The so called 'GOD' from religions

The so called 'GOD' from religions

Mi siwezi kabisa,haswa nikimuelekeza mtu kitu simple alafu asijieleweshe nachukia sana.kwenye scale ya 0 to 10,ushafika 9.9 anarudi 0 tena!

Wamehaidiwa uzima wa milele hao,ndiyo maana wanakomaa!
sasa Mungu anaahidi umilele wakati yeye mwenyewe bado hajaufikia huo umilele.
Maana milele ni wakati usio na mwisho,ina maana kamwe huwezi kuufikia.
 
Nonda embu peleka upuuzi wako chit chat!Jamii Intelligence ni sehemu ya FACTS,sio mipasho.
Tukutane chit chat, ndugu wa facts. teh teh
Mimi nilifikiri upuuzi ni sehemu ya intelligence.
Kuna mdau mmoja alisema upuuzi ni kama evolution, n aevolution ni maradhi ambayo yanakufanya unastruggle na unagundua drugs za kukufanya usiamini uwepo wa muumba. Ukifikia uono huo tayari unakuwa na intelligence.

Eti hii kitu ndivyo inakuwa kwa wanaoamini kuwa hakuna Mungu?
 
Huyu mleta uzi Google imemharibu, eti hata kitu cha kutumia common sense anagoogle na kuweka hapa, jamaa anashida huyu
 
Nonda said:
Kuna mdau mmoja alisema upuuzi ni kama evolution, n aevolution ni maradhi ambayo yanakufanya unastruggle na unagundua drugs za kukufanya usiamini uwepo wa muumba. Ukifikia uono huo tayari unakuwa na intelligence.
Ndiyo umeandika nini sasa hapo?
Kumbe wewe ni hovyo kiasi hichi?
 
Nonda said:

Tumia akili yako,you-tube hakuna majibu.
broda said:
Huyu jamaa Google ime mharibu,eti hata kitu cha kutumia common sense anagoogle na kuweka hapa
jamaa anashida huyu
kumbe hata na wewe unamjua?
Ndiyo umwambie sasa mwenzako hapo juu,alete hoja zake yeye mwenyewe.
sio anazama you-tube na kutuletea video zake pumba.
 
Last edited:
Tumia akili yako,you-tube hakuna majibu.

kumbe hata na wewe unamjua?
Ndiyo umwambie sasa mwenzako hapo juu,alete hoja zake yeye mwenyewe.
sio anazama you-tube na kutuletea video zake pumba.
Wewe mutu ya intelligence ile munene, murefu unasoma huelewi kabisa, Jamaa amemtaja" mleta mada" wewe unazungumzia "mchangiaji". Unakula majani(bange) kama mbuzi?
 
Kupinga mungu ni moja ya imani kama zilivyo imani zengine,ni imani ambayo inajitutumua kupata waumini wengi ila sehemu inayo feli imani hii ni pale inaposhindwa kueleza watu ukweli ni upi na lipi sahihi badala yake inaishia tu kukashifu mafundisho ya uislamu na ukristo na kusema hili si kweli lile uwongo.

Lakini mwishoni hawaelezi ukweli ni upi na lipi sahihi na hapo ndipo wanapofeli,hivyo mafundisho yao hayo(kuponda mafundisho ya uislamu/ukristo na kukashifu) yamefeli pamoja na kuhubiri kwa juhudi kubwa sana.

NA HUO NDIO UKWELI. 
 
Do we really need to challenge the presence of God?
Kuna mtaalam mmoja alitoa allegory kwamba, juhudi za wanadamu kujaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu ni sawa na cartoon characters kwenye tv kujaribu kuthibitisha kama kweli kuna kiumbe aliyewatengeneza. Mwisho wa siku wataishia kusema hawakutengenezwa.
 
Nonda said:
Dawkins:I can't be sure God does not exist

Unfortunately,the link you cited lack the intended content.
Let me examine,the central insight of above Dawkin's statement
I can't be sure,whether God does not exist
Many theists misunderstand the philosophical basis of Atheism

Atheists do not deny the Existence of God
To claim that God doesn't exist,is to make untestable assumption
since in order to confirm your claim,you must be Omniscient,it means,you must search everywhere in the universe where God might be,in order to prove that He does not exist anywhere
such effort is quite impractical

Thus why Dawkins said,He is not sure whether God doesn't actually exist or not
Because Dawkins isn't Omniscient

So,we,atheist,can't deny existence of God
But what we do,is to deny existence of certain God as described by certain Religion by reveal flaw in their claim via logic.

Fortunately,no any God as portrayed by present day religions is logically exist
 
Huyu ndie baba wa wapinga uwepo wa Mungu.

Again,You've been misled.

