The so called 'GOD' from religions

Hawa watu wengine hawawezi kuelewa hayo.

Usipoamini mungu tu basi kwao wewe ni mfuasi wa shetani.
 
Ntarudi tena baadaye, naona thread hii haiendi popote fast.

Ukiona wamejibu sehemu nistue?

Sasa uthibitishiwe uwepo wake au mnataka maelezo ya hayo mwiitayo contradiction?
 
Sasa uthibitishiwe uwepo wake au mnataka maelezo ya hayo mwiitayo contradiction?
Eliminating contradictions is moving tiwards a proof.

Ukithibitisha itakuwa vizuri zaidi, lakini wewe hujaweza hata kuondoa contradictions.
 
Eliminating contradictions is moving tiwards a proof.

Ukithibitisha itakuwa vizuri zaidi, lakini wewe hujaweza hata kuondoa contradictions.

kwahiyo kuna suala la uwepo wake na kuna suala la hizo contradictions?
 
kwahiyo kuna suala la uwepo wake na kuna suala la hizo contradictions?
Kama yupo, idea ya kuwepo kwake haiwezi kuwa na contradiction.

Ukiweza kuondoa contradiction, hata kama hujaweza ku prove kwamba yupo, umeondoa vikwazo vinavyosema hayupo.

Sasa wewe umeshindwa ku prove yupo. Sawa.

Unashindwa hata kuondoa contradictions zinazosema kwamba mungu huyu hawezi kuwepo?
 
Kiranga said:
Eliminating contradictions is moving tiwards a proof.
Kiranga

The best proof for existence of God,according to believers like Myself is within the Bible or quran itself
But unfortunately,you don't believe in either quran or Bible due to the so called contradiction.

Anyway,I won't use any book to provide my proof but I'll incorporate simple Logic in My argument
I believe that God exist,because complexity of Nature prove it to be the case
Let me give you simplified analogy to illustrate what I mean

Technically,computer can't operate unless you give it an instruction
As we know,computer program tell the computer what to do,by using binary codes which are decoded by computer itself

Codes are language,

Language which orginated from intelligent maker,[Man]

The same analogy applied to cell

cell can't work unless DNA tell it what to do or how to reproduce it self
DNA is like binary codes in computer
DNA is code,

Code is language

Language orginated from Intelligent maker,[God]
 

Sababu uliyotoa ya kupinga kuwepo kwake umesema kuwa kuna contradictions,kwamba haiwezekani mungu akawa wa upendo ila dunia ikawa na maovu. Sasa unaposema ukithibitishiwa uwepo wake hakutakuwa na hizo contradictions nashindwa kukuelewa ni vp hizo unazoamini kuwa ni contradictions zisiwe tena contradiction endapo ukipata uthibitisho wa uwepo wake!!
 

Hivi wewe mtoto,Huwa unaelewa unachokiandika kweli?

Unabananisha Maneno halafu kibaya zaidi Unachoandika hakieleweki.Dah

Uwe unatenga na Aya basi.
 
Wapi nimesema nikithibitishiwa uwepo wake hakutakuwa na hizo contradictions?

You got it backwards.

Kama kuna contradictions kuhusu kuwepo kwa mungu, mungu huyo hawezi kuthibitishika mpaka contradictions ziondolewe.

Unaweza kuondoa hiyo contradictions?
 
If you insist that complexity must have an even more complex creator, then god himself will need a creator.

And his creator will need a creator.

And his creator's creator will need a creator.

Ad infinitum, ad absurdum.
 

Soma vizuri ulichokiandika.

"Sasa wewe umeshindwa ku
prove yupo. Sawa.
Unashindwa hata kuondoa
contradictions zinazosema
kwamba mungu huyu hawezi
kuwepo?"


Na kuhusu kuondoa contradiction bado hujaeleza ni contradiction kwa kigezo kipi,maana kusema dunia ina maovu halafu mungu kasema ana upendo ndiyo vp iwe mungu kajipinga?
 
