Huko Japan na China mtu haitwi binadamu, ina maana wao kwao vipi hapo?
Unafahamu maana ya kuthibitisha?Mi nimekupa uthibitisho huo katika maandiko matakatifu..ila unayapinga nakusema hadithi...unapopinga pinga kwa kuleta ya kwako ambayo sio hadithi kinyume cha hapo unapinga ilimradi kupinga