There is no Father of Atheism.
Atheists do not view most popular scientists,writers or Philosophers in the same way as you,muslims or christians view their religion's Leaders

Neither Karl Marx nor Dawkins is founder of atheism
Dawkins is well known atheist but not our founder

If you're student of History,
you will know that,Atheism is very old belief,it Began with Thales,Socrate,Plato and Aristotle.

Thus why,there is no Leader or 'Pope' of Atheists..!
 
La msingi ni hoja zake zilizomfanya aikimbie Atheism. Ujumbe umekufika, kuupokea ni chaguo lako.
 
This is the most absurd comment ever had
How can all-loving God,allow untold pain and suffering to occur on his-own lovely planet,Earth?
How many children are dying in somalia every second by hunger?,How many people are get killed by ISISI?,How many people have lost their life due to earth's quakes in Haiti,while your loving god watch?

Why all-powerfull god failed to create a world that is free from evil?
I usually think of how vast the cosmos is how fast it expands the wonders of the stars the planets the galaxies the laws of physics that governs the universe/multiverse thinking of how tiny earthlings are in the cosmos we're just a peck of a dust on a beach sand very tiny and this got me thinking like If God is the who really made all these amazing laws of physics and this heavenly bodies how in the world would he be troubled with tiny creatures like earthlings that on his holy books(quran&bible etc) he forces people to fight for him(jihad) inorder to jus kumuabudu how is this even real like he is the one who made gravitational force, the light c'mon and he claims to love us and gave us his number one rival satan(he's very tricky) to just test us yet he made us weak and still he knows the future but he still made us and still want us burnt into ashes in the hell fire!

Science should be the book of God cause inaproject the greatness of the God if he's really there though....not those mnazosoma jumaa na jpili hapana those are jus made up stories
 
Kupinga mungu ni moja ya imani kama zilivyo imani zengine,ni imani ambayo inajitutumua kupata waumini wengi ila sehemu inayo feli imani hii ni pale inaposhindwa kueleza watu ukweli ni upi na lipi sahihi badala yake inaishia tu kukashifu mafundisho ya uislamu na ukristo na kusema hili si kweli lile uwongo.

Lakini mwishoni hawaelezi ukweli ni upi na lipi sahihi na hapo ndipo wanapofeli,hivyo mafundisho yao hayo(kuponda mafundisho ya uislamu/ukristo na kukashifu) yamefeli pamoja na kuhubiri kwa juhudi kubwa sana.

NA HUO NDIO UKWELI. 
Atheism is an absence of belief in God. I will reiterate that Atheism is not the belief that there is no God but rather it is an absence in that belief

We, Atheist do not believe in any deity or supernatural gods
 
Mkuu unaweza ukaeleza ni vp kusema hakuna mungu isiwe imani na kusema kuna mungu ndio iwe imani?
 
mzawa098 said:
I usually think of how vast the cosmos,wonders of the stars the planets the galaxies,the laws of physics that governs the universe/multiverse this got me thinking like If God is the who really made all these Amazing laws of physics
Not only you mzawa28 even Me

The complexity of Nature and the Universe as well as Fear of Death and desire of Eternal Life,are among the things that,in somehow challenges my Atheism
If the Universe was created by Mindless process,or Big-bang why then it is well ordered?
Why our Brains is so complex and super-organized than even nowday's computers?

But,If complexity of anything need a Intelligent maker,then another Question emerge

Who create God?

Because mind of God is also complex,that's why He know Everything
So,If complexity requre a intelligent maker then who made the complex mind of God?

He made us weak and still he knows the future,but he still made us,and still want us,burnt into ashes in the hell fire!
That's another Contradiction.
 
Mkuu unaweza ukaeleza ni vp kusema hakuna mungu isiwe imani na kusema kuna mungu ndio iwe imani?

Jitahidi kuelewa basi wewe Non-bergeoning Mind
Imani ni kile kitendo cha Mtu kuamini kitu bila kuwa na Ushaidi wowote unaothibitisha Anachokiamini

Watu wengi wanaamini kuwa Mungu yupo Ingawa hakuna Mtu yoyote aliyewahi kumuona,kumsikia,au kumshika
Kiufupi hakuna Ushaidi wowote unaothibitisha Uwepo wa Mungu Mpaka sasa.Ndiyo maana ikaitwa Imani

Atheism sio Imani bali ni Ukosefu wa Imani
Kwa sababu Atheist hawezi kuamini kitu bila kuwa na Ushaidi kwanza

Basi kwa Jinsi Ulivyo zero upstair utataka uthibitisho kwanini tunasema Hakuna Mungu

Listen moron,There isn't Evidence of Absence but Absence of Evidence can be regarded as Evidence of Absence.Ok?
 
Asante sana kwa kumwelewesha asipoelewa hapo basi hatokaa aelewe tena
 
Back
Top Bottom