your wrong ndugu,..
Mungu alimtuma YESU kuja ulimwenguni kukomboa kizaz kilichopotea
sababu hayo uliyoyaandika wewe leo na kupotosha watu
yalikuwepo tangu zamani,,,...
YESU Alikuja kukomboa kizaz kilichopotea na aliteseka kwasababu wanadam walikataa kumuamini na wakamtesa na wakamuua Yesu na alipokufa alienda kuzimu kuchukua funguo za mamlaka kutoka kwa ibilisi,..ALIKUFA ILI MAANDIKO YATIMIE ndugu,...
yote aliofanyiwa YESU yalitabiliwa na mitume waliofunuliwa na MUNGU mf:isaya,..sasa wewe unapotosha watu kuwa hamna Mungu,...
umepotoka ndugu,...
MUNGU YUPO Na evidence ni;
wewe umeumbwa na unapumua hiyo pumzi imetoka wapi ni MUNGU ndugu,...

pili,..utakufa tu wewe na jeuri yako ya uzima na kutangaza hakuna Mungu..
kitendo cha kufa ni evidence ya kuwa YAHWE yupo,.ambaye alikucreate wewe na aliye create ndo mwenye uwezo wa kukudestroy na kuchukua nafsi yake
hapo utakapofika kwake ndo utajibu vizuri..,..
jichunguze ndugu unatumiwa na shetani kuhubiri kuwa hamna MUNGU,...
MUNGU AKULEHEMU

Angalia unaweza ukaona kawaida unayoyaandika ila madhara yake ni makubwa,..
AKILI ZA KUGOOGLE CHANGANYA NA ZAKO,..MUNGU YUPO
 
TOA mfano wa hili,..
unapotosha ndugu,,....
mfano???????????//
 
Which God are you talking about exactly?If is the one Outside Nature that many claims that is the one controlling it,then simple,we can't challenge him,He doesn't exist.How can a driver drive a bus while is outside of it?
yaani Mungu hayupo duniani,..???,..wakati ye ndo ameumba dunia na vyote vilivyomo,..
we jamaa unatumiwaa na shetani
 
kama mnaemzungumzia ni mungu na sio MUNGU,..sawa
MUNGU Yupo na ndiye atakayehukumu ulimwengu,..
nyinyi jidanganyeni na kupoteza watu wenye imani haba,,..
kumuamini MUNGU ni wajibu wa mtu,..
mwanadamu alipewa nafsi huru na kufanya anachotaka,..
ila angalieni msimdhihaki MUNGU,.MUNGU hazihakiwi hata siku1,.
huo uzima usiwape jeuri,..unamwisho huo uhai,..
kama mnaemzungumzia ni mungu na sio MUNGU,..sawa
MUNGU Yupo na ndiye atakayehukumu ulimwengu,..
nyinyi jidanganyeni na kupoteza watu wenye imani haba,,..
kumuamini MUNGU ni wajibu wa mtu,..
mwanadamu alipewa nafsi huru na kufanya anachotaka,..
ila angalieni msimdhihaki MUNGU,.MUNGU hazihakiwi hata siku1,.
huo uzima usiwape jeuri,..unamwisho huo uhai,..
Inahuzunisha sana kumkataa MUNGU,...
Mungu awasamehe sababyu shetani anawatumia kupenya roho chafu kwenu,..
 
Nilichoandika hapo hakina uhusiano na unachosema.

Unachosema wewe ni kwamba ukiprove mungu yupo utakuwa umeondoa contradiction, nilichokuandikia mimi ni kwamba hili suala lina level mbili, ya juu kabisa, ya kuthibitisha kwamba mungu yupo, halafu kabla ya kufika hapo kuna kuondoa contradictiins. Ndiyo nikakuuliza, umeshindwa kuthibitisha mungu yupo (the final part) , sasa mbona unashindwa hata kuondoa contradictions (the preliminary part).

Kama umeshindwa kuelewa hilo tu, siwezi kushangaa una imani potofu kwamba mungu yupo.

Mungu ambaye nature yake ni upendo usio kikomo, mwenye uwezo usio kikomo na ujuzi usio kikomo ana kila sababu, uwezo, ijuzi na upendo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Kama kweli yupo na kaumba ulimwengu huu, kwa nini kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana wakati ana kila uwezo, ujuzi, sababu na upendo wa kuumba ulimwengu ambao maovu na mateso hayawezekani?

Ulimwengu jinsi ulivyo unam contradict mungu wenu.
 
Kwa hiyo kuna kizazi kilimpotea mungu?

Mungu ilikuwaje akaruhusu jizazi kimpotee?

Alikuwa kalala? Alikuwa mzembe? Au alikuwa amelewa?
 
Uwiiiiii....kweli the world is near tribulation...i see storm coming...it funny how you find this type of people who want to impeach God and even hilarious those who question his existence...in this age ignorance is choice..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…